Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

Ww nae... Kwahio Baba ako akitangulia kufa utalaumu kwamba alikufa kwa Stress ndiomana Mamaako kasurvive ila yy kafa? Na usifkiri kila mjane means kafiwa na mume, wengine wameachika na waume zao wapo hai, Mjane ni mtu alieachika au kufiwa na mwenza wake.
Pole
 
Halafu kuna vitu huwa nakifikiria sana...ikitokea nikaolewa halafu nikaanza kumchoka/kutompenda mume itakuaje?

Ama vile kulala na mume kila siku nitaweza kweli?na vile nisivyopenda kulala na mtu

Pole sana mkuu...kiasi chake nimeelewa unafeel aje
We huwez olewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikua na vihisia na wewe
kwa coment hi!

ahsant

Voxser empire
 
Haujajua wanawake vizuri
Muache mkeo kaoe huo mchepuko

Wanaume mna maudhi sana ndani ya nyumba na huwa mnaona mpo sahihi
Wengi weny hamna mawasiliano mazuri na wake zenu,
Inafika mahali mke anachoka anakaa tu kama picha anapoteza hamu na wewe (hapo ndiyo unakosa sex)
Anaishi kwa mazoea, ukiulizwa last time umefanya pillow talk ama kutoka kwa matembezi na mkeo haukumbuki
Unamuweka kama kabati ndani ya nyumba

Kwa mchepuko unapiga simu babe twende tukapate lunch sehemu fulani...atakosaje nyege
Akiomba hela on spot inaingia...
Kwa mke unadai hali ngumu obvious mke anamute na anakuumiza pale anapoweza

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili za wanaume wakati mwingine unaweza hisi zimejaa matope.
 
shida ninapigaje chini...nampenda sana mwanangu
Mfyuuuu zenu, mtoto unampenda ila mama yake unajifanya humpendi.
Oa hiyo michepuko yako sasa kama unampenda mwanao zaidi.
 
Pole sana, nikwambie kitu jifundishe kumpenda ninaamini utaweza, kikubwa usiangalie mabaya yake alokufanyika kama yamewahi kutokea angalia mazuri yake, ni ngumu sana lkn naamini hadi ukafunga nae ndoa yule unampenda, mwanamme nliye nae mimi mwanzoni sikuwahi mpenda aisee nisiwe muongo, lkn nmekaa nae nikajikuta nampenda mnoo uwiiiii huwa nikikaa nkikumbuka tulivyoanza nacheka, siku ya kwanza ya mgegedo hahahah nilifumba macho natamani amalize haraka,ila sasa hahahah uwiiiii, mshikaji mpende mkeo bwana no matter what siku ukimpata ambae hakupendi walahi utalia
 
Ila mkuu wanaume inaonekana tunakufa sana kwa stress reference ni ile nyomi kwa makonda wote wale wajane
Na stress hizo huwa mnajitafutia wenyewe kwa upumbavu wenu. Hamuombei ndoa zenu, matatizo yenu mnaona michepuko ndio suluhisho. Mkishakoroga huko mnajifanya mna stress mnakufa. Mkufe tu maana msiba wa kujitakia hauna kilio.

Hivi mnafikiri wanawake wana raha sana kwenye ndoa zao? Hebu pita makanisani kaangalie %kubwa ya wanaohangaika kuzililia na kuziombea ndoa zao ni kina nani?
 
Hapa alaumu genye zake tu.
Lakini mpaka na watoto wanazaaa halafu hamna upendo aiseee.

Na wanawake pia tujifunze, tusilazimishe ndoa.
I'm sure hii ndoa ilifungwa kwa influence ya mwanamke. Mwanaume akaona unataka ndoa mama hii hapa utulie.
Sasa mwanaume uvumilivu umemfika hapaaaa. Mambo hayaendi tena shida tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Angelazimishwa si angesema, mbona kahojiwa hakuna mahali amesema alilazimishwa kuoa?
Alafu hii dhana ya kulazimishwa kuoa mimi huwa napingana nayo sana, hivi unalazimishwaje kuoa kwa mfano
Mtu mzima mwenye utimamu wako unalazimishwaje kufanya maamuzi makuu ya maisha yako?
 
Ww nae... Kwahio Baba ako akitangulia kufa utalaumu kwamba alikufa kwa Stress ndiomana Mamaako kasurvive ila yy kafa? Na usifkiri kila mjane means kafiwa na mume, wengine wameachika na waume zao wapo hai, Mjane ni mtu alieachika au kufiwa na mwenza wake.
Nimesikia aliyeachika anaitwa MSIMBE eti hicho ndio cheo chake alafu yule aliyefiwa ndio huitwa MJANE

Mkorintho wa 6
 
Halafu kuna vitu huwa nakifikiria sana...ikitokea nikaolewa halafu nikaanza kumchoka/kutompenda mume itakuaje?

Ama vile kulala na mume kila siku nitaweza kweli?na vile nisivyopenda kulala na mtu

Pole sana mkuu...kiasi chake nimeelewa unafeel aje
mrembo ,ndoa siyo kwa kila mtu....we utabakia kuwa single maza milele
 
Back
Top Bottom