Nyaki v
Member
- May 13, 2017
- 91
- 52
Weka picha yake tukushauriWakuu samahani kwa wale nitakaowakwaza
Nimekuwa kwenye ndoa miaka 5 sasa ila simpendi mke wangu. Nilioa hata sijui kwa sababu gani nilijikuta tu nafunga ndoa.
Aisee napata tabu sana. Sasa hapa napata tabu sana. Wadau sielewi inakuwaje hapa, sasa sijui
Naomba ushauri au ndio nimepata, ndoà ya kikristo.