Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Status
Not open for further replies.
Lema anamsaidia mchaga mwenzake ( Mbowe).

Zitto ni jeshi la mtu mmoja.

ishu sio jeshi la mtu mmoja au mia, ishu ni kuwa hilo jeshi lingpambana na nani? Zitto anapambana na jeshi linalopinga ufisadi na linalotaka kulikomboa taifa kutoka kwa wanyonyaji, sijui ana lengo gani
 
kama leo umeamua kuutukana umma wa watanzania kwa kuwaita wahuni, basi sawa!

tutumieni akili basi jamani au ndo tunaidharirisha elimu yetu,kweli lema anaweza kuungwa mkono na watu waelewa?tuache upumbavu.
 
Zitto anafanya phd wakati Lema anapaswa kurudia kidato cha nne.

hata uwe na phd mia tano, kama wewe ni mnafiki, msaliti, selfish, muongo, msingiziaji na muhujumu wa nchi, wewe hufai! Ni heri kuwa na raisi aliyeishia darasa la pili kuliko kuwa na rais mwenye phd mia tano lakini ana sifa hizo nilizozitaja hapo juu
 
Mliwahi kumpa sumu Bagamoyo akapoma kwa mipango ya Mungu ,mkamzishia Bungeni bado akawashinda juzi mkaja na utenzi wa Sitti Binti Saadi, sasa kesho mnamalizia kutunga hadithi fupi,kikubwa msisahau mbinu za ubunilizi kama vile uakifisahaji ,na msisahau kuihariri kazi na nashauri kazi ihaliliwe na Gaidi Henry kilevi,na Saa nane.
 
When it reaches a point you start thread or writing something about Zitto, unakuwa umejishusha zaidi na kudansi mziki wake

Lema unajisumbua na unatapatapa........andika uandikavyo ila utaaibika wewe

mpaka sasa jamii iko against you na posho, unaona mbaya wako ni zitto??? kweli??

Zitto hata kama ni mnafiki wa aina gani, wewe unatumikia wananchi, hautumikii wananchi kupitia zitto, zitto is not your role model..................

umeona tumeweka wazi kuwa ulikuwa unamsema zito ndio unakuja na titile eti ''unafiki wa zitto juu ya posho'' usahwahi kuvuta bangi?? chadema huyu kweli ni kiongozi wenu??

okey, ukiishaandika unafiki wa zitto utakuwa unapambana na zitto au CCM?????

JE utakuwa umekijenga chama

sijaona mbumbumbu wa saisa kama wewe, whata a joke....

okoeni hili kinyago jamani

haji
hv umesoma mpaka la ngapi vile??
huna haja ya kumdhalilisha kuhusu elimu yake,huyu mtu kashajjdhalilisha vya kutosha.
anashindwa kutetea umuhimu wa kuongezewa posho bali anataka kuleta ngonjera za ETI UNAFIKI WA ZITO KABWE!!!!

hawa CHAGAZ wanatupotezea ile nafas adimu ya kuifanya CCM itawale with tension huku ikijua kuna watu wako macho wanaw
amonitor!
hadithi za usaliti wa ZZK ni porojo zinzotungwa
 
Sijakuambia mambo ya unafiki nimekushauri tu, anyway ni ushauri, Ritz ni mwananchi wa kawaida tu muuza kahawa.

Unauzia msikiti gani mkuu Ritz nije nikuungishe?
 
Last edited by a moderator:
Hiki chama kina viongozi? Mlianza na ngumi kwenye mkutano sasa mnakuja jf kuvuana nguo. Kwakweli slaa na mbowe umefika wakati wa kupumzika kama mwendo ndio huu. Na kama ni nyie mlio mtuma lema aje humu na kuvuruga hali ya hewa basi ni mistake kubwa sana. Jamaa unajua hazimtoshi kabisa.
 
tutumieni akili basi
jamani au ndo tunaidharirisha elimu yetu,kweli lema anaweza kuungwa
mkono na watu waelewa?tuache upumbavu.

nenda kaulize arusha alishinda kwa difference ya zaidi ya kura elfu kumi!
 
I can see the strategies to pickout zito from the part by making him frustrated. Mwisho hata akisema naondoka chadema iwe ishu ya kawaida. Kama ndio strategy yenu hii?! Haya twawasubiri.
 
Mliwahi kumpa sumu Bagamoyo akapoma kwa mipango ya Mungu ,mkamzishia Bungeni bado akawashinda juzi mkaja na utenzi wa Sitti Binti Saadi, sasa kesho mnamalizia kutunga hadithi fupi,kikubwa msisahau mbinu za ubunilizi kama vile uakifisahaji ,na msisahau kuihariri kazi na nashauri kazi ihaliliwe na Gaidi Henry kilevi,na Saa nane.
Kama zitto anasoma PhD hajui food poisoning kwamba ni ugonjwa unaotokana na chakula kichafu basi duh inashangaza, lakini hatushangai yeye na mama yake walisema wamevamiwa Tabata walivyobana wakayeyusha labda ndio habari tutawekewa kesho kuonyesha utapeli wa zitto
 
Unaweza ukawa na mawazo mazuri ila ukweli lazima uwekwe wazi...tuliambie taifa ukweli kama tunavyohubiri majukwaani.

Mkuu mimi ni CDM damu! Hata Dr. W. Slaa na Zitto wanajua. Mimi ni mpinzani wa mambo mengi anayofanya Zitto lakini kwa hili Lema hafanyi busara
 
Last edited by a moderator:
I can the strategies to pickout zito from the part by making him frustrated. Mwisho hata akisema naondoka chadema iwe ishu ya kawaida. Kama ndio strategy yenu hii?! Haya twawasubiri.

Ulishaondoka kwenye chama tangu uchaguzi wa 2010 ulipowapigania vijana uliowapeleka NCCR na KIkwete nadhani ulijishikiza kwa amri ya usalama wa taifa sasa wanakuona huna impact bora wakuhurumie umalizie shule ukafundishe
 
I can the strategies to
pickout zito from the part by making him frustrated. Mwisho hata akisema
naondoka chadema iwe ishu ya kawaida. Kama ndio strategy yenu hii?!
Haya twawasubiri.

kwahiyo??? Tukusaidieje???
 
Hiki chama kina viongozi? Mlianza na ngumi kwenye mkutano sasa mnakuja jf kuvuana nguo. Kwakweli slaa na mbowe umefika wakati wa kupumzika kama mwendo ndio huu. Na kama ni nyie mlio mtuma lema aje humu na kuvuruga hali ya hewa basi ni mistake kubwa sana. Jamaa unajua hazimtoshi kabisa.
ndio lengo lenu members wa JF wenye matakwa yao ya kuanzisha thread zao wanaingiaje kwenye mambo ya kuendesha chama sometimes huwa mmunashangaza munapotaka kuterm watu wa post vitu muvitakavyo waache wavuane nguo wakitoka hapo wanakuwa wamoja na kusonga mbele hii ni asusa ya November -December histori inatabia ya kujirudia walifanya hivyo mwaka jana na sasa tupo hapa chaguzi nyingi wakashinda mpaka vitongoji JF ina memba chini ya laki mbili against milioni 44
 
Mkuu mimi ni CDM
damu! Hata Dr. W. Slaa na
Zitto wanajua. Mimi ni mpinzani wa mambo mengi
anayofanya Zitto lakini kwa hili Lema hafanyi
busara

inaitwa "freedom of speech"!
Lema ole wako kesho usiweke ilo bandiko ulilosema, utaturudishia kadi yetu
 
Last edited by a moderator:
Ulishaondoka kwenye chama tangu uchaguzi wa 2010 ulipowapigania vijana uliowapeleka NCCR na KIkwete nadhani ulijishikiza kwa amri ya usalama wa taifa sasa wanakuona huna impact bora wakuhurumie umalizie shule ukafundishe

Ukiwa mmachame tegemea favour ya wenye chama otherwise hata ujenge kila mchaga nyumba ila hatokubali kumuongoza.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom