Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Status
Not open for further replies.
Mbona ni kiongozi wa chama?!! mnataka kusema CHADEMA ina viongozi virusi? na kama ndivyo mnawaambia nini wapiga kura? kama chama kimeshindwa kujisafisha kitaweza kusafisha hii nchi iliyooza hivi?!!!!!

Wanaishia kulalamika tu
 
Kuna wapuuzi wanamfanansha zitto na lema! Lema ni sawa na lusinde.le mutuz na serukamba. Lema+mbowe+slaa+ben sa8+yericko+mungi=maiti ya zitto. Ina maanisha hawamuwezi akiwa hai.
 
Mguseni, uone hako ka - SACCOS chenu katakavyokufa kifo cha Mende, Hapo CHADEMA hakuna mwanasiasa wa hadhi ya Zitto, Ingawa CCM wapo wengi! Kachama chenyewe kanaishia pale njia panda ya Himo, bado mnakuwa na majungu hivi! kangekuwa Tanzania Nzima si mngeuana nyie!

Sema sema
 
Last edited by a moderator:
lema.jpg lema.jpg
 
zito na shibuda siku wakiwafukuza chama kinakufa.

shibuda ni mwehu tu wala hana historia na cdm ila siku wakimfukuza zitto ndo mwsho wa wanachama wenye akili kuwepo chadema. Watalia sana ila hawamgusi!
 
Chadema you better be careful with what you wish for.Don't try to do anything s.t.u.p.i.d against Zitto or else you will regret it.Nimesoma baadhi ya comments za Wachangiaji humu jamvini kwakweli nimeshtushwa na misimamo ya wengi wao wanaounga mkono hoja ya Lema kwamba huyo msaliti anayetajwa afukuzwe na haihitaji kuwa na akili nyingi sana kujua huyo msaliti Lema aliyekuwa akimzungumzia kuwa ni Zitto.Nimeshangazwa na uelewa mdogo sana wa hawa watu katika medani ya siasa.Kama kuna kosa ambalo Chadema hawatakaa walisahau basi ni hili la kumfukuza Zitto.It will be uncontrollable damage ambayo Chadema mtakaa mkijiuliza nini kimewatokea na hamtakaa muamini.Lema haitakii mema Chadema na nina hisia kuwa huenda jamaa ameshaahidiwa pepo na yule Gamba kuu la Monduli aje kuivuruga Chadema.Kifupi Zitto akifukuzwa Chadema mambo mawili yatatokea (a)Ataondoka na kundi kubwa la Wafuasi wake (b)WanaChadema ambao hawakuwa wafuasi wake kabla watahamia upande wake wakiamini kuwa Zitto ni mhanga wa siasa za kibaguzi.Watch out!!??
 
Mkuu haka kajamaa kanafiki sana sijui kwann mpaka sasa bado kapo kwenye chama cha makamanda

Kanatumika,kama sivyo kasingetetea upuuzi wa lema.Hoja za lema ni sahihi kabisa,ila kwa nafasi yake hakupaswa kuleta humu,angemtumia hata seria wikilis tumaini el,au salvatory mkami.Huu ni utovu mkubwa wa nidhamu.
 
ni kwamba chadema hakuna mfumo wa vikao au inakuwaje mbona mnazungumza humu...kila siku tunasema cdm siyo chama ni mkusanyiko tu c mmeonaa eeh:shocked:

hapo ndio umemaanisha nini?
 
godbless j lema,
mimi nakukubali katika harakati za ukombozi wa taifa hili. Lakini naomba kukushauri kitu kimoja: Katika siasa kubali kutofautiana na watu fikra. Na sio kila mara unaotofautiana nao fikra basi ni maadui zako. Ni wazi kabisa kwamba mwenyekiti wetu mbowe angesema nawachukulia kama maadui wale wote anaotofautiana nao kifikra, chadema isingekuwa hapo ilipo.

Kila shilingi ina pande mbili. Sio sahihi kumjudge mtu kwa kuangalia weakness zake peke yake. Naamini chadema imefika hapo ilipo kwa juhudi kubwa za viongozi wake wote na wanachama wake. Na ninaposema wote nina maana ya wote. Sio vyema mtu mmoja au kikundi cha watu kujiona kuwa wao ni bora zaidi ya wengine. Kila mtu anayo madhaifu yake kama alivyo na mazuri yake. Hakuna mtu aliyekamilika, sio cdm, sio ccm na sio popote.

Wanasema mbwa ukishamjua jina hakusumbui lema.... Tafakari braza...

shilingi haina pande mbili ina pande tatu halafu upande wa tatu ambao si mkubwa na mara nyingi hudharauliwa ,ndio unafanya shilingi inaseleleka na kupotea , take care.
 
Wewe chizi,ulipewa adhabu kwa kosa la kulipuana kwenye mitandao na wajinga wenzio kina shonza,leo unamtetea lema? Rejea mada yangu,'viongozi hawa chadema ni tatizo',ulijifanya unatetea utaratibu wa kutumia vikao halali kutatua migogoro,leo umegeuka? We mtoto sio.
Subiri ukajibu tuhuma zako za kuchafua watu kwenye mitandao.Achana na kushinda kwenye mitandao na kuwatumikia watu maana hawatakusaidia na hiyo Div. IV.30 ya kidato cha nne
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom