Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

Guys I am facing the same tratgy, mi pia nina umri wa ndoa miaka 5 but tulianza kuishi kama wazazi kabla ya kuoana. Shida ilianza mwaka wa 3wa ndoa. Actually nlikuwa nishadate waschana si zaidi ya wa 3 ndo huyu akawa wa 3. Miaka mitatu ya kuishi wote nlianza kupangiwa mgegedo once per week na mm ndo nlikuwa nina dam bado changa 33yrrs, she was 26. Nlianza kuchepuka but nlikuwa naumia sana moyoni. Pia nlikuwa na mipango ya maendeleo so sikutaka nitumie hela kuhonga. Taratibu nikazoea hadinikaonani haki yangu. Ilianza kupita mwezi bila mgegedo na hatimae miezi3 na kuna kipindi tunakata 3moths kasoro. Sasa tu a 10yrs. Nimechepuka na wanawake wengi tu. Alishanikamata na sms marakadhaa, and huwa nakuwa mbogo,na kwavile ni mwanamke huwa ananywea, kinachoniuma ss nahitaji kupata mtu mwenye uchungu na maisha ili awemchepuko permanent and hata kamanawekeza kwake nijue kuna faida. Nimechoka kuwa cha wote aiseee, tofautini kuwa mi wife nampenda, na siko tayarikumwacha, japo huwa namwambia kama ameniona malaya basi tuachane
Hapo mwanamke anashida,anahitaji maombi!
Ss anakuwaje mkali akukamata wakati yeye hakupi hali yako?
Ila wanawake sanyingine sijui tunakuaje yaani!

Kaa nae chini muongee vzr mwende ht kwny maombi kwa pamoja!
Only Jesus can solve ur problems

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh ,ndo maana nawaombea kaka zangu wasije oa wanawake ambao hawana hofu ya Mungu,au watakaotaka kuolewa tu ili waonekane wameolewa!Mungu atusaidie wanawake jmn
Dah yaani una umri kama wangu, unapitia mapito kama yangu tofauti me kwenye ndoa nina miaka 6.Yaani nilivyosoma nilihisi kama mimi ndo nimeandika.
Nampenda sana mke wangu hadi najisikia vibaya kuchepuka lkn sina namna maana home furaha imepotea kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No kuna tatizo mahali!
Hakosi spiritual husband,trust me!
Ile huwa inahakikisha "no affection"
We acha tu unawaza ngoja nimpumnzishe miezi 2 ukidhani atakuwa na ham, siku ukimgusa mwenziokatulia tuliiiiii kama sex dol. Unajipandia unashusha kamoja dk. 5 unalala, na mgegedo kwamume mwenye afya huwa 3 round

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wale mabachela waandamizi tukiona haya tunapata nguvu sana ya kuendeleza chama.

Miaka yote hiyo ni unampenda kweli.
Kunusuru hiyo hali, fanyeni kuwa na safari ya pamoja sehemu ya mbali, mbadilishe muonekano wake, au mpe likizo kidogo.
 
Hafu hii kitu sijui kama inanitokea mimi tu ama na wengine. Nikido na wife only one shot ya dk.chini ya 10 nachoka sana kazini ni kulala tuuu, mwili unauma wote, hata mda wa siku tatu hivi ndo narudia hali ya kawaida.zamani haikuwa hivo ilikuwa hata tukeshe majogoo ndo walikuwa wanatustua kuwa kumekucha mida ile ya saatisa usiku ndo tunalala. Cha ajabu kwa mchepuko full dozi yangu kuridhika huwa round 3. Zinakuwa achieved kama masaa 3 hivi au2. Ila huwa nakuwa fresh kabisa na mwili unakuwa mwepesi tu,akili pia inajipanga vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aah Basi kuna shida!
Hivi unajua huko nje wanachofanya?mchepuko sikuzote unapambana uchukue nafasi ,unategemea nn? Jibu unalo....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji108][emoji108][emoji108]
Haujajua wanawake vizuri
Muache mkeo kaoe huo mchepuko

Wanaume mna maudhi sana ndani ya nyumba na huwa mnaona mpo sahihi
Wengi weny hamna mawasiliano mazuri na wake zenu,
Inafika mahali mke anachoka anakaa tu kama picha anapoteza hamu na wewe (hapo ndiyo unakosa sex)
Anaishi kwa mazoea, ukiulizwa last time umefanya pillow talk ama kutoka kwa matembezi na mkeo haukumbuki
Unamuweka kama kabati ndani ya nyumba

Kwa mchepuko unapiga simu babe twende tukapate lunch sehemu fulani...atakosaje nyege
Akiomba hela on spot inaingia...
Kwa mke unadai hali ngumu [emoji15] obvious mke anamute na anakuumiza pale anapoweza


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu kuna vitu huwa nakifikiria sana...ikitokea nikaolewa halafu nikaanza kumchoka/kutompenda mume itakuaje?

Ama vile kulala na mume kila siku nitaweza kweli?na vile nisivyopenda kulala na mtu

Pole sana mkuu...kiasi chake nimeelewa unafeel aje
Mh,,,,,,,,[emoji30]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
miaka 5 ya tabu.?hujazoea mpaka leo.?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Funguka vizuri. Haiwezekani ukaanza chuki kutoka hewani tu.Tueleze mlianzaje mapenzi yenu.Mlikutanaje?Nani alimuanza mwenzie?Mna watoto?Hali ya elimu zenu,mnazidiana?Uchumi umekaaje?Historian za familia zenu?Umepata mchepuko?Mkeo kapata au unahisi anao mchepuko?Vipi imani zenu/dini,ni waaamini wa kweli?Hebu jaribu kutuhusisha hayo machache kwanza.
Mkuu akijibu hayo maswali yote mada itakua imeisha ..si kwa maswali haya
 
Mfanyie Visa vyote na vituko, muonyeshe kuwa haumjali wala kumpenda. Atajiongeza mwenyewe aondoke uwe huru. Halafu ukaoe unaempenda.

Ila kabla ya kuruka hakikisha umeagana na nyonga usije ukajisapraizi.

Kila la kheri mkuu.
 
Back
Top Bottom