Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Status
Not open for further replies.
Ushauri wangu kwa Zitto stay cool na kua mjanja kwenye vikao hii movement ni ya kukutia hasira ili ureact wakutafutie sababu kwani kila angle umewabana ndo maana wanamtumia lema coz hana reputation yoyote kwenye jamii.be strong angalia mtu WA kujibizana nae wengine ni BANGI tu.mwisho kwenye vikao kua makini mbeba sumu ni mtu Wako WA karibu ndani ya Chama.
 
wewe siumuache apate hasara kinakuuma nini?

bora yako wewe yule WANAWAKE LIVE atazunguka mtaani na mabango kukuulizia eti Umepotea ,,,, Lema hajapotea ameenda chaka simuoni wa kumtetea . kinachoniuma ni hapo wanafiki na wachumia tumbo mnapomuita mzalendo "mnafiki"

"team zitto"
 
Nani kakudanganya?

Chadema inajifua kuikabili ccm 2015, hatuwezi kwenda na waasi ndani ya chama, ni lazima tuwapige chini
...Kabisa Mkuu!!! watu mbayuwayu ni hatari sana!! Bora uishi na nyoka ujuwe unaishi na nyoka kuliko binadamu ambaye ni nyoka!!!
 
noted from GODBLESS LEMA and BEN SAANANE....
These guyz are pathetic, obsessed with tribalism to the extent of mental disability.
they are ready to the party disappear than accepting it go be under non CHAGA leadership.
at least we are witnessing radicalism(as preached by BEN /LEMA),radicalism that is 100% tribalism.
those with prophetic views, we saw it more than decade ago but it's time now for the rest of the world to see it vividly.
DOGS ARE HERE TO BARK, LET THEM BARK AND BUTCHER EACH OTHER BUT THEY WILL NEVER........ NEVER.... ...never set foot in holly land.
dogs are known and they are known by their voices when barking.
jambazi lenye historia ya kutumia silaha kuiba,kupora na kuua watu hastahili kuwa ni msemaji wa maslahi ya watu.(labda kama watu wenyewe ni WAVUTA BANGI). siasa za kuhonga wapiga kura na BONGO FLEVA ndio zinatufikisha kuwa na wawakilishi kama LEMA/SUGU/MSIGWA na mburura wengine kama hao.
ZZK is not your level and you are fighting a loosing game.
hivi ben saanane, MBOWE Kakuahidi nini?
una maslahi gani kwa vita yako dhidi ya ZZK??

mnawanyima watanzani fursa ya kuwa na mbadala wa CCM just because you hate HIM???
PATHETIC COWARDS AND CHAGAZ.you only think within your Nose scope and you cant see beyond it
 
Nani kakudanganya?

Chadema inajifua kuikabili ccm 2015, hatuwezi kwenda na waasi ndani ya chama, ni lazima tuwapige chini
Wewe nawe division 5 tu,Zitto humuwezi,unaudhi kweli unafikiri mtandao ndo solution?mbulula tu wewe
 
bora yako wewe yule WANAWAKE LIVE atazunguka mtaani na mabango kukuulizia eti Umepotea ,,,, Lema hajapotea ameenda chaka simuoni wa kumtetea . kinachoniuma ni hapo wanafiki na wachumia tumbo mnapomuita mzalendo "mnafiki"

"team zitto"

........Pandikizi!!!
 
Safari yetu ya kubadilisha utawala inaonekana kufika ukingoni na nifuraha ya kila Mtu mwenye hisia ya ukweli katika maisha na ninapotazama mbali sana ninaona jinsi ambavyo Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa ni bahati mbaya sana uwezi kuwaepuka katika harakati hizi lakini tukiwa makini tunaweza kuwathibiti .

Kama Chadema leo itashindwa kuwachukulia hatua wasaliti wa wazi wa kazi hii njema ni vipi Chadema itaweza kuitaka Serikali na Rais iwajibishe Viongozi wake katika ufisadi na wizi wa mamilioni ? Na Wananchi lazima wajue lengo kubwa na muhimu la Chadema kwanza liwe kubadilisha fikra na mitazamo na kuupa UMMA elimu na mamlaka na nguvu ya kusimamia Taifa lao katika kuhoji ,kudadisi na kukemea , kwani UMMA usipojua wajibu wake katika kusimamia rasilimali na Taifa lao , ukweli utabaki kuwa Nchi itabadilishwa na kufanikishwa na Jamii iliyoamua kuishi matendo dhahiri ya ukweli na haki na sio unafiki na usaliti .

Viongozi wote wa Siasa wanatokana na Jamii kwa hiyo jamii Thabiti inayo furahia UTU ni Nchi bora tutakayoijenga lakini Jamii yenye woga na hofu na Sifa itazaa Taifa lenye usaliti na Wanafiki . Usaliti na Unafiki unaliangamiza Taifa sana . Maombi na Dua za Watu wengi kuelekea 2015ni kutaka kuona Chadema inachukua Nchi , lakini Dua na Sala hizi zina Imani kubwa na Viongozi wa Chadema na sio rangi ya Chadema , hivyo ni muhimu Chadema kuchukua hatua sasa ya kusafisha Chama na kama hatua hiyo muhimu ya kuondoa Watu wenye rangi mbili italeta madhara katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kwamba tunaweza tusishinde dola basi madhara hayo ni muhimu kwani lengo letu lisiwe tu kwenda Ikulu bali kubadilisha fikra ya utawala katika kutenda na kuamua .

" Ni bora Simba wakali mia moja walioko Nje kuliko nyoka mdogo mmoja aliye ndani " Chadema lazima ifanye maamuzi sasa ya kusafisha Nyumba yake la sivyo itakuja kujuta katika siku za mwisho , wasaliti wote waondolewe hasa yule Kiongozi wao kwani hakuna genge la usaliti lisilokuwa na Kiongozi , kuna Watu wengi Vijana wamekuwa wahanga na ndoto zao kupotea katika Siasa kwa sababu waliongozwa vibaya na Kiongozi mkubwa anayeratibu usaliti ndani ya Chama .

Mtu huyu wote tunamjua ni matumaini yangu Usaliti wake sasa utafika kikomo kama Chama kitaamua kuwa na busara za kutosha katika kujenga siku njema zinazokuja . Mtu huyu amefanya mambo mengi mabaya katika Chama yanayohusu usaliti na amewaponza Vijana wengi na kuangamiza ndoto zao kwa sababu ya mambo yake binafsi .

" To me, the thing that is worse than death is betrayal. You see, I could conceive death, but I could not conceive betrayal." Malcolm X

Lema Godbless - Mp

Haki ya Mungu una matatizo ya Akili mh!!
 
Zitto anafanya phd wakati Lema anapaswa kurudia kidato cha nne.

Zitto anafikiri kuwa muhadhiri wakati Lema anawaza siasa za kibabe mitandaoni.

Zitto anapinga Posho wakati Lema anashauri Posho iongozwe.

Zitto anajitambua wakati Lema hajitambui.

Lema ni Msomi wa ADVANCE DIPLOMA YA HR na pia anamalizi degree yake ya BBA na anayo Certificate ya uongozi kutoka Cambridge na Diploma ya project management nafikiri hii pamoja na uadilfu na hekima vinatosha
 
noted from GODBLESS LEMA and BEN SAANANE....
These guyz are pathetic, obsessed with tribalism to the extent of mental disability.
they are ready to the party disappear than accepting it go be under non CHAGA leadership.
at least we are witnessing radicalism(as preached by BEN /LEMA),radicalism that is 100% tribalism.
those with prophetic views, we saw it more than decade ago but it's time now for the rest of the world to see it vividly.
DOGS ARE HERE TO BARK, LET THEM BARK AND BUTCHER EACH OTHER BUT THEY WILL NEVER........ NEVER.... ...never set foot in holly land.
dogs are known and they are known by their voices when barking.
jambazi lenye historia ya kutumia silaha kuiba,kupora na kuua watu hastahili kuwa ni msemaji wa maslahi ya watu.(labda kama watu wenyewe ni WAVUTA BANGI). siasa za kuhonga wapiga kura na BONGO FLEVA ndio zinatufikisha kuwa na wawakilishi kama LEMA/SUGU/MSIGWA na mburura wengine kama hao.
ZZK is not your level and you are fighting a loosing game.
hivi ben saanane, MBOWE Kakuahidi nini?
una maslahi gani kwa vita yako dhidi ya ZZK??

mnawanyima watanzani fursa ya kuwa na mbadala wa CCM just because you hate HIM???
PATHETIC COWARDS AND CHAGAZ.you only think within your Nose scope and you cant see beyond it

....povu!!! Povu!!! pandikizi nje!!!
 
Ni ajabu kwamba sasa viongozi CHADEMA mmeamua kutumia JF kama ubao (flip chart) wa kufanyia kazi. Sidhani kama ni mkakati muruwa kwa kazi nyeti za kisiasa. You better think twice on this.
 
Lakini umeelewa ? Lema hajawahi kusema anataka Urais wala Uenyekiti kwa hiyo hapa hakuna Ugomvi wa masilahi isipokuwa unafiki vs ukweli , tusubiri kesho

Hapo kwenye red. Lema na zitto wote ni wanafiki hakuna mkweli! Wote wanatumika bila kujua au wanajua kabisa.
 
Nimefuatilia mjadala sana leo ukizingatia ilikuwa ni Jumamosi kwamba hatukuwa na kazi nyingi sana za Kibunge hasa baada ya kuanzisha mjadala unaosema " Usaliti na Unafiki unavyoliangamiza Taifa " na nimeona mjadala na nimejifunza mambo mengi sana sikumtaja Mtu ila Watu wengi wametaja majina ya Watu , sijui kwanini ? ila naendelea kutafakari , kesho nitaandika kuhusu mada inasema " UNAFIKI WA ZITTO KUHUSU POSHO " na mpaka saa nane mchana nitakuwa nimewasilisha na jambo hili halina mgogoro na kanuni za Chama kwani ni jambo liko wazi kwenye vyombo vya habari .

Asanteni

When it reaches a point you start thread or writing something about Zitto, unakuwa umejishusha zaidi na kudansi mziki wake

Lema unajisumbua na unatapatapa........andika uandikavyo ila utaaibika wewe

mpaka sasa jamii iko against you na posho, unaona mbaya wako ni zitto??? kweli??

Zitto hata kama ni mnafiki wa aina gani, wewe unatumikia wananchi, hautumikii wananchi kupitia zitto, zitto is not your role model..................

umeona tumeweka wazi kuwa ulikuwa unamsema zito ndio unakuja na titile eti ''unafiki wa zitto juu ya posho'' usahwahi kuvuta bangi?? chadema huyu kweli ni kiongozi wenu??

okey, ukiishaandika unafiki wa zitto utakuwa unapambana na zitto au CCM?????

JE utakuwa umekijenga chama

sijaona mbumbumbu wa saisa kama wewe, whata a joke....

okoeni hili kinyago jamani

hv umesoma mpaka la ngapi vile??
 
Thanks god team zitto tunashinda. We are waiting team misukule tomorow! We will show you the music till the realy democracy and transparency shine in our party. Team misukule ya lema &co get ready for the show.u cant beat zitto,u better join him. G9t
 
Lema ni Msomi wa ADVANCE DIPLOMA YA HR na pia anamalizi degree yake ya BBA na anayo Certificate ya uongozi kutoka Cambridge na Diploma ya project management nafikiri hii pamoja na uadilfu na hekima vinatosha

online courses??
 
bora yako wewe yule WANAWAKE LIVE atazunguka mtaani na mabango kukuulizia eti Umepotea ,,,, Lema hajapotea ameenda chaka simuoni wa kumtetea . kinachoniuma ni hapo wanafiki na wachumia tumbo mnapomuita mzalendo "mnafiki"

"team zitto"

umeishiwa hoja inamshambulia mke wa kileo, je na yeye akimshambulia mama yako utajisikiaje..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom