Ushauri kwa Rais ugawaji wa Noah Zetu

Ushauri kwa Rais ugawaji wa Noah Zetu

Kweli bongo movie imeamua kutuliwaza mawazo,baada ya trailer la makinikia Kuna clip tumeoaminishwa Kuna Noah ila movie ikitoka tutakuta hiyo scene imeondolewa,ila kwa sasa sio mbaya kujiliwaza.

Sent from my LG-F320L using JamiiForums mobile app
 
Na hii ndio taswira halisi ya wanaume wa Kitanzania...
Nadhani mnatamani hata serikali iwaolee, iwatunzie familia, iwasomeshee watoto, Noah mpewe Ha ha ha a
huku tukifyatua tu [emoji12] [emoji12]
 
Kiuchumi imekaa poa sana selikal haito hangaika tena kununua magar ya umma manake kila ntu atakuwa na la kwake lakin pia kodi ya mafuta itaongeza pato la taifa saaaaaaana manake mafuta kwa siku zaid ya lita milion 50 zitanunuliwa

Piaa tatizo la ajira kwa kijana mtu apende mwenyewe manake hizo noah ni fursa ya biashara road license itaongeza pato la traft na raia kwa ujumla
 
rubii mbona umeenda mbali sana bibie.... kumbuka si wanaume walioandamana kudai hizo Noah...bali ni wenyewe huko wamesema.

Sasa kama serikali yangu inanipa Usafiri nitakataa nami ni mlipa kodi...mi kwa upande wangu itanisaidia huku kuwapelekea mchicha na maparachichi wateja wangu...!!
Nitatoa shukrani pale nitakapoipata!!!
Wao wanavyo hongwaga hatusemi kumbe wanawiv sana
 
Back
Top Bottom