Ndoto inayojirudia mara kwa mara

Ndoto inayojirudia mara kwa mara

Arch Barrel

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2024
Posts
547
Reaction score
1,255
Habar za wikiend wanajamvi.

Poleni na pirika za wiki nzima na misukosuko ya kila aina. Haijalishi umeivuka kwa namna gani lkn upaswa kumshukuru alie juu.

Naandika bandiko hili kuomba ushauri wa dhati kabisa.
Ni muda mrefu sasa zaidi ya miaka minne, nimekuwa nikiota ndoto.

Ndoto hii mara zote imekuwa ya kujirudia haijawahi kubadirika.

Nimekuwa nikiota nipo shule na mara nyingi nakuwa kwenye vipindi vya mitihani.

Katika ndoto hii mara nimekuwa nikikutwa sijajiandaa kwa ajili ya kufanya mitihani, muda mwingine hata notice sina, timetable ya mitihani inatoka ndio naanza kupambana kuanza kujiandaa huku nikiwa na masomo mengi ambayo natakiwa kusoma ili nifanye mtihani.

Sijawahi kuota ndoto ya kuonyesha nipo chumba cha mtihani hapana, muda wote nimekuwa nikiota kuwa, ratiba ya paper imetoka hivyo napaswa kusoma na nina vimeo vingi wakati huo muda ukiwa hautoshi.

Hii ndoto nawwza sema imejirudia zaidi ya mara 30 na ndio ndoto inayonisumbua sana.

Naombeni ushauri wenu wakuu.
 
Huwa namuota sana marehemu Gill Biz,
 
Hofu ya kushindwa una jambo unalohofia kulikosea au kutofanikiwa.
 
Mara nyingi ni stress, hofu ya kushindwa, au kujihisi hujajiandaa kwenye jambo fulani la maisha. Ubongo unatumia “mtihani” kuwakilisha hiyo pressure.
 
Habar za wikiend wanajamvi.
Poleni na pirika za wiki nzima na misukosuko ya kila aina. Haijalishi umeivuka kwa namna gani lkn upaswa kumshukuru alie juu.

Naandika bandiko hili kuomba ushauri wa dhati kabisa.
Ni muda mrefu sasa zaidi ya miaka minne, nimekuwa nikiota ndoto.

Ndoto hii mara zote imekuwa ya kujirudia haijawahi kubadirika.
Nimekuwa nikiota nipo shule na mara nyingi nakuwa kwenye vipindi vya mitihani.
Katika ndoto hii mara nimekuwa nikikutwa sijajiandaa kwa ajili ya kufanya mitihani, muda mwingine hata notice sina, timetable ya mitihani inatoka ndio naanza kupambana kuanza kujiandaa huku nikiwa na masomo mengi ambayo natakiwa kusoma ili nifanye mtihani.

Sijawahi kuota ndoto ya kuonyesha nipo chumba cha mtihani hapana, muda wote nimekuwa nikiota kuwa, ratiba ya paper imetoka hivyo napaswa kusoma na nina vimeo vingi wakati huo muda ukiwa hautoshi.

Hii ndoto nawwza sema imejirudia zaidi ya mara 30 na ndio ndoto inayonisumbua sana.

Naombeni ushauri wenu wakuu.
Unae mtu wa karibu sana anayekwamisha maendeleo yako. Kama upo kwenye mahusiano yachunguze.
 
Au unataka tukwambie unalogwa kuna mtu anachezea nyota yako?

Maana waafrica kila kitu lazima mkirelate na wizard
 
Habar za wikiend wanajamvi.
Poleni na pirika za wiki nzima na misukosuko ya kila aina. Haijalishi umeivuka kwa namna gani lkn upaswa kumshukuru alie juu.

Naandika bandiko hili kuomba ushauri wa dhati kabisa.
Ni muda mrefu sasa zaidi ya miaka minne, nimekuwa nikiota ndoto.

Ndoto hii mara zote imekuwa ya kujirudia haijawahi kubadirika.
Nimekuwa nikiota nipo shule na mara nyingi nakuwa kwenye vipindi vya mitihani.
Katika ndoto hii mara nimekuwa nikikutwa sijajiandaa kwa ajili ya kufanya mitihani, muda mwingine hata notice sina, timetable ya mitihani inatoka ndio naanza kupambana kuanza kujiandaa huku nikiwa na masomo mengi ambayo natakiwa kusoma ili nifanye mtihani.

Sijawahi kuota ndoto ya kuonyesha nipo chumba cha mtihani hapana, muda wote nimekuwa nikiota kuwa, ratiba ya paper imetoka hivyo napaswa kusoma na nina vimeo vingi wakati huo muda ukiwa hautoshi.

Hii ndoto nawwza sema imejirudia zaidi ya mara 30 na ndio ndoto inayonisumbua sana.

Naombeni ushauri wenu wakuu.
Ndoto za hivi hata mimi huwa nazipata . Zinatokana na anxiety ya mitihani, kukumbuka maisha ya shule, kufikiri ungeweza kufanya vizuri zaidi shuleni.

Ni kawaida sana.
 
Dream means nothing
ndoto (sio zote) huelezea hali yako kiroho. Kuwa darasani ni ishara ya kupata maarifa mapya.

kuna ndoto ambazo ni lucid huwa ni nzuri sana hizi. kwamba unaota na unakuwa unajua kuwa unaota na unakuwa na uwezo wa ku-control events ila huna uwezo wa kuikata, hadi inapokatika yemyewe.
 
Mkuu endelea kgd hapo
 
Back
Top Bottom