Napata wasiwasi na uwezo wa CHADEMA katika kufanya maamuzi magumu hasa kwa mafisadi. Ikiwa mtu mmoja tu anawapeleka puta na mnazunguka mbuyu miaka nenda miaka rudi.
Mtafanya vipi ili watanzania waamini kwamba mna uwezo wa kuwachukulia hatua mafisadi bila kujali nafasi zao?
Viongozi wote wajuu wanasema kuna kirusi CDM! Mnakijua?
Sasa mbona mnagwaya!!!!!!?
Mtafanya vipi ili watanzania waamini kwamba mna uwezo wa kuwachukulia hatua mafisadi bila kujali nafasi zao?
Viongozi wote wajuu wanasema kuna kirusi CDM! Mnakijua?
Sasa mbona mnagwaya!!!!!!?