900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 5,587
- 5,894
amtoe umeme uliopo hatakuivisha maharage ni taabu tupuKwa hili linaloendelea kuanzia last week linalohusu mgawo wa umeme ambao Maharage Chande anasema haupo bali kuna upungufu wa umeme ni dhahiri matarajio ya Rais Samia aliyoweka kwa Waziri Makamba, Bodi ya Wakurugenzi na MD wao YAMEFELI.
Rais kamtoa Makamba baada ya kumuidhinishia fedha kwa Matrilion ili kui transform TANESCO na bado hakuna matokeo ni kukiri kuwa alifanya makosa kumuweka pale Nishati. Nathubutu kusema ni wakati sasa Waziri Mpya Doto Biteko ambaye ni Naibu Waziri Mkuu akamuomba Rais naye aje na Bodi mpya na Mtendaji mpya ambao watawajibika kwake na kuondoa makambaism.