Nimefuatilia
mjadala sana leo ukizingatia ilikuwa ni Jumamosi kwamba hatukuwa na kazi
nyingi sana za Kibunge hasa baada ya kuanzisha mjadala unaosema "
Usaliti na Unafiki unavyoliangamiza Taifa " na nimeona mjadala na
nimejifunza mambo mengi sana sikumtaja Mtu ila Watu wengi wametaja
majina ya Watu , sijui kwanini ? ila naendelea kutafakari , kesho
nitaandika kuhusu mada inasema " UNAFIKI WA ZITTO KUHUSU POSHO " na
mpaka saa nane mchana nitakuwa nimewasilisha na jambo hili halina
mgogoro na kanuni za Chama kwani ni jambo liko wazi kwenye vyombo vya
habari .
Asanteni