miss chuga
JF-Expert Member
- Dec 25, 2019
- 303
- 660
- Thread starter
- #141
Ababet sana jaman Yan Yan akija mifuko imejaa unaweza sema ela ukitoa kumbe ni mikeka na bdo anabet na kwenye cm piaKama anabeti sana Tatizo kuu liko hapo![]()
Ababet sana jaman Yan Yan akija mifuko imejaa unaweza sema ela ukitoa kumbe ni mikeka na bdo anabet na kwenye cm piaKama anabeti sana Tatizo kuu liko hapo![]()
Umeanza ufala sasa hapa sikuungi mkono...jeinga wewe😂Nyongeza:
Asiudhulumu mwili wake, atakayejisogeza kutaka kumpa joto asisite kujiachia, ampe yoteeee na vyotee...halali na haramu.
Ha haaaa mtumishiiiiiiiUmeanza ufala sasa hapa sikuungi mkono...jeinga wewe😂
Mumeo ni shoga anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja na yeye ndio mliwa. Kaa chini uchunguze kwa kina kisha utapata jibu.Kwa upande wangu Mimi naona Hali ya kimaisha ipo sawa mpaka anapata na ela za kubetia kila siku na huwa simkoromei Wala hatuna malumbano ndani amani ipo Kama ni ela za matumizi anaacha kunipenda ananipenda sana tu tunacheka, tunapiga story yani hamna shida kabisa tatizo ni Hilo moja tu la kutokupewa haki yangu, na kinachoniumiza akili hivi hata Kama mwanaume ana michepuko jamani ndoasinimc mke wake hata kwa wiki tu japo Mara moja mpaka inafika wakati nawaza au kalogwa ili akose hisia na Mimi dah! Ukisikia ndoa ni ngumu ndo hii sasa
🤣🤣🤣🤣Umeanza ufala sasa hapa sikuungi mkono...jeinga wewe😂
Hali yake ya kiuchumi ipo vizuri, pia kazini yupo sawa hakuna shda, pia sijawahi kumkosea Wala yeye hajawahi kunambia Kama Kuna tabia inamkera, pia matumizi ya simu ni kawaida na nikimuambia mme wangu unamchepuko ananiambia ww una wivu sana chukua cm yang kaa nayo hata wiki nzima na huwa nalala na simu yake chini ya mto text ikiingia Mimi ndo wa kwanza kusoma ndonimpe Ila sijawai ona text ikitumwa ya mchepuko na nyumbani huwa hachelew Mara moja moja sana ndo anarud saa 5 ananiaga anaenda kuangalia mpira pia hajawahi kulala nje na pia siyo mtu wa kusafiri kila siku analala ndan na amani ipo ndani kila kitu kipo sawa anahudumia familia vizuri shida ni hiyo moja tu sipewi haki yangu1. Hali yake ya uchumi.
2. Kazini kwake kila kitu kiko sawa?
3. Uliwahi kumkosea? Au kuna tabia amekuambia haipendi kwako?
4. Je matumizi yake ya simu ikoje? Kabadilika au kawaida?
5. Anarudi nyumbani muda gani? Je anachelewa? Kuna wakati analala nje kwa kisingizio cha safari?
Haya ni baadhi ya maswali yanayoweza kusaidia kupata angalau mzizi wa tatizo.
Hata mie nimeshangaaje.Aisee kweli kwenye miti hamna wajenzi. Mke anataka kuoelekewa moto mume anakataa mbususu😲😲😲
Mimi naweza kaa hata miwili nikiamua🤣🤣🤣🤣
Sasa unataka afanyeje? Akae tu asigongwe miaka na miaka.
Aombe na kulia kila siku nyie watu vipi jamani?
Wewe ukinyimwa mwaka mzima utafanyaje?
Tuache unafiki basi...
Kumbe anabet?? Hivi unajua ukichamiwa mkeka na team moja inauma hadi mashine inaweza isisimame?Kwa upande wangu Mimi naona Hali ya kimaisha ipo sawa mpaka anapata na ela za kubetia kila siku na huwa simkoromei Wala hatuna malumbano ndani amani ipo Kama ni ela za matumizi anaacha kunipenda ananipenda sana tu tunacheka, tunapiga story yani hamna shida kabisa tatizo ni Hilo moja tu la kutokupewa haki yangu, na kinachoniumiza akili hivi hata Kama mwanaume ana michepuko jamani ndoasinimc mke wake hata kwa wiki tu japo Mara moja mpaka inafika wakati nawaza au kalogwa ili akose hisia na Mimi dah! Ukisikia ndoa ni ngumu ndo hii sasa
Ni wewe, halafu umeshasema ukiamua.Mimi naweza kaa hata miwili nikiamua
Duh hii kaliHali yake ya kiuchumi ipo vizuri, pia kazini yupo sawa hakuna shda, pia sijawahi kumkosea Wala yeye hajawahi kunambia Kama Kuna tabia inamkera, pia matumizi ya simu ni kawaida na nikimuambia mme wangu unamchepuko ananiambia ww una wivu sana chukua cm yang kaa nayo hata wiki nzima na huwa nalala na simu yake chini ya mto text ikiingia Mimi ndo wa kwanza kusoma ndonimpe Ila sijawai ona text ikitumwa ya mchepuko na nyumbani huwa hachelew Mara moja moja sana ndo anarud saa 5 ananiaga anaenda kuangalia mpira pia hajawahi kulala nje na pia siyo mtu wa kusafiri kila siku analala ndan na amani ipo ndani kila kitu kipo sawa anahudumia familia vizuri shida ni hiyo moja tu sipewi haki yangu
Hiyo Viagra haina madhara nisije nikamuua bby bure nikajutaHuyo dawa yake ndogo.
Mtegeshee Viagra kwenye chakula.
Kuna royal honey,black cobra,G7 chocolate na kadhalika.
Kila siku unamchanganyia alafu tulia.
Anachukua mda mfupi sanMnapokuwa kwenye tendo inamchukua muda gani kupata bao? isijekuwa inamchukua muda mrefu sana.Kama anachukua muda mrefu jua tatizo liko kwako.
Amina, kila nikijaribu kuongea nae anaishia kunambia tatizo anachoka sana hili ndo jibu lake kila nikimuuliza hana jibu lingine
Nyie wanawake mnataka kufanya mapenzi kila siku, muelewe kuwa tuna mambo mengi ya kufikiria pia tunahitaji kupumzika.

Na Mimi nimewaza sahivi na Mimi nijikaushe nijidai Niko pouwa tu nisimuanze Wala Nini nione mwisho itakuwajeHapo tayari una msaidizi ndio maana hana hisia na wewe....ili kuokoa ndoa yako jifanye uko bize jipende na ujipe furaha muda wotee....acha kumfatilia kabisa usimuulize tena kuhusu tendo wala kumlazimisha....kama kuna kitu kina mtatiza atakaa sawa kama ni mwanamke wa nje...atajistukia mwenyewe atarudi kua sawa....
Kwahiyo nyege zako utazifanyaje?Na Mimi nimewaza sahivi na Mimi nijikaushe nijidai Niko pouwa tu nisimuanze Wala Nini nione mwisho itakuwaje
Sasa wewe liachie limwili liwake tamaa tu utaipata fresh😂Ni wewe, halafu umeshasema ukiamua.
Watu tupo tofauti.
Naamuaje tu bila sababu? Kwaajili gani? kwa manufaa ya nani?