finnest
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 834
- 1,240
Anyway , siwez kujudge sana maana kama mtu mnapenda inakuaje mpangiane mgegedo
Sent using Jamii Forums mobile app
Anyway , siwez kujudge sana maana kama mtu mnapenda inakuaje mpangiane mgegedo
bro hadi leo miaka mi tano imepitaliano sijaichukua video ya ndoa yetu..coz I hate that dayBro me nadhani mtafute mwanasaikolojia anaweza kukusaidia
Nimesoma comment zako zinaonyesha unamaanisha kila neno unaloliandika
Mtafute akusaidie naamini mambo yatakua sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Daa kumbe hujaolewa. Naomba unikaribishe pm tuyajenge mana MIE kazi zangu sio za kukaa eneo moja jamani.ivyo hutaboreka ama kupata shida ya kulala na mwanaume kila siku.
Naomba unikaribishe!!!
Wakuu. ...samahani kwa wale nitawakwaza
nimekuwa kwa ndoa miaka 5 sasa.ila simpendi mke wangu.nilioa hata sijui kwa sababu gani nilijikuta tu nafunga ndoa ...aisee napata tabu sana.sasa hapa napata tabu sana.wadau.sielewi inakuwaje hapa....sasa sijui naomba ushauri au ndio nimepata, ndoà ya kokristo
Njoo kwangu nikupe faraja kipenz Cha moyo wanguWanawake yalitukuta humu duniani asee[emoji134]...MP sisi, kuzaa kwa uchungu sisi, kutafuta pesa kama wanaume sisi, kutukanwa sisi, ukewenza sisi tena na wanaume wenzetu yaan ni hakuna unafuu, kote kote mishale![emoji849]... jomoni tukimbilie wapi sana!
Ona na hii tena imeongezeka
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kubadilisha mazingira, msafiri hata mahala for a week... Italeta hamsha hamshaMazingira gani jamani, mimi mwenyewe ni muanga mke wangu unaweza ukakaa hata mwezi usipo force kula mzigo ndio imetoka sometimes nakumbuka michepuko yangu nikitaka mzigo kwa michepuko napewa tena show ya kibabe
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi nina 5 years in marriage.,,,am 31 years old,,,I hate the dayear I tied the knot
Wakuu. ...samahani kwa wale nitawakwaza
nimekuwa kwa ndoa miaka 5 sasa.ila simpendi mke wangu.nilioa hata sijui kwa sababu gani nilijikuta tu nafunga ndoa ...aisee napata tabu sana.sasa hapa napata tabu sana.wadau.sielewi inakuwaje hapa....sasa sijui naomba ushauri au ndio nimepata, ndoà ya kokristo
HahaahhahaHuu ni moja kati ya threads za mleta mada.
![]()
Ni marufuku Mwanaume kulialia humu
Hii inatia hasira na inaudhi sana Unakuta mtu analialia eti kuachwa eti kutendwa. Mwanaume mzima unalialia humu kwa sababu ya Mapenzi Wanaume kuanzia leo ni marufuku kulialia kwa sababu ya hivyo vidude Waachieni mabinti watu wa emotions.Mwanaume unapaswa kuface reality.Sio mtu unakuja hapa...www.jamiiforums.com
Mimi namshauri akasome alichokiandika humo!
- KANA -
Mkuu we acha hizi ndoa hizi sometimes kuzikimbilia sio poa kabisa. Kuna wakati nakumbuka sana maisha yangu ya ubachela lkn ndo siwezi kuyarudi. Kuna wakati mke anakua mkali hadi unamuogopa [emoji22]We acha tu unawaza ngoja nimpumnzishe miezi 2 ukidhani atakuwa na ham, siku ukimgusa mwenziokatulia tuliiiiii kama sex dol. Unajipandia unashusha kamoja dk. 5 unalala, na mgegedo kwamume mwenye afya huwa 3 round
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unataka umpate unayempenda alafu yeye hakupendi.. Nakuhakikishia utapata tabu sana, huyo ni wa kwako nadhani ukiulizwa sababu za msingi za kutompenda sidhani kama unaweza ukawa nazo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
I expected thought like thisWewe ndio unafanya wanaume wengine wema akina sis tunaonekana mafara. Pumbav. Eti ulioa basi tu?
Are you outof your mind man? Ulikuwa umefungamacho wakati unaoa?
Aisee wenzako tunatafuta mke wa kuoa ww unasema umechoka. Come on
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kubadilisha mazingira, msafiri hata mahala for a week... Italeta hamsha hamsha
Otherwise she aliolewa nawe for a reason
Sent using Jamii Forums mobile app
bro hadi leo miaka mi tano imepitaliano sijaichukua video ya ndoa yetu..coz I hate that day
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu we acha hizi ndoa hizi sometimes kuzikimbilia sio poa kabisa. Kuna wakati nakumbuka sana maisha yangu ya ubachela lkn ndo siwezi kuyarudi. Kuna wakati mke anakua mkali hadi unamuogopa [emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app