USHAURI: Simuelewi mume wangu

USHAURI: Simuelewi mume wangu

Yani acha tu ndugu yangu tembea uyaone yani kwajinsi ninavyojiweka ingekuwa ni mwanaume mwingne kwajinsi ninavyowajua ingekuwa kila dk anataka mzigo hata kazini nahisi angekuwa anachelewa
Nimekuita nikupe ushauri mtamu jmn
 
Mtahubiri sana tu...

Jamaa keshamzoea sana anamuona wa kawaida tu hana jipya!

Itahitaji approach ya kisaikolojia ili kumrudisha kwenye mstari!
Sasa kwanini amenioa alafu anikinai angeniacha niolewe na wengine huku ni kutesana tu hakya mungu
 
Habari za majukumu?

Nambeni wenye ujuzi na mambo ya ndoa mnisaidie hapa maana nimewaza mpaka akili imechoka na majibu nimekosa.

Mume wangu amekuwa ni mtu ambaye kufanya tendo la ndoa ni mpaka mimi nimuanze ndiyo tunafanya. Ila na mimi siku nikijikausha tunaweza tukamaliza hata wiki 2 tusifanye wakati mwingine tunaweza maliza hata mwezi mama nisipomuanza.

Kinachonikera zaidi ni kwamba hata wakati mwingine nikimuanza mimi, anaweza kuniambia mke wangu leo nimechoka naomba tulale tutafanya siku nyingine. Hiki kitu kiukweli kinaniumiza sana akili, raha ya mapenzi kila mtu aoneshe ana hamu na mwenzake siyo kila siku mimi ndiyo nianze kuomba mapenzi.

Hapa nawaza ni kwamba atakuwa na matatizo ya nguvu za kiume au inawezekana ana michepuko anafanya huko akirudi nyumbani amechoka hana hamu na mimi, au inakuwaje au pengine kalogwa asiwe na hisia na mimi, ila bado nmekosa majibu!

NB: Nimejaribu hadi kubadilisha mazingira ya nyumba, nimepanga upya nyumba ni safi inavutia na akirudi anakuta nimeshaoga nimejipamba najitahidi kuvaa na vinguo vya kumtega lakini bwana huyu hata haoni, wakati mwingine mpaka navua nguo zote usiku namuomba anikumbatie kwa makusudi ili apate nyege lakini wapi, naye alivyo anaishia kunikumbatia bila kufanya chochote.

Nikisema nimuanzishie mimi mahaba anaishia kunambia mke wangu kuna joto usinishike tulale kwanza, yani napata hasira huwa natamani hata nipige ukunga.

Hivyo naombeni wataalamu wa mambo ya ndoa mnishauri tatizo ni nini au mimi nakosea wapi ili nijirekebishe ndoa yangu iwe na amani maana imefika hatua nimeshajikatia tamaa.
Dadadeki ebu njoo DM tuyajenge acha kuteseka wakati tunaojua kazi kwenye tasnia ya mahaba na .nyanduo tumejaa tele kama pishi la mchele njoo DM fasta sana.
 
Mbona una ongea kwa gadhabu namna hii
Tatizo inakera sana yani Kama hapa nimezidiwa alafu mwenzangu ndo kwanza anakoroma napata hasira mpaka linanijia wazo nimuangushie hata kabati
 
Huyo mwanaume karogwa na mchepuko.
Hakuna mwanaume ambaye hasisimki akiona mapaja ya mwanamke.
Hata paja la mwanamke chizi tukiliona lazima tudindishe.
1. Karogwa na mchepuko
2. Nguvu za kiume zimemkatikia.
Je, hiyo hali imeanza tangu tu mlipooana?
Na Mimi nahisi kalogwa maana Kuna wanaume nawafahamu Wana michepuko Hadi mitano lakini bado wakifika nyumbani wanatamani tena kufanya na wake zao Ila huyu dah! Mpaka nikikaa nawaza alichezea tu ela yake kwenda kulipa mahari maana hata hamna anachokifanya kwangu zaidi tu ya story
 
Hiyo tabia ya mumeo niko nayo mimi A to Z,
Tatizo ni wewe na makwazo yako(bila shaka mumeo ni mkimya) ila wewe una mdomo sana lakini pia una choyo na mbinafsi yaani humsaiidii kwenye Mambo ya familia yenu( kipato chako ni chako tu ila chake unakitolea macho) yaani hushiriki kwenye ujenzi wa maendeleo ya familia yenu ni kama kila kitu umemuachia yeye kwakuwa ni kichwa cha familia.

Hayo ni kati ya yale machache ila kwa uzoefu tatizo ni wewe,kiufupi hujawa msaidizi wake(mke) bali upo kama hawala uliyevishwa pete ndani ya nyumba.....usipobadirika yatabaki mazoea tu kwa msaada wa hao watoto ila ndoa inaelekea ukingoni.
 
Kwa upande wangu Mimi naona Hali ya kimaisha ipo sawa mpaka anapata na ela za kubetia kila siku na huwa simkoromei Wala hatuna malumbano ndani amani ipo Kama ni ela za matumizi anaacha kunipenda ananipenda sana tu tunacheka, tunapiga story yani hamna shida kabisa tatizo ni Hilo moja tu la kutokupewa haki yangu, na kinachoniumiza akili hivi hata Kama mwanaume ana michepuko jamani ndoasinimc mke wake hata kwa wiki tu japo Mara moja mpaka inafika wakati nawaza au kalogwa ili akose hisia na Mimi dah! Ukisikia ndoa ni ngumu ndo hii sasa
Kama anabeti sana Tatizo kuu liko hapo
 
Yani acha tu heka heka haziishi kilichobaki hapa nataka nianze kutafuta dawa ya kukata nyege ili tubaki tu na amani tulee mtoto maana bila hivyo naweza jikuta nimechepuka Jambo ambalo litafanya nijidhalilishe na kuivunja ndoa kwa mikono yangu Bora nifanye mpango na Mimi nisiwe tu na hisia tuishi wote Kama magogo
Jichue tu for good,
Ukachepuka Umeharibu dada angu
 
Back
Top Bottom