Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

Nyinyi ndio Selfish mnaowaza ngono mda wote! Nyinyi ndio selfish mnaofikiri wanawake ni mali zenu mkiskia Nyeg* mda wwte hawana haki ya kukataa, mbinafsi usiemfikiria mwenzio!
Kwanza nikufundishe kitu njia kuu ya mwanaume kuonyesha mapenzi kwa mwanamke ni kupitia sex..
Niamini mimi ondoa sex kwenye mahusiano mwanaume hataona thamani ya mwanamke kbs...sawa mnapenda kujaliwa outside bedroom lakini ili upendwe nje ya kitanda lazima ujifunze kutoa good sex na lazima ukichoka useme na ukiwa na mood useme.

Ukiona mwanaume hana mapenzi kwa mwanamke wake,haudumii,anatukana ovyo,anasaliti ujue mahusiano hayo mwanaume hapati great sex...Jiulize kwanini mwanaume anaoa leo anampa mkewe kila kitu hlf baada ya miaka 3 haachi ht hela ya matumizi pesa zote kwa malaya!

Sasa ni jukumu lako kuwa muwazi na kushirikian na mpenzi wako sex iwe nzuri...sasa wewe susa, pretend,fake fake uone itafika kipindi hata kumuona mumewe kadinda utasahau hapo sasa ndo hata 2000 ya kusuka twende kilioni unapewa huku anahuzunika ila malaya anapewa mapesa km yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu. ...samahani kwa wale nitawakwaza

Nimekuwa kwa ndoa miaka 5 sasa.ila simpendi mke wangu. Nilioa hata sijui kwa sababu gani nilijikuta tu nafunga ndoa ...

Aisee napata tabu sana. Sasa hapa napata tabu sana. Wadau sielewi inakuwaje hapa....sasa sijui

Naomba ushauri au ndio nimepata, ndoà ya kikristo

Mambo mawili,ni either mke wako alokuloga umamuoa na sasa umejitambua, au kuna mchepuko una mahusiano naye kakuloga unamwona mke wako hafai.....

Kama una.mchepuko na uwezo wa kumpa hela,then achana na mchepuko mwombe Mungu wako akufungue uendeleze familia....

Hawa wadudunje ya nsoa hawafai.
 
Halafu kuna vitu huwa nakifikiria sana...ikitokea nikaolewa halafu nikaanza kumchoka/kutompenda mume itakuaje?

Ama vile kulala na mume kila siku nitaweza kweli?na vile nisivyopenda kulala na mtu

Pole sana mkuu...kiasi chake nimeelewa unafeel aje
Mkuu inabidi ukiolewa uweke double deka kama bording
 
Ingia fb mtafute huyu jamaa idd makengo anakitabu kinaitwa ndoa yangu hapo utapata tiba
 
Maneno haya kamdanganye Mwanafunzi.! Eti ukimpa sex nzr hakucheat, nyinyi sindo kutwa mnajitetea ndo Hulka yenu kucheat? Sasa hivi unajitetea eti unacheat kwakua hufurahii, sasa km humfurahii si umuache tu mazima uende kwa hao wanaokufurahisha? Una uhakika yy anafurahia Sex yako?😁 Maana km mwanamke hakupendi hata hizo hisia haziji unamkera tu. bora nyie yyte tu inasmama iwe Malaya, Mchafu, Mtoto mdg, Maiti, Chizi huwa mnasmamisha na kumalizA.

Wanawake wote Duniani wanajua kwamba mwanaume hata umfanyie nini au umpe nini haridhiki.. Wanaume km Fisi utampa nyama akitoka nje ataenda kutafuta mifupa. Kwahio mwanamke yyte wa kizazi hiki anaejielewa hawez hata sku 1 kusumbuka na mwanaume, Huridhiki Kwendaaa unaridhika Baki. Hawez kujiharibu mwili wake kuridhisha fisi mroho.
Sio wote
 
Ni hivi huyo mwanamke kama hana ubaya wowote kwako ila ni wewe na hisia zako pindi utakapomuacha. Hakika hakika utakua umeharibu maisha yako. Kumbuka hili ata ukidharau sasa
Kanuni ya mateso ktk jamii na mahusiano ipo hivi;
Ukimuacha mke/mume/watoto ambao hawana tatizo,kwa hisia zako na tamaa tu ukaamua kuondoka
Huko uendako hautakuwa salama,lazima uchapike tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu kuna vitu huwa nakifikiria sana...ikitokea nikaolewa halafu nikaanza kumchoka/kutompenda mume itakuaje?

Ama vile kulala na mume kila siku nitaweza kweli?na vile nisivyopenda kulala na mtu

Pole sana mkuu...kiasi chake nimeelewa unafeel aje
Mm nimejifunza jambo,
Owa ama olewa na your best friend,mtahurumiana,
Ukioa ama kuolewa na mke/mume ipo siku mtaumizana na kukifiana,
Mwenza wako hapaswi kuwa mpenzi wako anapaswa kuwa team mate wako ktk maisha na mapenzi,
Mpenzi hufanya take lkn team mate hufanya yenu,
Mwenzi wako anapaswa kuwa team mate ktk safari ya maisha,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tulikutana kwenye daladala
mimi nilimuanza sikuwa na nia ya kuoa
mtoto mmoja
yeye form four mimi degrée 2
uchumi si mbaya...we get what we want...sema uwezo wake kuchangia mdogo
sijui kama anadaka mchepuko
ni RC ila Watoro
Haya ndo matatizo ya kuoa kwa tamaa ya ngono,unamuona MTU mtaani unatamani ta*o unajitupia ghafla mke,
Oa rafiki ako,mfanye team mate wako siyo mpenzi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu. ...samahani kwa wale nitawakwaza

Nimekuwa kwa ndoa miaka 5 sasa.ila simpendi mke wangu. Nilioa hata sijui kwa sababu gani nilijikuta tu nafunga ndoa ...

Aisee napata tabu sana. Sasa hapa napata tabu sana. Wadau sielewi inakuwaje hapa....sasa sijui

Naomba ushauri au ndio nimepata, ndoà ya kikristo
Mkuu piga chini fasta usije kufa kwa stress si unaona ile nyomi kwa makonda juzi wale wote waume zao wamekufa.Mkuu wanaume tunakufa sana kasababu hatuna furaha iyo ndoa ni karatasi tu lisikufunge ndoa halisi ni moyoni yani ilo karatasi unaweza kufungia vitumbua tu
 
Aiseee.. ndoa zina mengi kweli.
Hapo ukiwa na mchepuko utasikia binadamu tunalaani mtu anavunja kilichounganishwa na Mungu kumbe mume mwenyewe hana amani na ndoa yake
Cc Phenomenal woman

Sent using Jamii Forums mobile app

Sjui ina kuwaje mtu anafanya maamuzi makubwaa kama ya ndoa only to come and say “sjui kwann nilioa” kusumbuana tuuu.





Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wanawake yalitukuta humu duniani asee[emoji134]...MP sisi, kuzaa kwa uchungu sisi, kutafuta pesa kama wanaume sisi, kutukanwa sisi, ukewenza sisi tena na wanaume wenzetu yaan ni hakuna unafuu, kote kote mishale![emoji849]... jomoni tukimbilie wapi sasa!

Ona na hii tena imeongezeka

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mkuu wanaume inaonekana tunakufa sana kwa stress reference ni ile nyomi kwa makonda wote wale wajane
 
Sjui ina kuwaje mtu anafanya maamuzi makubwaa kama ya ndoa only to come and say “sjui kwann nilioa” kusumbuana tuuu.





Sent from my iPhone using JamiiForums
Hapa alaumu genye zake tu.
Lakini mpaka na watoto wanazaaa halafu hamna upendo aiseee.

Na wanawake pia tujifunze, tusilazimishe ndoa.
I'm sure hii ndoa ilifungwa kwa influence ya mwanamke. Mwanaume akaona unataka ndoa mama hii hapa utulie.
Sasa mwanaume uvumilivu umemfika hapaaaa. Mambo hayaendi tena shida tupu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu. ...samahani kwa wale nitawakwaza

Nimekuwa kwa ndoa miaka 5 sasa.ila simpendi mke wangu. Nilioa hata sijui kwa sababu gani nilijikuta tu nafunga ndoa ...

Aisee napata tabu sana. Sasa hapa napata tabu sana. Wadau sielewi inakuwaje hapa....sasa sijui

Naomba ushauri au ndio nimepata, ndoà ya kikristo
Nadhani una matatizo hiyo sio akili yako uliyokuwa nayo kabla ya kuoa.
Kwa hali hii mnasababisha wanawake wasiwaamini wanaume hata kidogo.

Kwanza umemchakaza mtoto wa watu alafu saizi unatuletea habari za kumchukia, ulimkuta anang'aa ukampenda. Umeshindwa kumpa matunzo na sasa unamuona hafai.

Sijajua umri wako, lakini kwa mtazamo wangu umetawaliwa na roho mbaya sana. Unamchukia mke bila sababu? Eleza vizuri kwanini unamchukia

Sidhani kama utapata ushauri unaofaa, kama ni mshika dini kamuone Mchungaji au mwalimu wako wa dini au Wazee wa busara wakushauri.

Mkorintho wa 6
 
Maneno haya kamdanganye Mwanafunzi.! Eti ukimpa sex nzr hakucheat, nyinyi sindo kutwa mnajitetea ndo Hulka yenu kucheat? Sasa hivi unajitetea eti unacheat kwakua hufurahii, sasa km humfurahii si umuache tu mazima uende kwa hao wanaokufurahisha? Una uhakika yy anafurahia Sex yako?[emoji16] Maana km mwanamke hakupendi hata hizo hisia haziji unamkera tu. bora nyie yyte tu inasmama iwe Malaya, Mchafu, Mtoto mdg, Maiti, Chizi huwa mnasmamisha na kumalizA.

Wanawake wote Duniani wanajua kwamba mwanaume hata umfanyie nini au umpe nini haridhiki.. Wanaume km Fisi utampa nyama akitoka nje ataenda kutafuta mifupa. Kwahio mwanamke yyte wa kizazi hiki anaejielewa hawez hata sku 1 kusumbuka na mwanaume, Huridhiki Kwendaaa unaridhika Baki. Hawez kujiharibu mwili wake kuridhisha fisi mroho.
Wewe umetendwa na kuelewesha wewe inahitaji mda tukae tuzungumze nikufundishe ujue ulikosea...

Kifupi kuridhika kwa mwanaume ni pale mwanamke wake anaporidhika hiyo ndo maana halisi tukizungumzia great sex we bwana embu nitumie namba yako inbox nikupe kitabu kimoja usome uongeze uelewa wako jua ya mahusiano ili mahusiano yajayo usiteseke na hizi chuki..

Hii ni game ya mapenzi mama inabidi ujue namna ya kucheza sio kulaumu team pinzani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom