walitola
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,846
- 5,687
Ila mda mwingine mnakera kweli mkiombwa kitumbua munazingua kweli alafu tena eti mke wa ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna umasikini wowote Ndg.... Huyu Addict Ana mfumodume syndromes!! Just need tunning!!
my case iz different. ..sitaki kabisa
I think I just married kwa sababu ya mwanangu..we got a baby before marriageMkuu kumbuka wewe ni mkristo ndoa ni moja tu but lazima kutakuwa kuna vitu vinavyokufanya usiwe na hamu na mkewe
Sent using Jamii Forums mobile app
I think I just married kwa sababu ya mwanangu..we got a baby before marriage
Mmmmh! msomage na mazingira jamani jaribu kuangalia anatatizo gani muongee.Ila mda mwingine mnakera kweli mkiombwa kitumbua munazingua kweli alafu tena eti mke wa ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Guys I am facing the same tratgy, mi pia nina umri wa ndoa miaka 5 but tulianza kuishi kama wazazi kabla ya kuoana. Shida ilianza mwaka wa 3wa ndoa. Actually nlikuwa nishadate waschana si zaidi ya wa 3 ndo huyu akawa wa 3. Miaka mitatu ya kuishi wote nlianza kupangiwa mgegedo once per week na mm ndo nlikuwa nina dam bado changa 33yrrs, she was 26. Nlianza kuchepuka but nlikuwa naumia sana moyoni. Pia nlikuwa na mipango ya maendeleo so sikutaka nitumie hela kuhonga. Taratibu nikazoea hadinikaonani haki yangu. Ilianza kupita mwezi bila mgegedo na hatimae miezi3 na kuna kipindi tunakata 3moths kasoro. Sasa tu a 10yrs. Nimechepuka na wanawake wengi tu. Alishanikamata na sms marakadhaa, and huwa nakuwa mbogo,na kwavile ni mwanamke huwa ananywea, kinachoniuma ss nahitaji kupata mtu mwenye uchungu na maisha ili awemchepuko permanent and hata kamanawekeza kwake nijue kuna faida. Nimechoka kuwa cha wote aiseee, tofautini kuwa mi wife nampenda, na siko tayarikumwacha, japo huwa namwambia kama ameniona malaya basi tuachane
bro...hii kitu nishindwa hata kuigizaWanawake ndo wanakuwa na mwanaume hata miaka kumi na hawajawahi kuwapenda sasa wewe mwanaume mwenzetu mbona unatutia aibu.
Na wewe ulioa mbibi kufuata hela?ulioa yeyote ukiwa na miaka 28 kuogopa ukifika miaka 30 utakosa mke???
Embu drop hizo expectations kaa kwa kutulia.
Mpende mkeo....
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi nina 5 years in marriage.,,,am 31 years old,,,I hate the dayear I tied the knotDah yaani una umri kama wangu, unapitia mapito kama yangu tofauti me kwenye ndoa nina miaka 6.Yaani nilivyosoma nilihisi kama mimi ndo nimeandika.
Nampenda sana mke wangu hadi najisikia vibaya kuchepuka lkn sina namna maana home furaha imepotea kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmh! msomage na mazingira jamani jaribu kuangalia anatatizo gani muongee.
Na sio kuchukua tu maamuzi ya kuchepuka mbona na nyie mnamadhaifu mengi ila tunawachukulia Jinsi mlivyo.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Haupendi kulala na MTU ee kua uyaoneHalafu kuna vitu huwa nakifikiria sana...ikitokea nikaolewa halafu nikaanza kumchoka/kutompenda mume itakuaje?
Ama vile kulala na mume kila siku nitaweza kweli?na vile nisivyopenda kulala na mtu
Pole sana mkuu...kiasi chake nimeelewa unafeel aje
ndio nagundua sasa..na najuta. ..najutia sana...sana yani...najutia kweli
Dah yaani una umri kama wangu, unapitia mapito kama yangu tofauti me kwenye ndoa nina miaka 6.Yaani nilivyosoma nilihisi kama mimi ndo nimeandika.
Nampenda sana mke wangu hadi najisikia vibaya kuchepuka lkn sina namna maana home furaha imepotea kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Daa kumbe hujaolewa. Naomba unikaribishe pm tuyajenge mana MIE kazi zangu sio za kukaa eneo moja jamani.ivyo hutaboreka ama kupata shida ya kulala na mwanaume kila siku.Halafu kuna vitu huwa nakifikiria sana...ikitokea nikaolewa halafu nikaanza kumchoka/kutompenda mume itakuaje?
Ama vile kulala na mume kila siku nitaweza kweli?na vile nisivyopenda kulala na mtu
Pole sana mkuu...kiasi chake nimeelewa unafeel aje
mimi nina 5 years in marriage.,,,am 31 years old,,,I hate the dayear I tied the knot
Mazingira gani jamani, mimi mwenyewe ni muanga mke wangu unaweza ukakaa hata mwezi usipo force kula mzigo ndio imetoka sometimes nakumbuka michepuko yangu nikitaka mzigo kwa michepuko napewa tena show ya kibabe
Sent using Jamii Forums mobile app