Ushauri jinsi ya kuishi maisha ya ghetto chuo

Mimi hapa naingia 2nd year na nilianzia direct ghetto. Fanya yafuatayo:

Tafuta chumba mapema usitafute siku za baada ya usajiri, bora upate hata sasa kuliko kupata chumba kipo mbali baadae. Pata chumba karibu sio uanze kupanda daladala kufika chuo, hizo 300 ni nyingi sana njoo kuna siku utakuwa unaamka na 100 tu. 1st wenzio wanakuja, 2nd na 3rd year wanatafuta kuhamia kutoka hostel ukichelewa ndo unapandishiwa bei, chumba kibaya, kiko mbali.

Uwe na bajeti ya kununua vitu muhimu. Kitanda, godoro na mashuka, feni, pazia, ndoo, kapeti etc. Unaweza nunua vitu used kwa mawakala walio chuoni. Mimi sikununua used kama hela ya kipya sina naacha. Utanunua vitu kulingana na mfuko wako na mahitaji yako.

Pata chumba cha uhakika, chenye hadhi ya kuishi kwani vingine unakuta choo kipo Kivietnam, mwenye nyumba yuko humo, kuna wadangaji. Kwetu sisi tupo wanachuo tu, hakuna taarab, ugomvi wala mtoto kujiliza usiku.

Kuhusu kujitegemea. Nilikuwa na laki kadhaa nikasema ngoja nizoee mazingira nitafanyia kazi, hela zote nikamaliza. Nikaanza issue flani corona ikaingia nikakwama. Sahivi naenda kuanza kitu kingine nikifeli sawa.
Expectations zinakuwa nyingi sana hasa wakikwambia uza hiki na kile unajiona unatoboa as if hela imechuchumaa inasubiri uiokote. Wanaofanya ujasiriamali pekee wanalia, sembuse anayeongeza na kusoma .

Wapo walevi, wahuni, wala bata, wanaokesha church na kila mkesha au mfungo, wanaosoma sana, wapenda mademu, wapenda michezo yeye kila siku ni mazoezi uwanjani, wavuta bangi, wajasiriamali, bila kusahau wanasiasa (wengi wao wababaishaji) hasa UVCCM ambao hujifanya wameyapatia maisha. Kaa upande wako.

Nimejitahidi kufupisha sana hapa. Huwa naandika gazeti
 
[emoji3][emoji3] mkuu shusha gazeti bna nmependa the way umeflow point
 
Mkuu kwanza ili upate vitu bei rahisi inabidi utafute mtu anaemaliza unaongea nae bei ya kitanda na godoro kama anavitu vingine vizuri vya ndani basi chukua kwa bei ya maelewano yenu......5/6 kitanda ni 90 hadi 100 hiki ni kizuri kweli used godoro ni 100 hadi laki 120 kwa bei hii linakuwa zuri sana na ambalo halibonyei katikati.....

vyombo na vitu vingine kama pasi,gesi,feni,mziki hivi vyote unaweza washusha wanaomaliza....mfano gesi wanauzaga 20 hadi 30,na pasi 20 pia....

ishi kwa kujibana nakumbuka nilikuwa nakula 1000 siku nyngne 500 kwasiku nikasave hadi mil 3 lak 4 bila mkopo......hata ukiwa na hela usiifuje bila sababu...

Mishe ya kufanya inategemea na unasoma chuo gani na course ganj, ila kuna mdada dodoma chuo alikuwa anauza juice vidumu 3 hadi 4 hii alikuwa anaweka kwenye migahawa kama 2 hivi....pia kuna kuuza viatu vya kike na makava ya simu (kabla lecture haijaanza unatangaza pale mbele ya wengine), vilevile unaweza kuwa unaagiza mpunga shinyanga au mbeya (inategemea na umbali wa chuo chako) alafu unakoboa then unawatangazia wenzio na vioffer vizuri hauwezi kosa pesa.....

Pia unaweza kununua nguo za mtumba magauni,sketi,brouse,suluari hizo kuna connection ya ilalaboma unaoata kea 2000 na elfu 1500 hadi za 500 zipo...ila suluari ni kuanzia 3000 hadi 5000 mara nyingi nzuri ni elfu4 na elfu 5...hizo nguo wanachuo wakike wanapenda pendeza kama ni quality nzuri utapata pesa tu....

Mishe zako zinaweza kuwa viziri endapo ukioata mwanamke anaejitambua, kuna wamaobahatika na wanatoboa mfano kuna mshkaji wangu alikuwa na girl wake wao walikuwa wanauza juice, dagaa, mchele alafu kuna wengine walifungua genge (zamzam kusimamia)
Mkuu hayo mazaga yapo tayar
Basi ushatoboa kijana maana gazeti nilotaka kuandika huyo mwamba hapo juu kalifafanyia uhariri. Kwa hiyo wewe ishi humo utafika
 
Mimi hapa naingia 2nd year na nilianzia direct ghetto. Fanya yafuatayo:

Tafuta chumba mapema usitafute siku za baada ya usajiri, bora upate hata sasa kuliko kupata chumba kipo mbali baadae. Pata chumba karibu sio uanze kupanda daladala kufika chuo, hizo 300 ni nyingi sana njoo kuna siku utakuwa unaamka na 100 tu. 1st wenzio wanakuja, 2nd na 3rd year wanatafuta kuhamia kutoka hostel ukichelewa ndo unapandishiwa bei, chumba kibaya, kiko mbali.

Uwe na bajeti ya kununua vitu muhimu. Kitanda, godoro na mashuka, feni, pazia, ndoo, kapeti etc. Unaweza nunua vitu used kwa mawakala walio chuoni. Mimi sikununua used kama hela ya kipya sina naacha. Utanunua vitu kulingana na mfuko wako na mahitaji yako.

Pata chumba cha uhakika, chenye hadhi ya kuishi kwani vingine unakuta choo kipo Kivietnam, mwenye nyumba yuko humo, kuna wadangaji. Kwetu sisi tupo wanachuo tu, hakuna taarab, ugomvi wala mtoto kujiliza usiku.

Kuhusu kujitegemea. Nilikuwa na laki kadhaa nikasema ngoja nizoee mazingira nitafanyia kazi, hela zote nikamaliza. Nikaanza issue flani corona ikaingia nikakwama. Sahivi naenda kuanza kitu kingine nikifeli sawa.
Expectations zinakuwa nyingi sana hasa wakikwambia uza hiki na kile unajiona unatoboa as if hela imechuchumaa inasubiri uiokote. Wanaofanya ujasiriamali pekee wanalia, sembuse anayeongeza na kusoma .

Wapo walevi, wahuni, wala bata, wanaokesha church na kila mkesha au mfungo, wanaosoma sana, wapenda mademu, wapenda michezo yeye kila siku ni mazoezi uwanjani, wavuta bangi, wajasiriamali, bila kusahau wanasiasa (wengi wao wababaishaji) hasa UVCCM ambao hujifanya wameyapatia maisha. Kaa upande wako.

Nimejitahidi kufupisha sana hapa. Huwa naandika gazeti
Ahsante mkuu, nitazingatia ushauri wako
Maana umesema ukweli, lazima nipunguze expectations
 
Kwa niaba ya wasomaji wote ASANTE
 
We jamaa ni motivation speaker unakula 500!!? Usikute hata chuo hujawahi fika
Atakuwa amelenga kushawishi matumizi madogo ila 500 haiwezekani. Mleta mada nakwambia usipokula chuo unafeli wewe. Njaa ina ujinga sana, ukiwa home unaweza piga pasi ndefu usihisi njaa ila ukiwa chuo kuna jua flani linawaka, kuna njaa kutokana na kufundishwa alafu kuna ile ya kujisomea. Ukisoma bila kula inatumika nguvu nyingi mno na huelewi haraka.

Bila kusahau maji ya kunywa, kiuhalisia huwezi kunywa maji ya kuchemsha chuo kila siku. Hata ujifanye utayanywa sasa hivi ila ukikaa siku ngapi unayaacha. Ghetto mimi nilikuwa nakunywa ya bombani nikawa dozi ya (frajili) haikosi na hakuna kitu kibaya kama kutokuwa na uhakika na usalama wa tumbo mbele za watu. Maji tu 500 ishaisha.

Siwezi tumia chini ya 4000 kwa kula kila siku. Hapo kuna chai & chapati, mchana pasi ndefu, jioni msosi, +maji. Ila ukiishi ghetto kutumia 2000 kawaida. Hakuna anasa kwenye kula dagaa, maharage au finyango mbili za nyama. Sasa usipoweza afford kula utaweza nini?
 
Chalii angu...skia:

1. Mtegemee Mungu wako

2. Kuwa Disciplined jombaa - Elewa umesoma mwenyewe miaka 14 kufika hapo ko masomo yako hayategemei marafiki wala nini.

3. TAFUTA CONNECTION MZEE - Tengeneza marafiki as much as you can

4. Hela ya boom sio yako. Endea Club, nunulia TV na Woofer kisa CR Hamisi kanunua, ila elewa hio hela SIO YAKO.

5. Relax, Maisha ni Mazuri na Hii Dunia Si Yetu.

Kwa idea za biashara, naamini kuna Wakuu hapa watakupa ideas. Ukikosa, kuna uzi humu JF wa idea za biashara, fursa na mbishe kama hizo. pita nao.
Yani ww jamaa ni kilaza...
 
Wakuu poleni na hongera kwa shughuli za kutafuta riziki.

Naomba wale wote wenye experience ya maisha ya ghetto pindi wapo chuo, mnaweza nipa muongozo mdogo wenu ni kwa namna gani nitaweza hustle kiume.

Ikiwa ni pamoja na ushauri namna ya kupambana na shughuli nyingine nje ya masomo, maana nikimaliza chuo sina mpango wa kurudi home kuwa tegemezi kwa wazazi.

NB: Ushauri wenu ni muhimu sana kwangu

Ahsanteni
Kuna mdau humu jf alisema kwamba, nanukuu ...

"... ukianza kupata pesa shetani anakusogezea kademu..."

Mwisho wa kunukuu.
 
Atakuwa amelenga kushawishi matumizi madogo ila 500 haiwezekani. Mleta mada nakwambia usipokula chuo unafeli wewe. Njaa ina ujinga sana, ukiwa home unaweza piga pasi ndefu usihisi njaa ila ukiwa chuo kuna jua flani linawaka, kuna njaa kutokana na kufundishwa alafu kuna ile ya kujisomea. Ukisoma bila kula inatumika nguvu nyingi mno na huelewi haraka.

Bila kusahau maji ya kunywa, kiuhalisia huwezi kunywa maji ya kuchemsha chuo kila siku. Hata ujifanye utayanywa sasa hivi ila ukikaa siku ngapi unayaacha. Ghetto mimi nilikuwa nakunywa ya bombani nikawa dozi ya (frajili) haikosi na hakuna kitu kibaya kama kutokuwa na uhakika na usalama wa tumbo mbele za watu. Maji tu 500 ishaisha.

Siwezi tumia chini ya 4000 kwa kula kila siku. Hapo kuna chai & chapati, mchana pasi ndefu, jioni msosi, +maji. Ila ukiishi ghetto kutumia 2000 kawaida. Hakuna anasa kwenye kula dagaa, maharage au finyango mbili za nyama. Sasa usipoweza afford kula utaweza nini?
Point to note blood umeongea[emoji3577][emoji110]
 
Wakuu poleni na hongera kwa shughuli za kutafuta riziki.

Naomba wale wote wenye experience ya maisha ya ghetto pindi wapo chuo, mnaweza nipa muongozo mdogo wenu ni kwa namna gani nitaweza hustle kiume.

Ikiwa ni pamoja na ushauri namna ya kupambana na shughuli nyingine nje ya masomo, maana nikimaliza chuo sina mpango wa kurudi home kuwa tegemezi kwa wazazi.

NB: Ushauri wenu ni muhimu sana kwangu

Ahsanteni
Mkuu umenena jambo la msingi sana ambalo wengi tunahitaji kulifahamu,,, ningependa kujua unaenda chuo gani?
 
  • Thanks
Reactions: aad
Tafta demu mmoja anayejitambua weka ndani. Mjipange mnatumiaje boom kutoka kimaisha.
 
Back
Top Bottom