Usafi wa mikono baada ya kutoka haja

Usafi wa mikono baada ya kutoka haja

Hivi wakuu hili suala la kwenda haja kubwa, halafu wakati wa kuchamba mtu anashika shika mavi ili kujiosha mnalionaje?

Ukweli ni kwamba wengi wamelishwa mavi. Huwezi kusema wote hujisafisha mikono vizuri na maji ya kutosha na sabuni au ikiwa wote hunawa na sabuni.

Na wengine hujisafisha na maji ya ndoo ya chooni au kopo la chooni linalotumiwa na wengi. Tena utakuta ni maji kidogo sekunde 2 tu mtu kashamaliza kunawa anarudi jikoni au kwenye mgahawa anaendelea kuaanda chakula au kupakulia chakula wateja wake. Hivi kweli kuna usafi unazingatiwa hapo?

Unakuta mmama au dada wa nyumbani ambaye ndiye mpishi wa familia akienda chooni anajisafisha kwa njia hiyo hivi kweli mna uhakika huwa hawawalishi kinyesi walaji?

Ifikie wakati huu utamaduni wa kuchamba kwa kushika shika kinyesi Watanzania waachane nao. Unatia kinyaa sana.
Muanzisha huu uzi inabidi aangaliwe kwa makini bila hivyo anapotea yaani anaona kutumia tissue ndio usafi kuliko kutumia majišŸ¤”
 
Hehehehe... hiyo ni PHOBIA tu. Wajapani wanasifika kwa usafi sana na nilikuwa nawakubali kuwa ni wasafi. Cha ajabu ilitokea siku moja niliona mtandaoni kuna mabaki ya panya yamepatikana kwenye mikate ile baked. Sasa usafi upi hapo!

Usafi ni janga kubwa duniani. Sema kupunguza uchafu ila sio kwa 100%. Hata kutumia toilet paper bado haupo safe.
 
hii africa bana, mfano mzuri angalia zile chips za kitaa! tamu balaa,, zinaoshwa mara moja tu,, wewe nyumbani mara tatu na haziwi kama zile 😁,,

weka namba uokote
Au kachumbari wewee...unasema hii kachumbari wameweka nini jamani unakuta hakana maajabu yoyote ila hiyo ladha yake tamuu!!

Sasa hapo uanze kuchunguza walivyo andaa na chombo walichowekea🤮🤮unaweza usile Tena ila ndo huwezi🤣
 
Naambiwa ile mikoba ya wanawake wanayobeba huwa ina vitu vingi vya kujifanyia usafi faraghani, kuna pedi, tishu na vikorombwezo vingine vingi tu mpaka sanitaiza. Kukokoja tu wanatumia tishu kujifuta mkojo unaobaki baada ya kukojoa huko maluwatoni au maporini/vichakani kunako "kuchimba dawa" wawapo safarini
 
Hivi wakuu hili suala la kwenda haja kubwa, halafu wakati wa kuchamba mtu anashika shika mavi ili kujiosha mnalionaje?

Ukweli ni kwamba wengi wamelishwa mavi. Huwezi kusema wote hujisafisha mikono vizuri na maji ya kutosha na sabuni au ikiwa wote hunawa na sabuni.

Na wengine hujisafisha na maji ya ndoo ya chooni au kopo la chooni linalotumiwa na wengi. Tena utakuta ni maji kidogo sekunde 2 tu mtu kashamaliza kunawa anarudi jikoni au kwenye mgahawa anaendelea kuaanda chakula au kupakulia chakula wateja wake. Hivi kweli kuna usafi unazingatiwa hapo?

Unakuta mmama au dada wa nyumbani ambaye ndiye mpishi wa familia akienda chooni anajisafisha kwa njia hiyo hivi kweli mna uhakika huwa hawawalishi kinyesi walaji?

Ifikie wakati huu utamaduni wa kuchamba kwa kushika shika kinyesi Watanzania waachane nao. Unatia kinyaa sana.
Miji mikubwa kama Hongkong Iko karibu na bahari,umejiuliza uchafu wite unaenda wapi Baharini,hebu jiulize mji wa Dsm kule ufukweni yale mavi ya ocean road Baharini yanatoka wapi?
 
Back
Top Bottom