KIBEBA BEBEA
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 244
- 286
Sijajua kuna kani gani ya mvutano ila why does mchepuko knows how to behave and treat you perfectly compared to the wife at home?
Yani japo ni foul ila sio siri unapata amani na furaha sana ukiwa kwa mchepuko. Anakusikiliza na anaonesha upendo haswaa ila njoo kwa mke sasa. Mara kanuna, mara amekujibu kunya, mara hakupi ngenya mpaka akusimange wee, mara kachoka aargh! Ila mwanamke huyo huyo kuna mtu anampa papa nje na kumatikia mauno ya uhakika... Unaweza juta kuoa walahi!
obvious mke anamute na anakuumiza pale anapowezaZingine zote ni mbwembwe cha msingi umeelewa mantiki yake.Official letter sio?Unapoanza sentesi, anza na herufi kubwa. Na pia neno wa kuu ni WAKUU. Taabu ni tabu.
Hebu rekebisha hayo halafu tuanze kujadiliana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahio huna hata kimoja unachokipenda kwa huyo mwanamke? Sio tabia, sio sura wala shepu unayopenda?I think I just married kwa sababu ya mwanangu..we got a baby before marriage
yaani uko kamimi kopi kabisa hakuna kitu sipendi kama kulala Na mtu asee nibora chumbani kwangu nikiwa namaisha
Mazuri niwe navitanda viwili ili sikutukihitaji ndo tunalala pamoja yaani sipendi kabisa ndo bahati mbaya nimguse usiku naweza fukuza mtu nahisi hii ndo
Tabia yangu mbaya zaidi nachukia sana tena sana kulala Na mtu kitanda kimoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lipo kwako 100%Wakuu. ...samahani kwa wale nitawakwaza
Nimekuwa kwa ndoa miaka 5 sasa.ila simpendi mke wangu. Nilioa hata sijui kwa sababu gani nilijikuta tu nafunga ndoa ...
Aisee napata tabu sana. Sasa hapa napata tabu sana. Wadau sielewi inakuwaje hapa....sasa sijui
Naomba ushauri au ndio nimepata, ndoà ya kikristo
I think so.dah..napata tabu sanaKwahio huna hata kimoja unachokipenda kwa huyo mwanamke? Sio tabia, sio sura wala shepu unayopenda?
Anyways, naona kabisa atakuwa ni wale wanamke wa ujanani huyo nahisi ulizaa nae bahati mbaya kwa ajili ya msukumo wa genye za balehe. But so far hukuwahi kumpenda.
Pole sana mkuu.
Mmmh hupendi kulala na mtu?
Ukimpenda kweli mtu utatamani kila muda na mahali uwe nae.
Mti wenye matunda.
Mbona kuna ambao wake zetu tunawajali sana tu Hornet sema tu huwa wanazingua. Sasa mke anapoamua kukunyima pusi anategemea nini? Yani unamtunza vizuri unamtimizia mahitaji yake kwa usahihi ila bado analeta nyodo sometimes adi unasema nini hiki!Haujajua wanawake vizuri
Muache mkeo kaoe huo mchepuko
Wanaume mna maudhi sana ndani ya nyumba na huwa mnaona mpo sahihi
Wengi weny hamna mawasiliano mazuri na wake zenu,
Inafika mahali mke anachoka anakaa tu kama picha anapoteza hamu na wewe (hapo ndiyo unakosa sex)
Anaishi kwa mazoea, ukiulizwa last time umefanya pillow talk ama kutoka kwa matembezi na mkeo haukumbuki
Unamuweka kama kabati ndani ya nyumba
Kwa mchepuko unapiga simu babe twende tukapate lunch sehemu fulani...atakosaje nyege
Akiomba hela on spot inaingia...
Kwa mke unadai hali ngumuobvious mke anamute na anakuumiza pale anapoweza
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umeolewa?
Usinicheke
Nawazaga kweli yani halafu nikimwambia mama ananiambia utoto unanisumbua![]()
Hahah mke yupo dozing mode. Hana machachari kabisaWe acha tu unawaza ngoja nimpumnzishe miezi 2 ukidhani atakuwa na ham, siku ukimgusa mwenziokatulia tuliiiiii kama sex dol. Unajipandia unashusha kamoja dk. 5 unalala, na mgegedo kwamume mwenye afya huwa 3 round
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijajua kuna kani gani ya mvutano ila why does mchepuko knows how to behave and treat you perfectly compared to the wife at home?
Yani japo ni foul ila sio siri unapata amani na furaha sana ukiwa kwa mchepuko. Anakusikiliza na anaonesha upendo haswaa ila njoo kwa mke sasa. Mara kanuna, mara amekujibu kunya, mara hakupi ngenya mpaka akusimange wee, mara kachoka aargh! Ila mwanamke huyo huyo kuna mtu anampa papa nje na kumatikia mauno ya uhakika... Unaweza juta kuoa walahi!
Love is feelings...tulikutana kwenye daladala
mimi nilimuanza sikuwa na nia ya kuoa
mtoto mmoja
yeye form four mimi degrée 2
uchumi si mbaya...we get what we want...sema uwezo wake kuchangia mdogo
sijui kama anadaka mchepuko
ni RC ila Watoro
Hahahaha -KANA- this is an overkill! Wana jf kwa kufokonyoa makaburi mpo juuHuu ni moja kati ya threads za mleta mada.
![]()
Ni marufuku Mwanaume kulialia humu
Hii inatia hasira na inaudhi sana Unakuta mtu analialia eti kuachwa eti kutendwa. Mwanaume mzima unalialia humu kwa sababu ya Mapenzi Wanaume kuanzia leo ni marufuku kulialia kwa sababu ya hivyo vidude Waachieni mabinti watu wa emotions.Mwanaume unapaswa kuface reality.Sio mtu unakuja hapa...www.jamiiforums.com
Mimi namshauri akasome alichokiandika humo!
- KANA -
Ndio matokeo yake haya
Ni vema kutafuta sababu inayopelekea haya kutokea, tatizo hutatuliwa kutokea kwenye mizizi.Wanawake yalitukuta humu duniani asee...MP sisi, kuzaa kwa uchungu sisi, kutafuta pesa kama wanaume sisi, kutukanwa sisi, ukewenza sisi tena na wanaume wenzetu yaan ni hakuna unafuu, kote kote mishale!
... jomoni tukimbilie wapi sasa!
Ona na hii tena imeongezeka
Sent using Jamii Forums mobile app