Usafi wa mikono baada ya kutoka haja

Usafi wa mikono baada ya kutoka haja

Attachments

  • IMG_2819.jpeg
    IMG_2819.jpeg
    560.3 KB · Views: 10
Au kachumbari wewee...unasema hii kachumbari wameweka nini jamani unakuta hakana maajabu yoyote ila hiyo ladha yake tamuu!!

Sasa hapo uanze kuchunguza walivyo andaa na chombo walichowekea🤮🤮unaweza usile Tena ila ndo huwezi🤣
😆😆,, itakuwa kuna kautundu flani
 
Mkono mmoja shataff mwingine nasafishia. Aisee nibaki tu na huu ushamba maana bila kuhakikisha kila kitu kimesafishika siwezi kutuliaa😃
Hapo unafeli

Shataff yenyewe inasafisha huhitaji kushika mavi

Ukimaliza unakausha tako na toilet paper

Unaenda kunawa maji tiririka na sabuni
 
Piga picha kucha zako tumalize ubishi mimi kucha hizi hapa show yoy
Wenye wake kuna kitu kikubwa sana mnapungukiwa nacho ni usafi wa mikono mabachera wanakuwa na mikono safi kuliko wanaume walio oa ...usishangae sababu ni kufua nguo muda mtu afuapo nguo mikono yake utakasika kwa asilimia 100 ...hivyo muafrica mwenye kufua nguo kwa mikono ...mikono yake ni misafi kuliko hata mzungu au muarabu au mtu mwenye kufuliwa nguo na mashine au mke
 
Piga picha kucha zako tumalize ubishi mimi kucha hizi hapa show yoy
Wenye wake kuna kitu kikubwa sana mnapungukiwa nacho ni usafi wa mikono mabachera wanakuwa na mikono safi kuliko wanaume walio oa ...usishangae sababu ni kufua nguo muda mtu afuapo nguo mikono yake utakasika kwa asilimia 100 ...hivyo muafrica mwenye kufua nguo kwa mikono ...mikono yake ni misafi kuliko hata mzungu au muarabu au mtu mwenye kufuliwa nguo na mashine au na mke
 
Wenye wake kuna kitu kikubwa sana mnapungukiwa nacho ni usafi wa mikono mabachera wanakuwa na mikono safi kuliko wanaume walio oa ...usishangae sababu ni kufua nguo muda mtu afuapo nguo mikono yake utakasika kwa asilimia 100 ...hivyo muafrica mwenye kufua nguo kwa mikono ...mikono yake ni misafi kuliko hata mzungu au muarabu au mtu mwenye kufuliwa nguo na mashine au mke
Mbona mm sijafua nguo leo
 
Wenye wake kuna kitu kikubwa sana mnapungukiwa nacho ni usafi wa mikono mabachera wanakuwa na mikono safi kuliko wanaume walio oa ...usishangae sababu ni kufua nguo munda mtu afuapo nguo mikono yake utakasika kwa asilimia 100 ...hivyo muafrica mwenye kufua nguo kwa mikono ...mikonoyake ni misafi kuliko hata mzungu au muarabu au mtu mwenye kufuliwa nguo na mashine au mk
Mimi sijao bro
 
Hivi wakuu hili suala la kwenda haja kubwa, halafu wakati wa kuchamba mtu anashika shika mavi ili kujiosha mnalionaje?

Ukweli ni kwamba wengi wamelishwa mavi. Huwezi kusema wote hujisafisha mikono vizuri na maji ya kutosha na sabuni au ikiwa wote hunawa na sabuni.

Na wengine hujisafisha na maji ya ndoo ya chooni au kopo la chooni linalotumiwa na wengi. Tena utakuta ni maji kidogo sekunde 2 tu mtu kashamaliza kunawa anarudi jikoni au kwenye mgahawa anaendelea kuaanda chakula au kupakulia chakula wateja wake. Hivi kweli kuna usafi unazingatiwa hapo?

Unakuta mmama au dada wa nyumbani ambaye ndiye mpishi wa familia akienda chooni anajisafisha kwa njia hiyo hivi kweli mna uhakika huwa hawawalishi kinyesi walaji?

Ifikie wakati huu utamaduni wa kuchamba kwa kushika shika kinyesi Watanzania waachane nao. Unatia kinyaa sana.
Wewe waona mavi tu. Niliona mdada wa kazi sehemu kwenye biashara ya chakula anapenga kamasi kwa mkono bila kitambaa halafu anaendelea kusonga ugali bila wasiwasi. Kamasi na kinyesi kipi bora?
 
Back
Top Bottom