Ushauri kwa Rais ugawaji wa Noah Zetu

Ushauri kwa Rais ugawaji wa Noah Zetu

Haki ya nani, nimecheka sana leo, humu watu wanavyozifagilia noah za makinikia,
Kweli Tanzania yetu ni ya vi-wonder, ni nchi gani duniani wananchi kupewa noah! Ni tanzania tu, kama Tanzanite , inapatikana bongo tu,
 
Na hii ndio taswira halisi ya wanaume wa Kitanzania...
Nadhani mnatamani hata serikali iwaolee, iwatunzie familia, iwasomeshee watoto, Noah mpewe Ha ha ha a
Ghadafi alifanikiwa kuwafanyia walibya mpk kuwapa wanaume mahari wanaume ya kuolea kwa kutumia Mafuta yake only.
 
Achane kuota ndoto za mchana nyinyi we mbongo ununuliwe Noah kwa lipi hasa ulilolifanya kwa Serikali
 
Aah we mimi ngoja nikomae na ile cheji ya rada mi sikupata mgawo nilikuwa nimrsafiri halafafu na hii ahadi mgawo wa m,50 kwavkila kijiji nao sijapata , hii ya makinikia ndio sitasfiri tena kwa sababu nitakuwa nawadai pesa nyingi mwisho nitsonekana nawatesa kunihifadhia pesa nyingi kutoka kwenye rada mpaka hapa mii sifanyi kazi yoyote nasubiria prsa tu.

Viroba kwa heri gongo na komon lubisi chang'aa na wanzuki mtanikiaga tu kama tulikuwa majirani sasa mimi ni mtu wa kuanzia balimi mpaka bia yoyote ya anasa unayo ifahamu
 
Makinikia oyeee!

Kwako rais wangu. Napenda kukupongeza kwa kazi nzuri na uthubutu ulionyesha kuhusu sakata zima la Acasia, makinikia na Maboso. Kutokana na juhudi zako Barricks wamekubali kutulipa trillion 108 Zetu ambazo uliahidi zikilipwa kila mtanzania atamiliki Noah na tutakuwa donor country na mikutano ya G8 nk tutashiriki kama mwanachama.

Nifaraja iliyoje Babu, bibi na watoto wangu hadi michepuko watamiliki Noah? Kweli wewe ulitumwa na Mungu na unatujali wanyonge hilo halina ubishi.

Baas rais wangu hili zoez la kumilikshwa Noah kila Mtanzania liende vizuri kwa weledi naomba uunde tume la jopo ya maphd holders tena toka udsm na uwaapishe ikulu na waende semina Japan na uwape ulinzi wa kutosha ili zoezi liende vizuri bila upendeleo wa kichama, kiitikadi, kijinsia, kikanda, kidini na kikabila kila mtanzania apate Noah yake.

Dah Makinikia imetutoa Jamani.

Kweli kwa hakika awamu hii tumepata rais!
e018e86da4626b9c716ad5409f7b6d47.jpg
1750ad98130ecd186336e33d3c0b4b7b.jpg
 
Umenichekesha sana kijana
 
Me naombaa nipatiwe kajistalet chenji niendeleee kuchenjulia makinikia ya maishaa tuu jaman
 
Na hii ndio taswira halisi ya wanaume wa Kitanzania...
Nadhani mnatamani hata serikali iwaolee, iwatunzie familia, iwasomeshee watoto, Noah mpewe Ha ha ha a
Hapo umemjumlisha na Mume/mchumba/boyfriend/kaka/baba/na mjomba wako. Kuwa makini na maneno, ulimi uliponza kichwa.
 
Back
Top Bottom