Ushauri wangu kwa SUMATRA kuhusu magari ya Sauli

Mnaolalamika speed hiv mngepanda ngorika,
Buffalo enz hzo unakanyaga mosh saa sita
Cjui kama mngerudia

Pia dar express nliwah toka
Rombo nliingia dar saa nane na nusu
Ilikua balaaa yani
Atakua alijisahau najua dar express na Kilimanjaro ni magari ya wazee wasio na haraka
 
Acha ujinga wewe, ungepanda Ngorika miaka hiyo Arusha dar unatoboa saa nane na nusu, si ungekufa wewe, ukiona hayakuafai omba lift kwenye malori
sawa mkuu, mimi nimetoa mtizamo wangu bila shaka na ww huu ndio mtizamo wako na siwezi kukubishia
 
huyo mtu basi zake zishawahi pata ajali? kama hazijawahi acha waendelee inaonekana wako makini
ndio mana nikasema washauriwe kabla hayajatokea ya kutokea, tatizo wabongo hua tunasubiri yatokee tuanze lawama
 
Sauli kama sauli, mbele sauli nyuma sauli....IACHE IENDE
IMG_20210714_152621.jpg
 
Mbona polisi wanatukamata sana wengine tuki overspeed hata kidogo tu kwenye hiyo barabara? Nimeshakamatwa nikiwa 57km/h.

Sasa hao Sauli wanakutana na polisi wa tofauti? Kuna kila dalili za rushwa hapo.
Wanakamatwa aisee last 4wks nilipanda Sauli kutokea Mbeya tulikamatwa nadhani Mafinga pale,yule Askari alikomaa na Sisi hataki maelezo mengi wala nini,tena mbaya zaidi kumbe alimsimamisha dereva kabla ya Mafinga akakaidi Afande akachukua boda kutufukuzia mpk check point moja tuliyozuiliwa,tulikaa kituoni kwa zaidi ya lisaa including Fine na onyo kali
 
Wanakamatwa aisee last 4wks nilipanda Sauli kutokea Mbeya tulikamatwa nadhani Mafinga pale,yule Askari alikomaa na Sisi hataki maelezo mengi wala nini,tena mbaya zaidi kumbe alimsimamisha dereva kabla ya Mafinga akakaidi Afande akachukua boda kutufukuzia mpk check point moja tuliyozuiliwa,tulikaa kituoni kwa zaidi ya lisaa including Fine na onyo kali
Maelekezo kutoka juu
 
Kiukweli changamoto pekee niliyoiona kwa Suali na Newforce ni kufanya overtaking kwa kujiona miamba ya barabara. Ila kinachofanya wao wawahi kufika kuliko wengine ni ufanisi wao wa kujali muda. Hawana vituo vingi, hawana poteza muda barabarani.
Ila wakifika vituo vyao kabla ya muda kwa mujibu wa chati yao wanasubirishwa
Binafsi nawapongeza hasa Sauli kwa kujali muda na kutosimama ovyo. But nikiwa kama abiria hakuna mahali walizidisha ile 80kmhl/h. Ila zile 50 wao hawana time nazo
Tuongee ukweli hawa jamaa wanatambaa bwana na bahati mbaya upate zile siti za mbele km utapata usingizi lzm Akili yako ina walakini aisee,hiyo niliyopanda mm nilikaa siti ya kwanza baada ya mlango hakika kwa mara ya kwanza sikuweza kulala wala kusinzia kipindi chote cha safari ya masaa zaidi ya 10
 
Hawa sauli wamekuja juzi tu so wamewakuta ma giant kina golden deer na new force dar tunduma, dar swanga ni moto wa kuotea mbali ndo mana na wao wanatafuta ushindani ila route ya dar mbeya sauli amewin ila dar tunduma sidhan kama atawini mana kuna chombo huko matata golden + new force zinatoka 3 hadi 4 kwa siku roote ya tunduma huku sauli akipeleka basi 1
 
Mnaolalamika speed hiv mngepanda ngorika,
Buffalo enz hzo unakanyaga mosh saa sita
Cjui kama mngerudia

Pia dar express nliwah toka
Rombo nliingia dar saa nane na nusu
Ilikua balaaa yani
Zama zile so Zama hizi.darmor foleni inaanzia dar mpaka mnafika moro hamtoboi mnaonana tu.
Tatizo LATRA wanaona 50 ndio kizuizi cha ajali badala ya kuomba njia zipanuliwe magari yatembee na madereva wasipanic.
 
Back
Top Bottom