Ushauri kwa Waziri Dotto Biteko: Kama Makamba Ametolewa, Basi na MD wa TANESCO na Bodi nayo itoke

Kwa hili linaloendelea kuanzia last week linalohusu mgawo wa umeme ambao Maharage Chande anasema haupo bali kuna upungufu wa umeme ni dhahiri matarajio ya Rais Samia aliyoweka kwa Waziri Makamba, Bodi ya Wakurugenzi na MD wao YAMEFELI.

Rais kamtoa Makamba baada ya kumuidhinishia fedha kwa Matrilion ili kui transform TANESCO na bado hakuna matokeo ni kukiri kuwa alifanya makosa kumuweka pale Nishati. Nathubutu kusema ni wakati sasa Waziri Mpya Doto Biteko ambaye ni Naibu Waziri Mkuu akamuomba Rais naye aje na Bodi mpya na Mtendaji mpya ambao watawajibika kwake na kuondoa makambaism.
amtoe umeme uliopo hatakuivisha maharage ni taabu tupu
 
Akikaidi kuwatoa kwa hofu ya nguvu yao waliyo nayo basi ahesabu tatizo lote la TANESCO halitawaendea wao litamwangukia yeye na mwisho wa safari wataanza kumbagaza kisha kumng'oa. Mrema alipewa nguvu sana mpaka akajibadilisha kuwa mvaa kanzu na vibaragashia; mtu mhimu ambaye aneza kusimulia alivyosumbuliwa na Agostine Mrema miaka ile ni mbunge Kishimba wakati huo akiwa mfanyabiashara wa madini ya dhahabu.
Mkuu unamtisha
 
Mkuu unamtisha
Simtishi ila kusudio lake ni kuwasafisha hao wanaotaka kutoka madarakani bila lawama wakati ndio wanaruhusu matatizo kutokea kwenye jamii. Wewe jiulize mwananchi anatatizo lake ambalo haikuwezekana kutatuliwa na viongozi wanaohusika nalo, halafu mkuu wa nchi anafika eneo hilo mwananchi anataka kueleza kero yake unamzuia ukidai kero yake amwelezee mbunge, mteule yeyote au amkabidhi msadizi wake hizi ni dharau kwa wananchi ambao ndio waajiri wa hawa wanasiasa pamoja madaraka yote wanayojinyakulia bila kuzingatia dhamana hiyo ni ya kumsikiliza mwananchi iwe mmoja mmoja au wengi kwa nia ya kuelewa kinachomsumbua ambapo inawezekana tatizo lake linafanana na wengine ambao hawajapata fursa hivyo likipatiwa suluhisho na wengine pia wanapata ahueni.
 
Baraza la Wakurugenzi TANESCO liloundwa chini ya Waziri Makamba limejaa wazee na wafanyabiashara ingefaa livunjwe maana haliwezi kuiongoza na kuidhibiti TANESCO.

Kuna Mwenyekiti Muarabu hatujui CV yake. Kuna mama majaar huyu mzee kila bodi karibu awamu zote anawekwa. Kuna mtu anaitwa gachuma ni mfanya biashara mkubwa sidhani ana utaalam wowote wa uzalishaji umeme.

Haya mambo ya watu walewale kwenye bodi za mashirika makubwa wakati kinachooneka ni upigaji tu tukomeshe.

TANESCO ngazi ya Baraza la Wakurugenzi kunahitajia nguli wenye uzoefu mambo ya umeme uongozi na mambo ya fedha. Vinginevyo ni yaleyale mambo ya bodi kuweka au kuwalinda wapigaji kwenye management ya shirika
 
Baraza la wakurugenzi tanesco liloundwa chini ya waziri makamba limejaa wazee na wafanyabiashara ingefaa livunjwe maana haliwezi kuiongoza na kuidhibiti tanesco.

Kuna mwenyekiti muarabu hatujui cv yake. Kuna mama majaar huyu mzee kila bodi karibu awamu zote anawekwa. Kuna mtu anaitwa gachuma ni mfanya biashara mkubwa sidhani ana utaalam wowote wa uzalishaji umeme.

Haya mambo ya watu walewale kwenye bodi za mashirika makubwa wakati kinachooneka ni upigaji tu tukomeshe.

Tanesco ngazi ya baraza la wakurugenzi kunahitajia nguli wenye uzoefu mambo ya umeme uongozi na mambo ya fedha. Vinginevyo ni yaleyale mambo ya bodi kuweka au kuwalinda wapigaji kwenye management ya shirika
 
Baraza la wakurugenzi tanesco liloundwa chini ya waziri makamba limejaa wazee na wafanyabiashara ingefaa livunjwe maana haliwezi kuiongoza na kuidhibiti tanesco. Kuna mwenyekiti muarabu hatujui cv yake. Kuna mama majaar huyu mzee kila bodi karibu awamu zote anawekwa. Kuna mtu anaitwa gachuma ni mfanya biashara mkubwa sidhani ana utaalam wowote wa uzalishaji umeme.
Haya mambo ya watu walewale kwenye bodi za mashirika makubwa wakati kinachooneka ni upigaji tu tukomeshe. Tanesco ngazi ya baraza la wakurugenzi kunahitajia nguli wenye uzoefu mambo ya umeme uongozi na mambo ya fedha. Vinginevyo ni yaleyale mambo ya bodi kuweka au kuwalinda waoigaji kwenye management ya shirika
Livunjwe haraka na wahusika wote washitakiwe mara moja. Unaweka wafanmyabiashara kwenye taasisi ya umma unategemea watajali maumivu wanayopia wananchi?
 
Baraza la wakurugenzi tanesco liloundwa chini ya waziri makamba limejaa wazee na wafanyabiashara ingefaa livunjwe maana haliwezi kuiongoza na kuidhibiti tanesco. Kuna mwenyekiti muarabu hatujui cv yake. Kuna mama majaar huyu mzee kila bodi karibu awamu zote anawekwa. Kuna mtu anaitwa gachuma ni mfanya biashara mkubwa sidhani ana utaalam wowote wa uzalishaji umeme.
Haya mambo ya watu walewale kwenye bodi za mashirika makubwa wakati kinachooneka ni upigaji tu tukomeshe. Tanesco ngazi ya baraza la wakurugenzi kunahitajia nguli wenye uzoefu mambo ya umeme uongozi na mambo ya fedha. Vinginevyo ni yaleyale mambo ya bodi kuweka au kuwalinda wapigaji kwenye management ya shirika
Pengine hufaamu kuwa huyo mwenyekiti mzee (kama ulivyomwita wewe) na huyo mama uliyemtaja ni watu wa karibu sana wa mstaafu fulani!!!
 
Baraza la Wakurugenzi TANESCO liloundwa chini ya Waziri Makamba limejaa wazee na wafanyabiashara ingefaa livunjwe maana haliwezi kuiongoza na kuidhibiti TANESCO.

Kuna Mwenyekiti Muarabu hatujui CV yake. Kuna mama majaar huyu mzee kila bodi karibu awamu zote anawekwa. Kuna mtu anaitwa gachuma ni mfanya biashara mkubwa sidhani ana utaalam wowote wa uzalishaji umeme.

Haya mambo ya watu walewale kwenye bodi za mashirika makubwa wakati kinachooneka ni upigaji tu tukomeshe.

TANESCO ngazi ya Baraza la Wakurugenzi kunahitajia nguli wenye uzoefu mambo ya umeme uongozi na mambo ya fedha. Vinginevyo ni yaleyale mambo ya bodi kuweka au kuwalinda wapigaji kwenye management ya shirika
January Makamba ni kitendawili kwa kweli,sijui wa nini.He is a liability.
 
Baraza la Wakurugenzi TANESCO liloundwa chini ya Waziri Makamba limejaa wazee na wafanyabiashara ingefaa livunjwe maana haliwezi kuiongoza na kuidhibiti TANESCO.

Kuna Mwenyekiti Muarabu hatujui CV yake. Kuna mama majaar huyu mzee kila bodi karibu awamu zote anawekwa. Kuna mtu anaitwa gachuma ni mfanya biashara mkubwa sidhani ana utaalam wowote wa uzalishaji umeme.

Haya mambo ya watu walewale kwenye bodi za mashirika makubwa wakati kinachooneka ni upigaji tu tukomeshe.

TANESCO ngazi ya Baraza la Wakurugenzi kunahitajia nguli wenye uzoefu mambo ya umeme uongozi na mambo ya fedha. Vinginevyo ni yaleyale mambo ya bodi kuweka au kuwalinda wapigaji kwenye management ya shirika
Mkuu kwa nchi hii hata umlete YESU, akishirikiana tu na mi CCM, amekwama HATOBOI!!!!
 
Back
Top Bottom