Ushauri: Mpenzi wangu nilietaka kumuoa ameondoka na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine

Nilikuwa na mpenzi wangu niliyedumu naye miaka miwili. Hatukujaaliwa kupata mtoto na wazazi wangu walimtambua kama mkwe. Niliingia kwa miguu yote miwili katika penzi lake nikidhani ndio tayari chaguo langu, nilimpenda kupitiliza.

Hivi ninavyowataarifu kaenda kuishi na mwanaume mwingine tena jirani. Wakati mimi ndio niliemtumia nauli kutoka Mwanza Kirumba mapaka Dar.

Hapa nina homa ya mapenzi juu yake, mawazo hayaniishi juu yake, nikimuwazia arudi. Kiukweli hali yangu sio nzuri juu ya upendo kwa huyo mchumba wangu. Kwa kifupi naumwa na sifanyi mambo namuwaza tu yeye.


Miaka miwili umeshindwa kutia mimba?pengine mwanamke alihisi anaishi na mwanamke mwenzake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom