Ushauri: Mpenzi wangu nilietaka kumuoa ameondoka na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine

Ukikua utaacha!

Una utoto mwingi sana! Wewe si ndio umejiweka picha yako mchana unatafuta mke na unafanya kazi NMB?

Kweli kusoma sio kuelimika
 
Ulikua utaacha!

Una utoto mwingi sana! Wewe si ndio umejiweka picha yako mchana unatafuta mke na unafanya kazi NMB?

Kweli kusoma sio kuelimika
Kuna mtu alinishauri kufanya hvo
Endapo pale unapo umizwa
Akasema dawa ni kupata kwa haraka sana mwanamke mwingine anaekufaaa
Ndo itakuwa rahisi kumsahau huyu
Ndo nikaaamua kufanya vile
 
Blaza una sh ngapi kwenye acc yako? Tafuta pesa mze ukichanganya wivu na umaskini utateseka sana, nilichoelewa hapo inayokuuma ni nauli uliyotuma.

Kaka nikupe pole
Pesa inachukua nafasi ndogo sana kwenye mahusiano
Na usije jidanganya pesa inakupa kila kitu
Awali nilijua ukiwa na tu hela utapata kila unachokipenda nooo

Sina amani ya kudumu
Miyo wangu upo njia panda
Sihisi ile raha ya mambo kikamilifu
Japo asubuh naingia kazini
Na natoka pia ila kwenye hiyo sector mungu tu anajua!
 
Kuna mtu alinishauri kufanya hvo
Endapo pale unapo umizwa
Akasema dawa ni kupata kwa haraka sana mwanamke mwingine anaekufaaa
Ndo itakuwa rahisi kumsahau huyu
Ndo nikaaamua kufanya vile
🙄🙄🙄🙄🙄

Umezingua Mkuu.
 
sidhani km kuna raia hajawahi kupitia haya unayopitia.na hutakuwa wewe tuu wa mwisho.mapenzi ni game of chance tuu ukiwahiwa ndio hvyo tena ujiongeze tuu..iko siku atakuja mwenye mapenz ya dhat.kikubwa potezea maana uliweza kuishi bila yeye kabla na ulizoea hivyo kwa hiyo utaweza ku move on tuu.
 
Kaka nikupe pole
Pesa inachukua nafasi ndogo sana kwenye mahusiano
Na usije jidanganya pesa inakupa kila kitu
Awali nilijua ukiwa na tu hela utapata kila unachokipenda nooo

Sina amani ya kudumu
Miyo wangu upo njia panda
Sihisi ile raha ya mambo kikamilifu
Japo asubuh naingia kazini
Na natoka pia ila kwenye hiyo sector mungu tu anajua!
Nashukuru sana kwa pole uliyonipa ila naweza kukuambia kuwa huyo kunguru uliyempata ni wa Manzese kama siyo paka la migahawa ya Msamvu.
 
KINACHONIUMA SIO PESA JAMN
NI HAYA MAWAZO NILONAYO JUU YAKEE JMN
SIFANYI MAMBO YANGU
NAMUWAZA YEYE KILA WAKATII
MPKA NAUMWA HV ˢᴬˢᴬ

ᴷʷᵃ ᵃˡⁱʸᵉʷᵃʰⁱ ᵏᵘᵗᵉⁿᵈʷᵃ ⁿᵃ ᵏᵘᵖⁱᵗⁱᵃ ʰᵃˡⁱ ᵏᵃᵐ ʸᵃⁿᵍᵘ ⁿᵃᵈʰᵃⁿⁱ ᵏᵃⁿⁱᵉˡᵉʷᵃ
ᴺᵈᵒ ⁿᵃᵒᵐᵇᵃ anishauri
Mroge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana mzuri, chocolate colour, slim tall, na inaonekana una mguu wa mtoto chini ya kiuno, ila dada wa watu kakukimbia lol.
, poleeh sana.
 
Hahaha yaaan Mwanamke mpumbavu kaamua kujiabisha mwenyewe

Alafu wee ndo unaumia

Duuuhh kweli wanaume tumetofautiana.

Ivi wakuu, bado mna mioyo yakupenda kindakndaki??

Yaaan mimi nilivyo, Demu hata aniache muda huuu huuu, siumii wala nn, kesho nakamata mwengine.

Mimj hapa sanasana ningekushaur mambo mawili

Umuache, ila kwa unyama alokutendea, nawee nenda kwa Mtalaam wa Jadi ,umpige bomu( unyama unyama, Dunia ya sasa huitajiki kucheka na kima)

Umuache lkn umuachie Muumba tu ,ukiamin atakupa fung lako, nakwamba amekuepushia mengi.

Yaan niiivi, Yeye kua mwanamke, hakumpi uhalali wa kukutendea majambo kama haya alaaaaaa...awa viumbe ni kudeal nao as if unadeal na Jambazi sugu tu au Mtu alokudhurumu haki yako.
 
Sio kila tunaowapenda wanatupenda sio lazima, cha msingi tazama anaekupenda nawe mpende hilo tu, usilazimishe mapenzi kwa mtu asie na muda nawe utaishia kuteseka tu, mapenzi yanatesa sana next time jifunze kupenda kwa akili

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna msemo unasema Give the love but don't expect love back in return,Love for your own risk
 
Hahaha yaaan Mwanamke mpumbavu kaamua kujiabisha mwenyewe

Alafu wee ndo unaumia

Duuuhh kweli wanaume tumetofautiana.

Ivi wakuu, bado mna mioyo yakupenda kindakndaki??

Yaaan mimi nilivyo, Demu hata aniache muda huuu huuu, siumii wala nn, kesho nakamata mwengine.

Mimj hapa sanasana ningekushaur mambo mawili

Umuache, ila kwa unyama alokutendea, nawee nenda kwa Mtalaam wa Jadi ,umpige bomu( unyama unyama, Dunia ya sasa huitajiki kucheka na kima)

Umuache lkn umuachie Muumba tu ,ukiamin atakupa fung lako, nakwamba amekuepushia mengi.

Yaan niiivi, Yeye kua mwanamke, hakumpi uhalali wa kukutendea majambo kama haya alaaaaaa...awa viumbe ni kudeal nao as if unadeal na Jambazi sugu tu au Mtu alokudhurumu haki yako.
Hapo kwa mganga wa jadi hapana, unakosea.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
That's the stage.. one time utakuja mwenyewe kwenye equilibrium..
Muda huo Mapenzi hayatakutesa sana..
Kinachokutesa ni Attachment uliyofanya..

Muda utafika.. hautofanya Attachment na mtu wala kitu wala idea.. muda huo ndio muda utaokuwa huru.

Usijilaumu hiyo ni stage.. lazima wanadamu tuipitie.. that's where experience comes from.
 
Nashukuru sana
Kwa mawazo yako
 
KINACHONIUMA SIO PESA JAMN
NI HAYA MAWAZO NILONAYO JUU YAKEE JMN
SIFANYI MAMBO YANGU
NAMUWAZA YEYE KILA WAKATII
MPKA NAUMWA HV ˢᴬˢᴬ

ᴷʷᵃ ᵃˡⁱʸᵉʷᵃʰⁱ ᵏᵘᵗᵉⁿᵈʷᵃ ⁿᵃ ᵏᵘᵖⁱᵗⁱᵃ ʰᵃˡⁱ ᵏᵃᵐ ʸᵃⁿᵍᵘ ⁿᵃᵈʰᵃⁿⁱ ᵏᵃⁿⁱᵉˡᵉʷᵃ
ᴺᵈᵒ ⁿᵃᵒᵐᵇᵃ anishauri
Haina shida we endelea kuwaza kwa wakati huu baadaye utaacha kuwaza ko usiwe na wasiwasi maana haya yanatokea kwa wakati sahihi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom