- Thread starter
- #61
Ndio,baridi si kali ninapoishi lakini imeshakuwa tabia kuoga maji ya moto.Khe maji moto 😂🫢
Ndio,baridi si kali ninapoishi lakini imeshakuwa tabia kuoga maji ya moto.Khe maji moto 😂🫢
Ahsante kwa huu uzoefu wakoBro,kama unataka Godoro zuri kabisa chukua Tanfoam Arusha,wasiliana nao wakupe namba za wakala wao katika mkoa husika ili upate Original. Option inayofuata ambayo najua ni nzuri ni QFL godoro Dodoma. Tanfoam ni mazuri sana na bei yake imechangamka sana. Vita supreme sifahamu kabisa lipoje. Lakini nikupe personal experience,mimi nilienda kununua godoro nikiwa sina elimu ya magodoro,option yangu ilikua QFL la Dodoma,yule muuzaji hakuwa nalo hilo kwahiyo akaanza kunishawishi nichukue ARUSHA DELUXE. Hii heka heka unaniona nayo leo natafuta godoro la Tanfoam ni sababu ya makosa niliyofanya kipindi hiko,miaka mitatu nyuma kununua godoro la hovyo.
FINE ME TANFOAM IS MY FAVOURITENimenunua Tanfoam PREMIUM MATTRESS,watu wa Tanfoam wenyewe wamenishauri nichukue hili,wanasema hata hotels kubwa nyingi ndio chaguo lao.Actually ndio nimepanda kitandani kulilalia kwa mara ya kwanza. Karibu
😀TUMIA TAMFOAM LENYE SPRING HUTOJUTIA MM SIWEZI KULALIA GODORO LINGINE HATA KAMA IKITOKEA NIKAHAMIA ULAYA NITAAGIZA TANFOAM WANILETEE NA NDEGE YA KODI ZETU AIR TANZANIA OVA
Miaka ya nyuma nililinunua la Super Banco baada ya kushsuriwa na fundi, tena nililifuata mwenyewe kiwandani! Mbona nilikoma😀Kuna godoro ni gumu utasema kitandani umepanga tofali ni kampuni gani hile
Wakati wa kazi iwe kazi kweli kweli, na wakati.wa kulala, ulale usingizi boraWaafrika iwanafikiria kulala tu, badala ya kupeana deal za pesa wao wanapeana deal za kupiga usingizi
Umelionaje?Nimenunua Tanfoam PREMIUM MATTRESS,watu wa Tanfoam wenyewe wamenishauri nichukue hili,wanasema hata hotels kubwa nyingi ndio chaguo lao.Actually ndio nimepanda kitandani kulilalia kwa mara ya kwanza. Karibu
😀Mimi pia nilishajipanga kununua VITA SUPREME nilishauriwa kuwa haliumizi mgongo.
Sasa hawa wamekuja na hoja za Tanfoam wananichanganya hapa.
Ngoja niendelee kusoma comments za waja.
✅🙏Na pia Godoro linalouzwa bei ya juu ah gharama kubwa ndo linakuwa na ubora Sana.
Mtoa mada aangalie kitu kinaitwa density Iwe angalau kuanzia 26+ kupanda juu .
Bei yake ikoje kwa sasa?Nimeshapata mkuu,nimenunua Tanfoam premium lina Density ya 32. Nadhan ndio godoro lao luxurious.
Kwani mkipeana deals za pesa hamtalala? Kwamba deal za pesa zonaondoa usingizi? Akili zingine duhWaafrika iwanafikiria kulala tu, badala ya kupeana deal za pesa wao wanapeana deal za kupiga usingizi
670,000Bei yake ikoje kwa sasa?
Siwezi kuongelea muonekano au luxury sababu sioni tofauti sana,lakini usingizi wangu umekuwa mzuri sana tangu nianze kulalia. Pia naamka bila uchovu.Umelionaje?
🙏🙏🙏670,000
Habari ya siku mkuu, ukirejea utakumbuka ulisema usiku mmoja hautoshi kutoa mrejesho. Nadhani sasa una confidence kidogo ya kutoa mresho. Tunaomba ili na sisi tufanye maamuzi sahihiSidhan kama usiku mmoja ni experience ya kutosha kutoa mrejesho lakini Godoro halipo kama nilivyofikiria. Nilivyoambiwa ni luxurious na linatumika kwenye hotels kubwa nikapata picha ya mneso fulani wa kipekee sana. Lakini halipo hivyo,lina ugumu wa kutosha kiasi kwamba sihisi mneso wowote. Mgongo wangu bado unauma sababu ya heka heka za kubonyea kwa godoro la awali lakini hili linakunyoosha vizuri mwili wako. Nina miaka mingi sana sijapaga usingizi wa moja kwa moja kama leo,kwa mara ya kwanza nimeamka saa mbili asubuhi. Hivi ndio nachemsha maji ya moto niende kazini, nimechelewa.