Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

Halafu kuna vitu huwa nakifikiria sana...ikitokea nikaolewa halafu nikaanza kumchoka/kutompenda mume itakuaje?

Ama vile kulala na mume kila siku nitaweza kweli?na vile nisivyopenda kulala na mtu

Pole sana mkuu...kiasi chake nimeelewa unafeel aje
Tena ckulala na mtu tu unatakiwa uclale na ile nguo pia ila ucjali utazoea tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu kuna vitu huwa nakifikiria sana...ikitokea nikaolewa halafu nikaanza kumchoka/kutompenda mume itakuaje?

Ama vile kulala na mume kila siku nitaweza kweli?na vile nisivyopenda kulala na mtu

Pole sana mkuu...kiasi chake nimeelewa unafeel aje
Yaani wewe kama mimi, umenipatia kweli namie sipendagi kulala na mtu; mie ni wa sampuli yako, tukiisha fanya kila mtu anaenda kulala kivyake. Also ukichoka sanaa, kukaa home, unabadilisha mazingira una kaa Hotel hata miezi saba hapahapa mjini kwa ajili ya kazi kwenda na kurudi, siku ukitoka huko umeiva utamu yaani safiii nakupa mimba tu, naikuza taatibu, ebu tutafutane pm.
 
Halafu eti unalala bila nanii, hivi kweli hapo rekebisha mwaya
 
Yaani wewe kama mimi, umenipatia kweli namie sipendagi kulala na mtu; mie ni wa sampuli yako, tukiisha fanya kila mtu anaenda kulala kivyake. Also ukichoka sanaa, kukaa home, unabadilisha mazingira una kaa Hotel hata miezi saba hapahapa mjini kwa ajili ya kazi kwenda na kurudi, siku ukitoka huko umeiva utamu yaani safiii nakupa mimba tu, naikuza taatibu, ebu tutafutane pm.
Mkuu,sina interests na wanawake wenzangu
 
Huko ndoa inavunjwa within a fraction of second na kuoa au kuolewa tena au umesahau.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata katika ukristo unaweza kuivunja ukiamua. Ni heri usiendelee kumuumiza mtu kuliko kuishi nae kwa kumuumiza na kujiumiza mwenyewe. Asiangalie watu wanasemaje amuweke wazi mke wake asepe...ila tu asimtelekeze mtoto.
 
Halafu kuna vitu huwa nakifikiria sana...ikitokea nikaolewa halafu nikaanza kumchoka/kutompenda mume itakuaje?

Ama vile kulala na mume kila siku nitaweza kweli?na vile nisivyopenda kulala na mtu

Pole sana mkuu...kiasi chake nimeelewa unafeel aje
Bonge la mtihani.
 
Wanawake yalitukuta humu duniani asee[emoji134]...MP sisi, kuzaa kwa uchungu sisi, kutafuta pesa kama wanaume sisi, kutukanwa sisi, ukewenza sisi tena na wanaume wenzetu yaan ni hakuna unafuu, kote kote mishale![emoji849]... jomoni tukimbilie wapi sasa!

Ona na hii tena imeongezeka

Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu ndio unakutana na mafurushi kama haya ya humu[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Mungu asaidie ivukwe salama asee
Ila wengine huwa wanajiendekeza tu, unakuta limtu linahangaika na michepuko ya kila aina wengine walozi wanamkoroga huko alafu mwisho wa siku anaanza kutafuta visingizio. Wanaharibu wenyewe kisha wanawatafutia wake zao sababu.
 
Back
Top Bottom