Usafi wa mikono baada ya kutoka haja

Usafi wa mikono baada ya kutoka haja

Miji mikubwa kama Hongkong Iko karibu na bahari,umejiuliza uchafu wite unaenda wapi Baharini,hebu jiulize mji wa Dsm kule ufukweni yale mavi ya ocean road Baharini yanatoka wapi?
Mavi baharini hayana shida sana, japo yanatakiwa yafanyiwe treatment kwanza kabla hayajaachiliwa baharini.
 
Ukianza ukifikiria process ya uandaaji wa chakula unaweza ukaacha kula na kuanza kufunga swaumu mpaka upate muda wa kupika mwenyewe
Chips za kitaa hapana mkuu. Sina mzuka nazo. Wacha nile hizi hizi za kwangu ziso na utamu.
Halafu unakuta kwenye vioski vingi vya kitaa mara nyingi na mifereji ya maji machafu ndio yanapita hapo 😏
 
Sehemu nyingine watu wanapolishana mavi sana ni kwenye vyoo vya umma sehemu za bus za abiria kuchimba dawa na kula.
 
Mimi huwa najaribu kila siku nashindwa
Mwamba uliwekaga thread ya pishi la pilau ile cku ya eid, nikasema hii ngoja niruke nayo. Kuna manzi nilikuwa nafukuzia job, na alinipromise atakuja iyo eid. Asee demu anafika, acha animwagie masifa kama yote. Tokea ile cku hata simwitagi, ikifika ijumaa utaskia "kesho nakuja kwako G", tunakula, kisha tunakula.😄😄

Oya mkuu, unatuokoa sana sisi mabachela. Ile cku niliwaza nimnunulie msosi akija. Ila nilivoingia jf nakutana na thread yako. Big up mzee ✊
 
Uwezo wa shatafu hawana, tishu ni gharama, maji ni bure.

Wewe unatumia nini mkuu??
Limbukeni huyo kaenda Ulaya amekuta wanatumia toilet paper na wao kutumia maji ni uchafu mkubwa ndio ka copy na kuweka hapa hata South Africa ukitumia maji watakuona hivo..limbukeni wa kuiga tu huyo,huko kijijini kwao kuna hizo toilet paper??
 
Hivi wakuu hili suala la kwenda haja kubwa, halafu wakati wa kuchamba mtu anashika shika mavi ili kujiosha mnalionaje?

Ukweli ni kwamba wengi wamelishwa mavi. Huwezi kusema wote hujisafisha mikono vizuri na maji ya kutosha na sabuni au ikiwa wote hunawa na sabuni.

Na wengine hujisafisha na maji ya ndoo ya chooni au kopo la chooni linalotumiwa na wengi. Tena utakuta ni maji kidogo sekunde 2 tu mtu kashamaliza kunawa anarudi jikoni au kwenye mgahawa anaendelea kuaanda chakula au kupakulia chakula wateja wake. Hivi kweli kuna usafi unazingatiwa hapo?

Unakuta mmama au dada wa nyumbani ambaye ndiye mpishi wa familia akienda chooni anajisafisha kwa njia hiyo hivi kweli mna uhakika huwa hawawalishi kinyesi walaji?

Ifikie wakati huu utamaduni wa kuchamba kwa kushika shika kinyesi Watanzania waachane nao. Unatia kinyaa sana.
Watanzania waachane na hii tabia!!👿 inatia kinyaa saana
 
Kuna uzi kama huu alileta hapa mayalla nilitoa fafanuzi kuwa watu watumie vyote maji na toilet paper..yaani tumia kwanza toilet paper kisha njoo na maji kisha tumia tena toilet paper kujikausha kisha tumia tena maji na sabuni kunawa mikono ....hata wakati wa kuoga tunatumia mikono na maji
 
Kuna uzi kama huu alileta hapa mayalla nilitoa fafanuzi kuwa watu watumie vyote maji na toilet paper..yaani tumia mtumia kwanza toilet paper kija njoo na maji kishatumia tena toilet paper kujikausha kisha tumia tena maji na sabuni kunawa mikono ....hata wakati wa kuoga tunatumia mikono na maji
Kutumia kitu asilia (maji),huwa ni bora sana,na gharama nafuu sana na ndo njia nzuri yakuondoa uchafu kwa uhakika zaidi,sijui hizo fikra mnazitoa wapi!!!
 
Back
Top Bottom