Pole sana mkuu, I can feel you. Kwa angle nyingine,
Naomba ujue kuwa historia zetu zinafuatilia maisha yetu na ya watoto wetu. Hali unayoipitia ina uhusiano mkubwa sana na maisha ya kiroho baina yenu na familia zenu (wewe na mkeo).
Kwa kuwa wewe ni Mkristo, jua ya kuwa kuzaa nje ya ndoa, always Kuna consequence kiroho. Kuzini kabla ya ndoa always Kuna consequences kiroho n.k. Hebu fikiria, ulimpenda >>>ukamtongoza>>akakupiga danadana lkn uka insist>>>akakukubalia>>>mkafanya ngono >>>akapata ujauzito >>>ukakubali kuwa utamuoa hivyo hivyo >>>ukaenda kutoa mahali >>>mkakaaa kipindi cha uchumba >>hatimaye kweli ukamuoa >>ghafla ukaanza kumchukia.
Mrudie Mungu kwa moyo wote, oba toba, na muombe Mungu aiponye ndoa yako kwa staili yake, maana wewe umeshafeli. Mwombe afute historia, maana hata mwanao (wajukuu) watakutana na tatizo hilohilo pia, kwa namna moja au nyingine.
Ukimwacha huyo mwanamke does not mean utakuwa na furaha. Rudi tu mbele za Mungu umwambie haya yote uliyoyaandika hapa, and be committed to him. After that, you will find a smooth way out.
Sent using
Jamii Forums mobile app