MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,084
Atakae husika na manunuzi kwenye list yangu anichukulie
Toyota Noah Super Extra Limo![]()
hahaahahahahaha hadi najihis mie nataka kudata aic kha si kwa kucheka huku wajameni
Atakae husika na manunuzi kwenye list yangu anichukulie
Toyota Noah Super Extra Limo![]()
Haki ya nani, nimecheka sana leo, humu watu wanavyozifagilia noah za makinikia,
Kweli Tanzania yetu ni ya vi-wonder, ni nchi gani duniani wananchi kupewa noah! Ni tanzania tu, kama Tanzanite , inapatikana bongo tu,
Nipo boarding nasoma driving school. Thanks for coming Noah
Du! Kuna watu mnamambo nimecheka mpaka mbavu zinauma[emoji3][emoji3][emoji3]
mpua*yaan mm had usk nitacheka tena na tena aic hutamuona mwanaccm hapa anatia moua wake aibuuuu
Mimi yangu nataka iwe special order..
1. Wafunge twin turbo.
2. Waweke dump valve
3.waweke Air drier.
4. Waweke water separator kwenye fuel system maana petrol station haziamini.
5. Waniwekee air suspension system( Itumie Booster za upepo)
6. Iwe na seat mbili Tu, kwa nyuma hapo iwekwe friji na vitanda viwili cha juu na chini.
7. Iwe na rangi ya Damu ya Mzee.
8.Iwe Ni manual transmission.
9.ifungwe slake adjuster.
10. Iwe keyless(push to start)
CCM OYEEEEEEEEE
MAGUFULI OYEEEEEE
Hahahaa,NOAH zimezua jambo!Kuna tetesi kuwa raia wa nchi jirani wanamiminika Tanzania na kutafuta vitambulisho vya uraia ili nao wapatiwe Noah. Asante JPM.
Utaibiwaje wakati kila mtu atakuwa na yake?Me natengeneza uzio ili gari ipate pa kuhifadhiwa wakora wasije niibia power window ikiwa inalala nje ya wigo.
Sasa naona driving school zitakuwa zimejaa,itabidi wazee wazima na ndevu zetu zilizochakaa tutengeneze magari ya miti tujifunzie mtaani,haiwezekani Siku unakabidhiwa Noah wenzako wanaendesha wewe ubaki unashangaaSiku ya tatu leo nipo driving [emoji593] course
Ha ha haaaaahahahahahahaha hii ni kubwa kuliko aic hahahaa SPECIAL ORDERS nadhan tungemchagua KITWANGA akawa anarejesta hiz mambo,wasaidiziane na wAzir wa VIWONDER ...
Mkuu hata mm nataka rangi hiyo hiyo aisee huyu baba ahimidiwe jamaniMm yng iwe dark blue yaan siamini kama namilki gari ushukuriwe rais Mtukufu
Iko lazma kitimotoMkuu unamaanisha NOAH kitimoto au???Maana wengine waislamu hapa
basi tushukuru kwa yoteMkuu hata mm nataka rangi hiyo hiyo aisee huyu baba ahimidiwe jamani
Iko lazma kitimotoMkuu unamaanisha NOAH kitimoto au???Maana wengine waislamu hapa