witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,750
daah!!unampenda mtoto,mama aliemleta ndo hafai tena,tulia wew dunia ndogo hiishida ninapigaje chini...nampenda sana mwanangu
Alikuwa anapiga miguu yote kama Ronaldo, tahamaki hajui baba wa mtoto ni nani..mshkaj akasepa mwingine kaamua kubaki
Iyoo avater ni yako mrsHalafu kuna vitu huwa nakifikiria sana...ikitokea nikaolewa halafu nikaanza kumchoka/kutompenda mume itakuaje?
Ama vile kulala na mume kila siku nitaweza kweli?na vile nisivyopenda kulala na mtu
Pole sana mkuu...kiasi chake nimeelewa unafeel aje
Muunganiko wa ndoa ni mgegedo sasa kama mgegedo unampangia unategemea apo ndoa itakuwa na furaha au mapenzi ya kweli mpe mmeo haki yake siyo kujifanya kuchoka akitoka nje unajiliza
SawaMuunganiko wa ndoa ni mgegedo sasa kama mgegedo unampangia unategemea apo ndoa itakuwa na furaha au mapenzi ya kweli mpe mmeo haki yake siyo kujifanya kuchoka akitoka nje unajiliza
Sent using Jamii Forums mobile app
hataki sitamani kukaa naye popote.in short saiv natamani pombe tuuuu
Mhh we utakuwa si mzima,au kale ka ugonjwa kanaitwa depression sijui kanaanza kukunyemelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah we mdada umetisha sana!Halafu kuna vitu huwa nakifikiria sana...ikitokea nikaolewa halafu nikaanza kumchoka/kutompenda mume itakuaje?
Ama vile kulala na mume kila siku nitaweza kweli?na vile nisivyopenda kulala na mtu
Pole sana mkuu...kiasi chake nimeelewa unafeel aje
Wakuu. ...samahani kwa wale nitawakwaza
nimekuwa kwa ndoa miaka 5 sasa.ila simpendi mke wangu.nilioa hata sijui kwa sababu gani nilijikuta tu nafunga ndoa ...aisee napata tabu sana.sasa hapa napata tabu sana.wadau.sielewi inakuwaje hapa....sasa sijui naomba ushauri au ndio nimepata, ndoà ya kokristo
Mi kukaa na mpenzi miezi sita tu nashindwa, sijui ndoa kama ntaweza. Yani kweli kuna mda unafika unahisi unamchoka mtu
MIMI

me miezi mi 3 uwaga nafanya na party kabisa... yan sometimes naweza nkasema uyu ndo wangu mara baada ya muda najikuta tu simtakiUlioa ukiwa na umri gani jiulize kwanzaWakuu. ...samahani kwa wale nitawakwaza
Nimekuwa kwa ndoa miaka 5 sasa.ila simpendi mke wangu. Nilioa hata sijui kwa sababu gani nilijikuta tu nafunga ndoa ...
Aisee napata tabu sana. Sasa hapa napata tabu sana. Wadau sielewi inakuwaje hapa....sasa sijui
Naomba ushauri au ndio nimepata, ndoà ya kikristo
Umeweka shortcut mno . Hayo mahusiano yamekaa mda gani mpaka ukachukua uamuz wa kufunga nae ndoa. Ulikuwa na umri gani wakati unafunga nae ndoa, uwezo wake wa kuchangia umesema ni mdogo kwani yeye ana shuguli inayomwingizia pesa kiasi gani na wewe kuna gap ganitulikutana kwenye daladala
mimi nilimuanza sikuwa na nia ya kuoa
mtoto mmoja
yeye form four mimi degrée 2
uchumi si mbaya...we get what we want...sema uwezo wake kuchangia mdogo
sijui kama anadaka mchepuko
ni RC ila Watoro
Wakuu. ...samahani kwa wale nitawakwaza
Nimekuwa kwa ndoa miaka 5 sasa.ila simpendi mke wangu. Nilioa hata sijui kwa sababu gani nilijikuta tu nafunga ndoa ...
Aisee napata tabu sana. Sasa hapa napata tabu sana. Wadau sielewi inakuwaje hapa....sasa sijui
Naomba ushauri au ndio nimepata, ndoà ya kikristo
Mwaka mmoja wa kunjimwa Papuchi nampiga chiniGuys I am facing the same tratgy, mi pia nina umri wa ndoa miaka 5 but tulianza kuishi kama wazazi kabla ya kuoana. Shida ilianza mwaka wa 3wa ndoa. Actually nlikuwa nishadate waschana si zaidi ya wa 3 ndo huyu akawa wa 3. Miaka mitatu ya kuishi wote nlianza kupangiwa mgegedo once per week na mm ndo nlikuwa nina dam bado changa 33yrrs, she was 26. Nlianza kuchepuka but nlikuwa naumia sana moyoni. Pia nlikuwa na mipango ya maendeleo so sikutaka nitumie hela kuhonga. Taratibu nikazoea hadinikaonani haki yangu. Ilianza kupita mwezi bila mgegedo na hatimae miezi3 na kuna kipindi tunakata 3moths kasoro. Sasa tu a 10yrs. Nimechepuka na wanawake wengi tu. Alishanikamata na sms marakadhaa, and huwa nakuwa mbogo,na kwavile ni mwanamke huwa ananywea, kinachoniuma ss nahitaji kupata mtu mwenye uchungu na maisha ili awemchepuko permanent and hata kamanawekeza kwake nijue kuna faida. Nimechoka kuwa cha wote aiseee, tofautini kuwa mi wife nampenda, na siko tayarikumwacha, japo huwa namwambia kama ameniona malaya basi tuachane
PumbavuWakuu. ...samahani kwa wale nitawakwaza
Nimekuwa kwa ndoa miaka 5 sasa.ila simpendi mke wangu. Nilioa hata sijui kwa sababu gani nilijikuta tu nafunga ndoa ...
Aisee napata tabu sana. Sasa hapa napata tabu sana. Wadau sielewi inakuwaje hapa....sasa sijui
Naomba ushauri au ndio nimepata, ndoà ya kikristo