Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Status
Not open for further replies.
I am eagerly waiting for the biography ya zitto utakayo ileta kesho, lakini ujue moja lema, dua ya kuku haimpati mwewe.

Zitto is out of your league, and he will be your down fall,mtei, mbowe na slaa wamemshindwa itakuja kuwa kibaraka, unaitumiwa kama bull dog. Jaribu uone cha mtema kuni, kama wana chadema hawakukukaanga na mafuta yako. Very pathetic.

Acha vitisho.CCM mmekua wazalendo kwa CHADEMA leo?
 
Zitto sio size yako we kilaza,mipango mikubwa ya kumwangamiza Zitto imeshindwa tena ikiratibiwa ns watu wenye akili zao.mfano ni siku mlipo mzushia kuwa amehongwa na mafisadi ili kukwamisha bajeti ya Nishati na madini, Mlimsema,mkamkejeli ,mkamsimanga kwa hoja za uongo na uzushi,kila aliesimama alidai anao ushahidi usio na shaka,lkn mwisho wa siku kila alieitwa kutoa ushahidi alikosa cha kusema na kudai eti alisoma gazeti,wengine mkasema mlinogewa na mjadala.hivyo mwisho wa siku Tanzania nzima ikajuwa kuwa zitto ni mwadilifu na ni mfano bora wa kuigwa kwa kila mwenye mapenzi mema na nchi.
Hamkuishia hapo mmekua mkifanya kila kinachowezekana kumchafua Zitto ikiwa no pamoja na kutumia magazeti yenu ya Mwanahalisi,mawio na Tanzania daima,lkn imeshindikana maana nyota yake inang`aa na hiziwiliki.sasa mawio wamekugeuka na wameanza kukuona mwengawazimu usiejua ulitendalo,toleo la juzi umeonywa lkn naona kichwa chako ni kama kofia tuu.
Sasa tazama singo uliyokuja nayo,yote hii lengo umprovoke zitto ili mpate pakuanzia.mbaya zaidi huna kikosi kazi chanye akili zaidi ya kushauriana na watu waliokata tamaa ya maisha kama aki na kilewo na saa nane.wakati Zitto akiwaza namna ya kuwakomboa watanzania ,ninyi mnawaza namna ya kukwamisha ili asipate umaarufu.
Slaa na Mbowe kukaa kwenu kimya juu ya haya yanayoendelea ni uthibitisho tosha kuwa ninyi ndio mnaoratibu mpango huu haramu,Tumewavumilia sasa tumechoka,chama si mali ya Mtei tena bali ni mali ya wanachadema ambao wengi hawatoki kilimanjaro na Arusha.kama yote haya lengo nikutaka mbaki ktk uongozi bila ridhaa ya wanachama waliowengi basi jueni kuwa mnakosea sana,mlichelewa sana kwa kuwa kufanya hivyo kutatufanya kila mtu kuondoka na fito yake.chama hakiwezi baki salama.
Zitto endelea kuwajibika kuwatumikia watanzania waliokutuma,Shughulika na mambo ya kitaifa,waache hawa wavuta bangi waimbe taarabu maana hawana kazi ya kufanya,maana tumeshaambiwa kuwa Elimu ya mjinga ni majungu.
Chapa kazi MANDELA wa Tanzania usiependa kuona wanafiki wakigomabania posho huku watanzania wakiwa hawana huduma za msingi.

Mkuu umeachana na CCM lini hadi uwe na hasira kiasi hiki?
 
Umenena vyema mkuu..

Lema wewe ni mjinga tena sana na kamwe. Zitto haja kulazimisha usichukue posho, kumpinga mtu kisa hachukui posho ni chuki binafsi.

Wewe ni nani kukaa na kuanza kusema wabunge wenzio kwenye mitandao?

Godbless J Lema wewe ni wa kupuuzwa umepitiliza sasa, umeshindwa kujenga hoja kwenye vikao una kuja kuchafua wenzio kwenye mitandao.

Dr slaa, mbowe, na wana chadema mkae mkijua huyu Lema ndio anachimba kaburi la CHADEMA.

Lema wewe ni mjinga sana.
Kwakweli nitashangaa huyu mtu kuachwa hivi hivi bila kushikishwa adabu huu ni ujinga kabisa.

Wewe Lema naona ndio umetumwa kuanzisha vurugu na huna busara kabisa huu ni ujinga.

Wanachadema lazima tuungane kupinga huu ujinga wa Lema.

Naomba mh Zitto usipoteze muda kujibu huyu mjinga anakiangamiza chama huku anatuhumu wengine.

Kwakweli sitowaelewa CHADEMA wakimuacha Lema aendelee na huu ujinga wa kukivuruga chama.

Watu wanatakiwa kujua Lema ana nia nzuri na kama angekuwa nayo asingefanya haya.

Lema unajaribu kutuonesha kuwa uko parfect kumbe ni mjinga na huna tofauti namwigamba. Kweli nimeamini aliyesema ufungwe speed governor.

Lema acha kuact kama mtoto, huu umaarufu wako umeupatia kwetu sisi unaotuona wajinga na hutaki kutusikiliza.

Huu ujinga kabisa.

NI LAZIMA LEMA AFUNDISHWE ADABU NA AACHE KULETA MITAFARUKU KWENYE CHAMA NA NINA TEGEMEA TAMKO KUANZIA KESHO KUTOKA KWA VIONGOZI WAKUU WA CHAMA.
 
Lema wewe ndio msaliti mkubwa ndio mnaua chama kwa sababu ya uskazini wenu na mnageuza chama kama N'gos! Mkiambiwa ukweli mnaanza hoo kuna msaliti ndani ya chama, na umekosa hoja sasa unabaki kuropoka wewe lema hata hufanyi nini hamna ubavu wa kumfukuza chadema labda mfanye njama za kumuua kama mlivyofanya kwa chachawangwe, lakini zito tutamlinda kwa gharama yoyote mpaka tuhahakikishe anakuwa m/kiti wa Chadema. Huna jipya wewe unatafuta umaarufu kwa kutuaribia chama! Wewe ndio msaliti mkubwa posho zinakutoa povu!

Matusi yako dhidi ya CHADEMA utaacha lini ?Omba radhi kabla hujachangia hapa
 
bora yako wewe yule WANAWAKE LIVE atazunguka mtaani na mabango kukuulizia eti Umepotea ,,,, Lema hajapotea ameenda chaka simuoni wa kumtetea . kinachoniuma ni hapo wanafiki na wachumia tumbo mnapomuita mzalendo "mnafiki"


"team zitto"

Usipende kuleta matatizo yako kifamilia public.Kama hujawahi kupendwa suluhisho sio kumtusi anayependwa.

Behave responsibly
 
noted from GODBLESS LEMA and BEN SAANANE....
These guyz are pathetic, obsessed with tribalism to the extent of mental disability.
they are ready to the party disappear than accepting it go be under non CHAGA leadership.
at least we are witnessing radicalism(as preached by BEN /LEMA),radicalism that is 100% tribalism.
those with prophetic views, we saw it more than decade ago but it's time now for the rest of the world to see it vividly.
DOGS ARE HERE TO BARK, LET THEM BARK AND BUTCHER EACH OTHER BUT THEY WILL NEVER........ NEVER.... ...never set foot in holly land.
dogs are known and they are known by their voices when barking.
jambazi lenye historia ya kutumia silaha kuiba,kupora na kuua watu hastahili kuwa ni msemaji wa maslahi ya watu.(labda kama watu wenyewe ni WAVUTA BANGI). siasa za kuhonga wapiga kura na BONGO FLEVA ndio zinatufikisha kuwa na wawakilishi kama LEMA/SUGU/MSIGWA na mburura wengine kama hao.
ZZK is not your level and you are fighting a loosing game.
hivi ben saanane, MBOWE Kakuahidi nini?
una maslahi gani kwa vita yako dhidi ya ZZK??

mnawanyima watanzani fursa ya kuwa na mbadala wa CCM just because you hate HIM???
PATHETIC COWARDS AND CHAGAZ.you only think within your Nose scope and you cant see beyond it

Prophetic or superstitious?

Mkabila anawatumia kutoga maskio?
 
mapinduzi gani ya kifikra unayoongelea? hii stage ambayo CDM ipo unasema ni mapinduzi? na unashangilia hili bandiko la Lema? mimi nina maoni tofauti, nadhani ni ulimbukeni tu huu. tunahitaji kuona ukomavu wa kisiasa na siyo mbwembwe kama hizi za kuviziana. kwangu naona chadema ya akina Lema hii haina future nzuri na haya anayoyapigania Lema angekuwa mwingine angekuwa tayari ametimuliwa. THINK TWICE tunahitaji siasa safi

jaribu kunielewa nilicho-highlight toka kwenye uzi wa Lema.

Kwamba watu wasiwaze sana kukimbilia ikulu,wafikirie kuelimisha watu na kura zitakuwa matokeo tu, basi! Ni hilo tu limenigusa mkuu.

Mambo ya Zitto sitaki kuyaongelea sana manake WIMBO WA UKABILA UMEWAINGIA WATZ na najua mmegawanyika kwa misingi hii na ndipo suala la Zitto linapokuwa gumu kulifanyia maamuzi hapo Kinondoni wakati lipo wazi kabisa.

Tutabishana hapa bila hoja za kujenga.
 
Makamanda binafsi nachukia sana wasaliti wa ukombozi wa kumtoa mkoloni mweusi ccm.

Lakini itakuwa busara kutumia vikao vya chama. Kamanda Lema wewe ni mjumbe wa kamati kuu.
Unaweza kupeleka huko hoja yako kuliko kuweka hapa hadharani.
 
honestly, sioni mantiki ama faida ya Zitto kutochukua posho au kupinga tu posho kisha kwenda kulala. kwamaoni yangu haitoshi tu kuikana posho bali kubadili hali za maisha ya watanzania kiasi kwamba hiyo posho wanayodai iwe ni ndogo mbele ya watanzania. kukataa posho na kwenda kulala haileti maana.
Mkuu Lema, pengine utusaidie kutupatia maana halisi ya 'Usaliti', 'Unafiki' na 'utu' kwa namna uelewavyo wewe.

Maneno haya kutoka kwako yananishangaza kidogo, kwa vigezo kuwa kwa yale unayofanya nawewe unaweza fuzu kuitewa Mnafiki na Msaliti asie na utu. Labda kama unatumia hii njia kujikosha baada ya wewe pia kutambua kuwa umeonyesha Usaliti mkubwa kwa Watanzania unaowawakilisha.

Lema inatakiwa uelewe haya;

Unatakiwa kujua kuwa hata kina KUBENEA wameshakuchoka, yeye si mmoja wa hao anaowasema? (Au woga ambao siku zote unashabikia ni sumu leo si sumu tena?), pitia hii https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/547535-mh-lema-anaivuruga-chadema.html

Watanzania wengi washakushtukia, unakiruvuga chama kwa siasa zako za kishabiki na kitoto wenzetu wanaita 'armature' (an insult ukiichukulia undani wake) pitia hii https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...gwe-gavana-rahisi-kusababisha-mitafaruku.html

Inawezekana unawashambulia Shibuda na Zitto kwenye bandiko hili, vipi ni kwakuwa wewe Lema unapenda sana Posho hivyo umeamua liwalo na liwe? pitia hii https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...bungeni-zitto-lema-katika-vita-ya-maneno.html

Au unataka kusema hizi posho zinamaanisha Uzalendo na Utu kwa Taifa? (Are you serious??). Zitto alisha litabiri hili na kueleza wazi (hakutumia unafiki) kuwa Siasa za Posho zitasababisha mjenge chuki na mmwite majina yote mabaya! www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/299635-zitto-sijahongwa-ni-siasa-za-urais-na-hasira-za-posho.html

Au hii ndiyo step ya kwanza ya kufanya Zitto aondoke Chadema? Maana inajulikana wazi kuwa kuna mkakati wa kumkatisha tamaa Zitto aondoke CHADEMA mapema kabla mwaka haujaisha ili mpumue ndani ya chama cha watu wa Kaskazini (viongozi wa juu). Inaturudisha kule kule mnako kukataa siku zote (Udini/Ukabila).

Pole zako Lema, watanzania wa leo si mabwege!
 
Kwasababu wanajua na kufahamu vema kuwa kirusi namba moja ni Zitto Zuber Kabwe

Sasa naanza kuamini Chadema ina safari ndefu sana, kwa akili hizi halafu eti tujidanganye 2015 tutashinda!? labda kama tutawaleta wasomali kutupigia kura! lema na wewe ni janga la chadema
 
Mh Lema karibu sana JF, siwezi kulaumu maandiko yako hapa maana bado ni mgeni. Pole pole utafika
 
Daa yani mtu unashindwa kujenga hoja ya kutetea posho alafu una kimbilia JF.

Lema asante kwa kuturudisha nyuma na madhara yake utayaona soon,na haya unayo yafanya yata athiri chama wala si mtu.

Dr.W.Slaa hamtotenda haki kama mkimuacha Lema aendelee kutuvuruga na kuacha kutumia vikao vya chama.

Huu ni ujinga kabisa.
Mi nadhani Lema ameshangiliwa sana arusha kiasi kwamba anadhani fikra zake ndo ziko sahihi wakati wote, kwa mtizamo wangu wabunge wa aina ya Lema wameturudisha nyuma tu na mwelekeo wa chama hawa ndo waliomfanya hata dr slaa awe mkali muda wote na kupoteza ile haiba yake ya mwanzo, iweje mbunge miaka 3 bungeni huna hata hoja moja ya maana zaidi ya vurugu na kujibizana? Wengine tuna muda mrefu chadema kuliko yeye lema na tumetumia nguvu nyingi kukijenga hiki chama asituharibie
 
Last edited by a moderator:
Tuko, napenda mtiririko wako wa fikra, LAKINI uko wapi mstari wa kiasi??? Anything too much is harmful...

To me rationale has its boundaries when individuals egos interferes negatively with the well-being of the family/team/group/party/country.

Zitto WAS part of CHADEMA in those years, now he IS not part of it anymore.

Dear Tuko, we all live for NOW and not for yesterday. Sentiments should not be the norm here.

NB: I do not condone any move of various public figures/leaders to wash party's linen in public.

Mkuu,
Kama wewe ni mdau
neutral katika hili nakushauri usishawishike kirahisi na maneno. Kwenye siasa kuna michezo mingi sana ya kupumba.vu. Usikubali kuchotwa nayo kirahisi. Kuna siku unaweza kujikuta umeweka mikono kichwani usiamini kile unachokishuhudia...
 
Chadema you better be careful with what you wish for.Don't try to do anything s.t.u.p.i.d against Zitto or else you will regret it.Nimesoma baadhi ya comments za Wachangiaji humu jamvini kwakweli nimeshtushwa na misimamo ya wengi wao wanaounga mkono hoja ya Lema kwamba huyo msaliti anayetajwa afukuzwe na haihitaji kuwa na akili nyingi sana kujua huyo msaliti Lema aliyekuwa akimzungumzia kuwa ni Zitto.Nimeshangazwa na uelewa mdogo sana wa hawa watu katika medani ya siasa.Kama kuna kosa ambalo Chadema hawatakaa walisahau basi ni hili la kumfukuza Zitto.It will be uncontrollable damage ambayo Chadema mtakaa mkijiuliza nini kimewatokea na hamtakaa muamini.Lema haitakii mema Chadema na nina hisia kuwa huenda jamaa ameshaahidiwa pepo na yule Gamba kuu la Monduli aje kuivuruga Chadema.Kifupi Zitto akifukuzwa Chadema mambo mawili yatatokea (a)Ataondoka na kundi kubwa la Wafuasi wake (b)WanaChadema ambao hawakuwa wafuasi wake kabla watahamia upande wake wakiamini kuwa Zitto ni mhanga wa siasa za kibaguzi.Watch out!!??

I believe in busara za Mbowe. Mbowe angekuwa mtu wa kuamua kwa mihemko angeruhusu kujadiliwa na pengine kuadhibiwa kwa Zitto siku walipojitahidi kuibua mashtaka juu yake kwenye NEC ya CDM mapema mwaka huu. But Mbowe kwa ukomavu wake kisiasa aliamua kuizima hoja ile akijua zile ni sarakasi za kisiasa ru...
 
honestly, sioni mantiki ama faida ya Zitto kutochukua posho au kupinga tu posho kisha kwenda kulala. kwamaoni yangu haitoshi tu kuikana posho bali kubadili hali za maisha ya watanzania kiasi kwamba hiyo posho wanayodai iwe ni ndogo mbele ya watanzania. kukataa posho na kwenda kulala haileti maana.

Hapa ni sawa na striker anamlaumu kipa kuwa kwanini unazuia tu mipira hapo golini huendi kushambulia. Kila mchezaji kwenye timu ana kipaji chake, na kila kipaji ni muhimu kwenye timu...
 
Haya yanayoendelea ndani ya chama kwa malumbano ya viongozi kwenye media hayatakiacha chama salama!

Lema ameanzisha malumbano na mwigamba, sasa ameanza na zitto, chama hakiwezi kuchukua dola ndani kikiwa na nyufa kubwakubwa baina ya viongozi.

Lema umeamua kuvuruga chama kuliko kukijenga na kutafuta namna ya kuwashawishi watanzania wakiunge mkono chama kuelekea 2015.

Hatuwezi fanikiwa uchaguzi ujao kwa minyukano hii, mmeamua kuua m4c kwa makusudi na kuanza kulumbana na viongozi wenzenu ndani ya media. Chama kikiwa na double standard namna hii kusonga mbele ni ndoto.

Tulikipenda na kukipigania sana chama hiki, lakini unazi,ulevi,majungu,fitna na umbeya unakinyemelea chama hiki kuelekea kwenye msambaratiko.

Inapofikia kiongozi kama Lema kutokutumia vikao, je sisi ambao sio wajumbe wa kamati kuu, au baraza kuu tutafanya nini?

Kina Mbowe, Slaa na viongozi wengineo wanayafumbia haya maovu.
 
ndipo tutakapojua kesho lakini huko nyuma hapa JF tumepata kujadili zitto kusaliti maamuzi ya vikao kwa kugoma kutoka nje ya bunge badara yake kuitisha waandishi na kuanza kueleza siri ya kikao huo ni usaliti, wakati wa kesi ya madiwani wa chadema yeye aliwaghiribu akili madiwani na kuchochea ugomvi huo ni usaliti,aliunda mtandao wa masalia huo ni usaliti alitangaza uraisi katikati ya kampeni ya arumeru magharibi kudiveti, attention , alikuwa na chagulani mpaka kuwa mgeni wake rasmi kwenye fund raising kumbe wakapanga kupora umeya wa Mwanza ni usaliti haya tumeyapata hapa nadhani ameamua kunyoa
mkuu pamoja na yote hayo, hakuna vikao? Kwa nini lema asitumie vikao? Je majungu.fitna na umbeya yatakisaidia chama?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom