Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

Addict

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2015
Posts
702
Reaction score
485
Wakuu samahani kwa wale nitakaowakwaza

Nimekuwa kwenye ndoa miaka 5 sasa ila simpendi mke wangu. Nilioa hata sijui kwa sababu gani nilijikuta tu nafunga ndoa.

Aisee napata tabu sana. Sasa hapa napata tabu sana. Wadau sielewi inakuwaje hapa, sasa sijui

Naomba ushauri au ndio nimepata, ndoà ya kikristo.

update
wadau..kuna kitu nimejifunza...hakuna ndoa inafungiwa isiyo mpango wa Mungu....nimekaa chini. ..nimeenda retreat ya mwezi mzima nimejitafakari...I got a super beautiful wife,...amazing and intelligent one..mi kweli ndio nilikuwa mwenye shida....aisee ujinga mzigo....alafu wanaume tukioa tuulize ma choisi yetu....kwa niliyoyapitia sitamwacha mke wangu milele milele amina
 
Funguka vizuri. Haiwezekani ukaanza chuki kutoka hewani tu.Tueleze mlianzaje mapenzi yenu.Mlikutanaje?Nani alimuanza mwenzie?Mna watoto?Hali ya elimu zenu,mnazidiana?Uchumi umekaaje?Historian za familia zenu?Umepata mchepuko?Mkeo kapata au unahisi anao mchepuko?Vipi imani zenu/dini,ni waaamini wa kweli?Hebu jaribu kutuhusisha hayo machache kwanza.
 
Halafu kuna vitu huwa nakifikiria sana...ikitokea nikaolewa halafu nikaanza kumchoka/kutompenda mume itakuaje?

Ama vile kulala na mume kila siku nitaweza kweli?na vile nisivyopenda kulala na mtu

Pole sana mkuu...kiasi chake nimeelewa unafeel aje
mimi saivi Nash inda bar tu
 
Funguka vizuri. Haiwezekani ukaanza chuki kutoka hewani tu.Tueleze mlianzaje mapenzi yenu.Mlikutanaje?Nani alimuanza mwenzie?Mna watoto?Hali ya elimu zenu,mnazidiana?Uchumi umekaaje?Historian za familia zenu?Umepata mchepuko?Mkeo kapata au unahisi anao mchepuko?Vipi imani zenu/dini,ni waaamini wa kweli?Hebu jaribu kutuhusisha hayo machache kwanza.
tulikutana kwenye daladala
mimi nilimuanza sikuwa na nia ya kuoa
mtoto mmoja
yeye form four mimi degrée 2
uchumi si mbaya...we get what we want...sema uwezo wake kuchangia mdogo
sijui kama anadaka mchepuko
ni RC ila Watoro
 
Wakuu. ...samahani kwa wale nitawakwaza
nimekuwa kwa ndoa miaka 5 sasa.ila simpendi mke wangu.nilioa hata sijui kwa sababu gani nilijikuta tu nafunga ndoa ...aisee napata tabu sana.sasa hapa napata tabu sana.wadau.sielewi inakuwaje hapa....sasa sijui naomba ushauri au ndio nimepata, ndoà ya kokristo
Masikini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom