🤣Hata achoke vp mbususu haijawahi kosa soko, ile ni sawa na mtu anayefanya kazi ngumu na za kuhitaji nguvu bila kustua na kvant usiku hawezi kupata usingizi na kesho yake kazi haziendi.
Hata tupigane, tukimaliza ligi inaendelea. Hailali njaa. Sugua mpaka mtu aombe poo!1. Hali yake kimaisha iko sawa au imeshuka....ukame huondoa nyege hasa uliyezowa kushika pesa ndefu.....naongea kwa uzoefu.
2. Biashara zimemnyookea?
3. Yuko busy na simu?
4. Anachelewa kurudi?
5. Unamkoromea? Au mnalumbanaga?
Ushauri wenu jamani,
Mimi nimeolewa nipo kwenye ndoa hatujamaliza hata mwaka Ila kinachoniumiza mme Wangu ananisaliti, nimemkuta anamiliki simu ya Siri pamoja na line alikuwa kaficha kabatini baada ya kugombana naye akakubali kuwa ana mchepuko akampigia akaweka loud nikawa nawasikia akamuomba samahani kwa kumchezea akamwambia Mimi nimeoa, nina mke nmeona siyo vizuri kumsaliti mke wangu dada akalalamika we badae akakubali kumblock kidogo nikapata amani.
Baada ya hapo hiyo simu ya Siri akaweka mezani akatoka zake Ila kilichoniumiza zaidi baada ya lisaa zilikuwa zinaingia text kutoka no. tofauti tofauti 2 baada ya kuchart nao kumbe nao ni michepuko yake tena jumla nimemfuma na wanawake 3 kwa wakati mmoja.
Msamaha kaniomba Ila nashindwa kumsamehe, naumia sana Bora ningemkamata hata na mmoja nisingeumia sana Ila wa 3 ukitegemea ndoa haina hata mwaka nawaza sijui kalogwa, natamani nimshirikishe hata mchungaji wetu Ila napata wakati mgumu naona ni vitu vya aibu hata kushirikisha watu wetu wa karibu.
Natamani niondoke Ila kinachonipa wakati mgumu tayari Mimi ni mjamzito yaani nawaza ingekuwa siyo hii mimba ningeachana nae ananifanya Hadi nakata tamaa na mimba niliyonayo kitu ambacho ni dhambi.
Naombeni mnishauri nifanyaje nahisi kuchanganyikiwa nakosa maamuzi presha imeshuka naona Kama dunia imeniangukia kweli ndoa ni ngumu sana duh! Mungu anitie tu nguvu.
Mtoto mwenyewe mbona tumempata ndani ya ndoa Kama hana hisia kwanini alinioa sasa
Kwenye kubeti hapo mkuu ndio kiini Cha tatizoKwa upande wangu Mimi naona Hali ya kimaisha ipo sawa mpaka anapata na ela za kubetia kila siku na huwa simkoromei Wala hatuna malumbano ndani amani ipo Kama ni ela za matumizi anaacha kunipenda ananipenda sana tu tunacheka, tunapiga story yani hamna shida kabisa tatizo ni Hilo moja tu la kutokupewa haki yangu, na kinachoniumiza akili hivi hata Kama mwanaume ana michepuko jamani ndoasinimc mke wake hata kwa wiki tu japo Mara moja mpaka inafika wakati nawaza au kalogwa ili akose hisia na Mimi dah! Ukisikia ndoa ni ngumu ndo hii sasa
Ila mwenzako "msaidizi" amemaanisha mke mwenza, na sio dada wa kazi 🤣🤣🤣🤣Tuna mtoto mmoja msaidizi nilishapata ndo tuko nae ananisaidia saidia
ExactlyInaelekea ndoa yenu changa, jaribu kutawala hisia kabla hujachepuka.
Huenda ni hali ya kawaida nasi huwa tunapitia kuwa huna mvuto na kei kwa muda.
Mpe muda
Bora kama unawaza hivo ingawa ni ngumuYani acha tu heka heka haziishi kilichobaki hapa nataka nianze kutafuta dawa ya kukata nyege ili tubaki tu na amani tulee mtoto maana bila hivyo naweza jikuta nimechepuka Jambo ambalo litafanya nijidhalilishe na kuivunja ndoa kwa mikono yangu Bora nifanye mpango na Mimi nisiwe tu na hisia tuishi wote Kama magogo
Kama una uhakika umefanya jitihada zote imeshindikana na wewe kaa kimya usijishughulishe na hilo tendo.We unasema tu tatizo nishajikatia tamaa inakera sana usiombe yakukute Bora basi hata awe na matatizo ya kiafya nitavumilia ila unakuta anachepuka uko inaumiza sana kutokujali hisia za mke wako hata Kama anachepuka alitakiwa anifikirie na Mimi hata kwa wiki Mara moja tu
Jikite zaid kweny shughuli zako kitakachofanyika mtengenezee wivu na sio kukutamaniHabari za majukumu?
Nambeni wenye ujuzi na mambo ya ndoa mnisaidie hapa maana nimewaza mpaka akili imechoka na majibu nimekosa.
Mume wangu amekuwa ni mtu ambaye kufanya tendo la ndoa ni mpaka mimi nimuanze ndiyo tunafanya. Ila na mimi siku nikijikausha tunaweza tukamaliza hata wiki 2 tusifanye wakati mwingine tunaweza maliza hata mwezi mama nisipomuanza.
Kinachonikera zaidi ni kwamba hata wakati mwingine nikimuanza mimi, anaweza kuniambia mke wangu leo nimechoka naomba tulale tutafanya siku nyingine. Hiki kitu kiukweli kinaniumiza sana akili, raha ya mapenzi kila mtu aoneshe ana hamu na mwenzake siyo kila siku mimi ndiyo nianze kuomba mapenzi.
Hapa nawaza ni kwamba atakuwa na matatizo ya nguvu za kiume au inawezekana ana michepuko anafanya huko akirudi nyumbani amechoka hana hamu na mimi, au inakuwaje au pengine kalogwa asiwe na hisia na mimi, ila bado nmekosa majibu!
NB: Nimejaribu hadi kubadilisha mazingira ya nyumba, nimepanga upya nyumba ni safi inavutia na akirudi anakuta nimeshaoga nimejipamba najitahidi kuvaa na vinguo vya kumtega lakini bwana huyu hata haoni, wakati mwingine mpaka navua nguo zote usiku namuomba anikumbatie kwa makusudi ili apate nyege lakini wapi, naye alivyo anaishia kunikumbatia bila kufanya chochote.
Nikisema nimuanzishie mimi mahaba anaishia kunambia mke wangu kuna joto usinishike tulale kwanza, yani napata hasira huwa natamani hata nipige ukunga.
Hivyo naombeni wataalamu wa mambo ya ndoa mnishauri tatizo ni nini au mimi nakosea wapi ili nijirekebishe ndoa yangu iwe na amani maana imefika hatua nimeshajikatia tamaa.
Nitafute. Bahati hiyo ningeipata mimi walahi nisingechepuka.Habari za majukumu?

Kama anabet basi tatizo limeanzia hapo mda mwingi anawaza mikeka yake. Betting anapoteza hamu ya tendo la ndoa kwa wanaume wengi kwa kuwaza mikeka yake iliyochanika na hela anayopotezaKwa upande wangu Mimi naona Hali ya kimaisha ipo sawa mpaka anapata na ela za kubetia kila siku na huwa simkoromei Wala hatuna malumbano ndani amani ipo Kama ni ela za matumizi anaacha kunipenda ananipenda sana tu tunacheka, tunapiga story yani hamna shida kabisa tatizo ni Hilo moja tu la kutokupewa haki yangu, na kinachoniumiza akili hivi hata Kama mwanaume ana michepuko jamani ndoasinimc mke wake hata kwa wiki tu japo Mara moja mpaka inafika wakati nawaza au kalogwa ili akose hisia na Mimi dah! Ukisikia ndoa ni ngumu ndo hii sasa
Umenena vyema.Jikite zaid kweny shughuli zako kitakachofanyika mtengenezee wivu na sio kukutamani
Fanya usafi wa nyumba vzuri kua nadhifu kama kawaida ukifika kitandani sali lala usimguse wala usimtikise akikusemesha mjibu vzuri na kwa upendo. Mwisho wa siku ataanza kujiuliza yeye na sio ww tena
Umenena vyema.