huna haja ya kumdhalilisha kuhusu elimu yake,huyu mtu kashajjdhalilisha vya kutosha.
anashindwa kutetea umuhimu wa kuongezewa posho bali anataka kuleta ngonjera za ETI UNAFIKI WA ZITO KABWE!!!!
hawa CHAGAZ wanatupotezea ile nafas adimu ya kuifanya CCM itawale with tension huku ikijua kuna watu wako macho wanaw
amonitor!
hadithi za usaliti wa ZZK ni porojo zinzotungwa
ndipo tutakapojua kesho lakini huko nyuma hapa JF tumepata kujadili zitto kusaliti maamuzi ya vikao kwa kugoma kutoka nje ya bunge badara yake kuitisha waandishi na kuanza kueleza siri ya kikao huo ni usaliti, wakati wa kesi ya madiwani wa chadema yeye aliwaghiribu akili madiwani na kuchochea ugomvi huo ni usaliti,aliunda mtandao wa masalia huo ni usaliti alitangaza uraisi katikati ya kampeni ya arumeru magharibi kudiveti, attention , alikuwa na chagulani mpaka kuwa mgeni wake rasmi kwenye fund raising kumbe wakapanga kupora umeya wa Mwanza ni usaliti haya tumeyapata hapa nadhani ameamua kunyoa