Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,702
- 36,127
Habari!
Nimejisikia kutoa ushauri katika jambo hili la kiuchumi.
Kutokana na hali za maisha watu hujikuta wakinunua vitu vilivyotumika almaarufu used.
Vitu kama sofa, simu, computer, baiskeli, gari, pikipiki n.k ili tu waendane na wakati au waendane na marafiki zao.
Kwa kufanya hivyo hutatui tatizo bali unaongeza tatizo.
Kivipi unaongeza tatizo?
1. Unaweza kuuziwa bidhaa yenye tatizo bila kujua, au utanunua bidhaa iliyoisha muda wake wa matumizi. Ikumbukwe kuwa kila bidhaa iliyotengenezwa ina life span yake kulingana na matumizi au muda.
Hivyo basi utajikuta kila baada ya muda mfupi utakuwa unahitaji bidhaa nyingine.
2. Unaweza kuingia kwenye matatizo kwa kununua vitu vya wizi . Hapa dar kuna mtandao wa vijana wahuni wa kuuza vitu vya kielektroniki kama simu, tv, laptops na kisha wanakuja kukukamata kama mwizi kwa sura zingine.
3. Unajipandikizia roho au mentality ya kimaskini. Ni heri uanze kumiliki kitu cha bei ndogo kisha unaadvabce mdogomdogo to the top.