Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

Guys I am facing the same tratgy, mi pia nina umri wa ndoa miaka 5 but tulianza kuishi kama wazazi kabla ya kuoana. Shida ilianza mwaka wa 3wa ndoa. Actually nlikuwa nishadate waschana si zaidi ya wa 3 ndo huyu akawa wa 3. Miaka mitatu ya kuishi wote nlianza kupangiwa mgegedo once per week na mm ndo nlikuwa nina dam bado changa 33yrrs, she was 26. Nlianza kuchepuka but nlikuwa naumia sana moyoni. Pia nlikuwa na mipango ya maendeleo so sikutaka nitumie hela kuhonga. Taratibu nikazoea hadinikaonani haki yangu. Ilianza kupita mwezi bila mgegedo na hatimae miezi3 na kuna kipindi tunakata 3moths kasoro. Sasa tu a 10yrs. Nimechepuka na wanawake wengi tu. Alishanikamata na sms marakadhaa, and huwa nakuwa mbogo,na kwavile ni mwanamke huwa ananywea, kinachoniuma ss nahitaji kupata mtu mwenye uchungu na maisha ili awemchepuko permanent and hata kamanawekeza kwake nijue kuna faida. Nimechoka kuwa cha wote aiseee, tofautini kuwa mi wife nampenda, na siko tayarikumwacha, japo huwa namwambia kama ameniona malaya basi tuachane

Tatizo lako ni lack of communication kwa mkeo kama hauko teyari kumuacha inamaana unampenda lkn kumpenda haimaanishi anachosema ndo hikohiko eleza hisia zako upate kusaidiwa kama mara moja kwa mwezi huiwezi muweke wazi mwenzi wako,kama ni maendeleo panga nae mshirikishe tena utashangaa anakupa mawazo zaidi ya unavyomchukulia achana na michepuko hauwezi kuwekeza kwao alafu kukawa na faida
 
Dah yaani una umri kama wangu, unapitia mapito kama yangu tofauti me kwenye ndoa nina miaka 6.Yaani nilivyosoma nilihisi kama mimi ndo nimeandika.
Nampenda sana mke wangu hadi najisikia vibaya kuchepuka lkn sina namna maana home furaha imepotea kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana huwa kuna viapo
milima na mabonde
lakini kumbuka muujiza wa kwanza kabisa Yesu kuufanya ni katika ndoa kijiji kimoja cha kana katika jiji la galilaya

Mama yake Yesu akamwambia
"hawana divai"

Yesu akabadilisha maji kuwa divai tena tamu zaidi kuliko iliyowahi kutokea wakati wowote-Yohana 2:1-10

Ujumbe:
rasilimali zetu yaani upendo wetu,na uvumilivu wetu kuna muda huwa vinafikia kikomo vinachakaa
katika kipindi hiki kigumu cha mapito ya ndoa zetu ndo kipindi cha kumlilia Mungu sana sana maana ni kipindi cha hatari ambapo shetani anafuta njia ya kuipoteza hii ndoa

Lakini kwa kumtegemea Mungu anatenda muujiza kwa kuleta divai tamu(upendo mpya) penzi linashika kasi yake tena kama mmeoana jana yake tu.

Mungu akusaidie mkuu,,ni vema mkaanza maombi kuliombea hilo jambo

Mungu ni mwaminifu

'Gear yourself to solutions in every problem'
 
Guys I am facing the same tratgy, mi pia nina umri wa ndoa miaka 5 but tulianza kuishi kama wazazi kabla ya kuoana. Shida ilianza mwaka wa 3wa ndoa. Actually nlikuwa nishadate waschana si zaidi ya wa 3 ndo huyu akawa wa 3. Miaka mitatu ya kuishi wote nlianza kupangiwa mgegedo once per week na mm ndo nlikuwa nina dam bado changa 33yrrs, she was 26. Nlianza kuchepuka but nlikuwa naumia sana moyoni. Pia nlikuwa na mipango ya maendeleo so sikutaka nitumie hela kuhonga. Taratibu nikazoea hadinikaonani haki yangu. Ilianza kupita mwezi bila mgegedo na hatimae miezi3 na kuna kipindi tunakata 3moths kasoro. Sasa tu a 10yrs. Nimechepuka na wanawake wengi tu. Alishanikamata na sms marakadhaa, and huwa nakuwa mbogo,na kwavile ni mwanamke huwa ananywea, kinachoniuma ss nahitaji kupata mtu mwenye uchungu na maisha ili awemchepuko permanent and hata kamanawekeza kwake nijue kuna faida. Nimechoka kuwa cha wote aiseee, tofautini kuwa mi wife nampenda, na siko tayarikumwacha, japo huwa namwambia kama ameniona malaya basi tuachane
pole mkuu kwa kupangiwa mgegedo
hahahaha

'Gear yourself to solutions in every problem'
 
Daaah wakuu asiwachoshe huyu mvulana hapa , mwanaume kweli km hammpend mkewe angalimalizana nae kimya kimya huko

Maybe anamfukuzia mdada humu so anatafta kiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu kuna vitu huwa nakifikiria sana...ikitokea nikaolewa halafu nikaanza kumchoka/kutompenda mume itakuaje?

Ama vile kulala na mume kila siku nitaweza kweli?na vile nisivyopenda kulala na mtu

Pole sana mkuu...kiasi chake nimeelewa unafeel aje
Tena kila siku unazidi kumpenda Sijui Mungu kaweka nini,,,inafikia mahali kama hayupo unajiona hauko sawa,,,
 
Mi kukaa na mpenzi miezi sita tu nashindwa, sijui ndoa kama ntaweza. Yani kweli kuna mda unafika unahisi unamchoka mtu

MIMI
Hahhaha hongera mkuu,Kwa kweli watu mna moyo kwako unahisi kituko lakini ukisimuliwa yangu ndio utasema kumbe wewe una unafuu..

Yaani sijui mimi nina roho gani,kwanza sinaga mazoea na watu alafu mpaka kuzoeana na mtu inanichukua muda kweli,issue ya wanawake sasa ndio balaa,sijawahi kukaa kwenye relation more than 3 weeks(zaidi ya wiki tatu)NIAMINI MIMI sitanii!!

Kiufupi sijawahi kuwa na mpenzi mpaka ninapoandika hapa saivi,tatzo sio mimi!!Tatzo ni halmashauri ya Ubongo wangu haipendi kuendeshwa,au drama za hovyo!..kwa hyo najifahamu vzr tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
khaa, ongea na mkeo ukute na yeye ana the same feelings,lol,i guess kama utamsupport financially,yeye na mtoto wenu sidhani kama atakua na ishu na wewe na michepuko yako,lol..i get the feeling na yeye haku feel kihivyooo,ndio maana mgegedo kakupangia miezi mitatu lol
 
Back
Top Bottom