Usalama wa Taifa: Mpo likizo?

Status
Not open for further replies.
Sidhani hivyo, lakini kuna mtu ameniambia kuwa ilikuwa chini ya Marmo na sasa hivi iko chini ya Batilda..

Mzee
Marmo alikuwa Waziri wa Utawala bora, mimi sioni uhusiano wake na ujasusi. Batilda ni waziri wa utalii na mazingira, ujasusi hauwezi kuwa hapa.
 
Mzee
Marmo alikuwa Waziri wa Utawala bora, mimi sioni uhusiano wake na ujasusi. Batilda ni waziri wa utalii na mazingira, ujasusi hauwezi kuwa hapa.

Ur right, ndiyo Marmo alikuwa Utawala Bora na TISS inadaiwa ilikuwa chini yake, na hapa nimechanganya tu.. yeyote ambaye anashikilia utawala bora sasa ndiyo Waziri wa Intelligence..
 
Ur right, ndiyo Marmo alikuwa Utawala Bora na TISS inadaiwa ilikuwa chini yake, na hapa nimechanganya tu.. yeyote ambaye anashikilia utawala bora sasa ndiyo Waziri wa Intelligence..

kama ni hivyo basi atakuwa NI SOPHIA SIMBA - WAZIRI OFISI YA RAIS (UTAWALA BORA)
 
Sidhani hivyo, lakini kuna mtu ameniambia kuwa ilikuwa chini ya Marmo na sasa hivi iko chini ya Batilda..

Kwa uelewa wangu hiyo taasisi/chombo huwa siku zote kiko chini ya ofisi ya Rais kwani yeye ndiye msimamizi mkuu na mkuu wa hiyo taasisi ana maboss watatu tu, Rais, Waziri Mkuu na Katibu Mkuu Kiongozi.
 
..jamani..waziri ambaye anashughulikia usalama wa taifa kwa niaba ya rais..ni waziri wa nchi utawala bora...sasa SOPHIA SIMBA..kimsingi hana meno kwa kuwa mara nyingi mkurugenzi wa usalama anaripoti moja kwa moja kwa rais....

wengine wanaowajibika moja kwa moja kwa rais...ni MKUU WA MAJESHI,IGP,ets....mara nyingi mawaziri wa wizara hizi wanaweza kupewa baadhi ya taarifa lakini si zote ...specified information moja kwa moja huenda ikulu kwa rais...ila waziri hubakia na heshima kisiasa tu...

hata ukiangalia security details za mkuu wa majeshi..huwa akiwa dar anatembea akiwa na magari moja au mawili ya wapambe nyuma...,IGP..mara nyingi huwa na gari moja mbele ya traffic na mara nyingine huwa na moja nyuma...,mkuu wa majeshi akiwa anasafiri kwenye barabara huwa na gari kubwa zaidi linalomfuata lenye askari wenye silaha bila makeke,mkuu wa usalama huwa na magari yanayomfuata kila mahali yote huwezi kuyatambua unless ni mjanja na unayaelewa mambo haya..maana yote nimprivate na yako fashionable kiraia,WAKUU WOTE HAWA HUWA WANAFUATA FOLENI NA KUSIMAMA KWENYE MATAA..withregard to IGP amabao vijana wake mara nyingi wakisikia yupo kwenye foleni,mkuu wa magereza yeye huwa na gari na mpambe tu..pamoja na wakuu wote wenye cheo cha brig general up,,na makamishna wa polisi ..ila huwezi kushtukia....sasa hapo ukiangalia mawaziri wao huwa hawana security detail yoyote wazi
 
..jamani..waziri ambaye anashughulikia usalama wa taifa kwa niaba ya rais..ni waziri wa nchi utawala bora...sasa SOPHIA SIMBA..kimsingi hana meno kwa kuwa mara nyingi mkurugenzi wa usalama anaripoti moja kwa moja kwa rais....

Hili suali la nani ni Waziri wa Intelligence ni muhimu sana kuelewa kinachoendelea nchini Tanzania sasa hivi.

Naomba muipitie sheria hii, mtaelewa sasa kwanini kujua nani ni Waziri ni jambo muhimu sana.
 
Mimi nawathubutisha waje wanitafute mimi Nyani Ngabu....kwikwikwiiiii

Yaani kwa akili zao wanakuja kiwanja kuchunguza watu wa jamboforums...hivi wanadhani wakimtafuta mtu aitwaye Mwafrika Wa Kike watampata...they have their work cut out for them

Ha ha ha ha Ngabu,

nakuambia kuna watu wanapata wrong feeds na wamehangaika kweli kuongea na wrong pple wakizani kuwa ndio MWK. Inabidi sasa namie nitangaze namba yangu kama Mwanakijiji ili watu wasihangaike kunitafuta.

Juzi hapa nilipiga simu bongoradio kuchangia kwenye kipindi cha mwanakijiji wakati kina Max wameshikwa na polisi, sasa nasikia watu wako bize kutrace hiyo namba kujua nani na yuko huyu!

Yaani mambo mengine hadi yanachekesha!
 
Hili suali la nani ni Waziri wa Intelligence ni muhimu sana kuelewa kinachoendelea nchini Tanzania sasa hivi.

Naomba muipitie sheria hii, mtaelewa sasa kwanini kujua nani ni Waziri ni jambo muhimu sana.

Mwanakijiji:

Kabla sijasoma hivyo document. Ningependa kujua kama hipo Classified au Unclassified.
 
Mwanakijiji:

Kabla sijasoma hivyo document. Ningependa kujua kama hipo Classified au Unclassified.

not classified.. ni sheria ya nchi ya Tanzania ambayo si dhambi na si kosa mtu kukutwa nayo. Ni sheria ya Bunge iliyounda TISS mwaka 1996.

So soma at your leisure and pleasure!
 
una maana ya 1970. Sheria ya Usalama wa Taifa ya 1970 bado ipo lakini inahusiana na hii ya 1996. Kimsingi hii ya 1996 imeunda TISS ili itekeleze yaliyoainishwa kwenye ile ya 1970.

Thanks mkuu nilimanisha hiyo hiyo, je, ile ya 1970 ipo electronically kwa maana ya kujua 'makatazo' yaliyopo kule?
 
GT, Rev. Kishoka napenda kujua maoni yeni kama mkipewa nafasi ya kuirestructure mtaifuma katika mfumo upi?
 
Sophia Simba,previously alikuwa Marmo....Utawala Bora (a polite term for hicho tunachojadili).

sasa ninaelewa kwa nini tumekuwa na matatizo katika utawala. Anayeitwa Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Utawala Bora) hashughulikii utawala bora!!!
 
Kazi za kuzuia wapiga picha ni kazi za usalama wa taifa wa kizamani. UT hawapo livu wala hawaja lala wala hizo ulizoainisha si kazi zao kwa sasa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom