Ushauri jinsi ya kuishi maisha ya ghetto chuo

Faida za kukaa peke ako.
1.Hutakuwa mvivu kutimiza task hapo geto kama usafi na maakuli kwani uko mwnyewe ukichek huku vyombo na choo vinakucheka

2. Ugomvi ni nadra. Kumbuka mahafali hawakai zizi moja.

3. Ukinunua assets hata kama ni kijiko ni kako peke ako.
Hapa ndo pazuri. Kwa mf. Ukiwa umeshare vitu na mtu haviwi vyako peke ako . Ukimaliza chuo lazima mtaviuza na gawio lazima liwe dogo tofauti hata kama ukiwa peke ako utapata hela nzuri tu.
pia kama umeamua kuanza life baada ya chuo utakuwa huna shaka kwani kianzio yaana vyombo,kitanda na etc utakuwa navyo tayari. kama upo karibu na nyumbani ni unaweza safirisha . Nakuambia lazima utajiona ni mkubwa na ni kumbukumbu kuwa a asset ukiwa umetoka tu chuo na family ako itajivunia wewe tofauti na wale matozi anarudi na begi tu.

4. Kujifunza life la kujitegemea. ukifika chuo unakuwa far na wazazi. Unaanza kujua ups and downs of life. Kuna vingine una solve peke ako i mean that kama ungekuwa kwenu wangefanya wazazi . Ila mkiwa wawili sio kwamba hamjitegemei ila "strongest man in the world is the one who stands alone".

5 .Uhuru. me ni introvert sipendagi kero aisee. Ukiwa peke ako una uhuru mwingi sana . Ukiwa na mwenzio lazma mtasumbuana mf. Umetoka club afu jamaa aamke kukufungulia.

6. kupanuka kiakili.
Ukikaa mwnyw utoto unaisha tu mkuu kama matumizi sahihi ya hela lazima yaje hasa ukiwa peke ako.

7. Ulichoamua ndio hicho hicho.
Kwa mf ukiamua kutopika ni wewe .Ila mkiwa wawili lazima utapika tu .tuchukulie jamaa ako yuko mbali afu anakupigia simu kuwa ukorofishe afu we umechoka hatari.

8. NO EXILE. Kama we unapenda watoto wazuri utaenjoy kwani mtoto ataweza kaa kwako mpk utakapotaka (sikishauri uoe) . Kuna mdada alinambia kuwa huwa hawapendi ile anakuja geto kwako afu anakuta mchizi ako nae yupo then nae anaondoka ili akupishe umle. Huwa hawapendi ila hawana jinsi.
Me binafsi kwanz huwa sipendi nijulikane eti nmetoka kumla mdada huwa naona namvunjia heshima hata kama ni chick tu.
[emoji419][emoji419][emoji419]
 
🙏 Umeeleweka
 
Back
Top Bottom