Wakubwa naombeni ushauri wa haraka

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Habari za asubuhi ndugu zangu..

Nahitaji kubadilisha godoro nililo nalo kwa sababu linaumiza sana mgongo wakuu inafika mahali unalala inabidi uamke katikati ya usingizi uanze mazoezi ya kunyoosha viungo na kupumzika ndio nilale tena kuvuta tuu muda giza liishe.

Nahitaji kununua godoro jingine ila nafikiria kununua godoro la kampuni ya Tanfoam au godoro la comfy la 5*6 inch 8; Sasa sijajua lipi ni godoro bora zaidi ndugu zangu na bei yake ipoje wakuu.

Mwenye kufahamu na mwenye uzoefu wa hayo magodoro naomba anisaidie ndugu zangu .

Asante:
 
Kama uko Dar nenda Keko viwandani usikubali kusemeshwa na mpuuzi yeyote.

Nenda kamwambie Kanjibahi shida yako atakupa godoro Original.

Ogopa wale matapeli wa Keko.

Magodoro fake yanaboa sana, nimewahi kununua moja fake. Ndjua uchungu wake.

Unaweza kupata inch 10 lakini mwenye inch 6 aka akalala vizuri kuliko wewe.

Usitishike na kampuni
 
Mi nilienda kununua pale Godowns zilizopo nyuma ya keko furniture,Sema tulisubiri kama masaa matano ndo tukapata kitambo sana tulisoma mpaka kumaliza godoro lipo poa sana .

Palikuwa na foleni sana
 
Godoro hutakiwi kulalia upande mmoja ule ule kwa zaidi ya miezi 3
Unatakiwa uwe unaligeuza,mfano January mpaka march,unageuza kule miguu inapoelekea unaligeuza inakua upande huo unakua sehemu ya kuweka kichwa,godoro hua zina sticker ambazo huelekeza hivyo,sijui kwa huko kama magodoro manufacturer huweka hayo maelekezo.
 
Ushauri mzuri sana huu
 
Nashukuru..

5*6 inch 8. Bei gai?
Inategemeana na ulipo. Lakn ushauri mzuri nenda kiwandani au kwa main supplier anaeletewa na kiwanda i.e from Arusha.
Kwa mwanza linaenda laki tatu na pointi but unapata pale wanaposhushia from kiwandani. Ukienda kwa wakala jiandae kufinywa zaidi.
Kama una shida ya mgongo kunae lipo ambalo lina pande mbili, upande mmoja kawaida, upande mwingine kwa ajili ya wenye shida ya mgongo. So unachagua ulalie upande gani
 
Skia kabla ya kubadili godoro kwanza anza na kubadili Staili ya kulala,kama ulikuwa unalala Kwa tumbo au mgongo badili haraka Anza lala mshazari,yaani upande upande,Staili hii hata kama godoro ni ulimi kiasi gani,huwezi athirika mgongo
 
Back
Top Bottom