Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,436
- 4,646
Siafiki tabia ya kunyamazisha watu.Usihangaike na idadi, ni kiasi gani cha pesa kilitumika? Eti hata shule za kata alijenga, michango ya lazima aliyoisema Heche na Lissu umeiweka wapi?
Muhimu akae kimya! Muda wake ulipita kwa hayo ya kwake. Profesa Kikwete aliahidi akistaafu ataomba kufundisha chuo kikuu au ndo hiyo kuteuliwa kuwa Chancellor?
Kwanini akae kimya? Ni binadamu mwenye maoni yake ,si haki kumyamazisha.