I kind feel and understand you
Watanzania tuna tabia ya ku fake life sana
Jeff bezos kaachana na mke wake na ndoa yao imekaa kwa miaka 25
Me nadhani inabidi kujiangalia mwenyewe ndani ya moyo wako what you need usiangalie watu watanionaje watanichukuliaje
Jiangalie will you be able to live without her??
How much you love her?
Ikitokea mmeachana can you handle vitu kama kugawana mali na nn??
Who will take care of the kids?
Na maswali kibao ukiweza jijibu yote utaweza kuamua nn cha kufanya
Sent using
Jamii Forums mobile app