Usafi wa mikono baada ya kutoka haja

Usafi wa mikono baada ya kutoka haja

Sina uhakika Kama kuna watu wana akili vizuri;

Yaaani munaamini tissue zaidi kuliko maji?

Tissue inaacha traces za kinyesi huko nyuma halafu ndio inakuwa nini. Hili halina ubishi hata utumie tissue Zima. Cha msingi tumia tissue Kama uko safari au sehemu ya emergency saaaana.

Unakutana na mtu au umekaa na mtu sehemu ananuka kabisa kinyesi.

Weka ndoo ya maji chooni kwako na sabuni, tawaza vizuri na sabuni na maji ya kutosha:

Pia kinachonishangazaga, inakuwaje mtu unakuwa huna ratiba ya kwenda chooni? Yaaani wewe popote tu na muda wowote unaenda chooni? Huko ni kukosa discipline yako mwenyewe.

Mwili wa binadamu unauwezo wa kuadapt mazingira, jicondition kwamba utaenda chooni ukiwa nyumbani kwako tu, unless uwe unaumwa tumbo tena kwa emergency hapo sawa.
 
Hivi wakuu hili suala la kwenda haja kubwa, halafu wakati wa kuchamba mtu anashika shika mavi ili kujiosha mnalionaje?

Ukweli ni kwamba wengi wamelishwa mavi. Huwezi kusema wote hujisafisha mikono vizuri na maji ya kutosha na sabuni au ikiwa wote hunawa na sabuni.

Na wengine hujisafisha na maji ya ndoo ya chooni au kopo la chooni linalotumiwa na wengi. Tena utakuta ni maji kidogo sekunde 2 tu mtu kashamaliza kunawa anarudi jikoni au kwenye mgahawa anaendelea kuaanda chakula au kupakulia chakula wateja wake. Hivi kweli kuna usafi unazingatiwa hapo?

Unakuta mmama au dada wa nyumbani ambaye ndiye mpishi wa familia akienda chooni anajisafisha kwa njia hiyo hivi kweli mna uhakika huwa hawawalishi kinyesi walaji?

Ifikie wakati huu utamaduni wa kuchamba kwa kushika shika kinyesi Watanzania waachane nao. Unatia kinyaa sana.
Hili ni janga la taifa. Na chimbuko lake ni uarabuni wenyewe wakiita kutawaza. Likaletwa kwetu, watu wa pwani wakalidaka, na sasa limeenea karibu nchi nzima. Kila choo unakuta ina ndoo moja, yenye maji na kopo kwa pembeni. Inatumika masaa 24, huku maji yakiongezwa bila kuoshwa wala kuosha kopo kwa kisingizo eti, hivi ni vifaa vya chooni, lazima viwe vichafu. Na mbaya zaidi hakuna sabuni na sinki la kunawa. Kinyesi hakiondoki kwa kunawa na maji tu, mtu anatoka na uchafu, anashika vitasa na kupeana mikono au kupika. Wanaume tuna nyongeza: unachupuka popote kujisaidia haja ndogo, unashika ''tango'' kwa vidole, (pengine umetoka kutifua), ukisogea mbele unampa mtu mkono kumsalimia, au unanunua mhindi unakata, kumpa mwenzako...
 
Kwanini kashfa hii mmeamua KUWAPA watanzania pekee au kwa kuwa tunaishi nao...me sidhani kama nchi za Africa zinatofautiana sana na za Asia naona mambo ndo hayohayo tu
Sijawalinganisha na nchi nyingine, nimezungumzia uhalisia. Wewe ukiwa sehemu yoyote kinapouzwa chakula kama hotelini, mghawani, bar au kwa mama mtilie siku moja jaribu kuangalia ni watu wangapi watanawa mikono kwa sabuni kabla ya kula kwa mikono.

Pia nchi nyingine matumizi ya toilet paper ni makubwa zaidi kuliko Tanzania.
 
Sina uhakika Kama kuna watu wana akili vizuri;

Yaaani munaamini tissue zaidi kuliko maji?

Tissue inaacha traces za kinyesi huko nyuma halafu ndio inakuwa nini. Hili halina ubishi hata utumie tissue Zima. Cha msingi tumia tissue Kama uko safari au sehemu ya emergency saaaana.

Unakutana na mtu au umekaa na mtu sehemu ananuka kabisa kinyesi.

Weka ndoo ya maji chooni kwako na sabuni, tawaza vizuri na sabuni na maji ya kutosha:

Pia kinachonishangazaga, inakuwaje mtu unakuwa huna ratiba ya kwenda chooni? Yaaani wewe popote tu na muda wowote unaenda chooni? Huko ni kukosa discipline yako mwenyewe.

Mwili wa binadamu unauwezo wa kuadapt mazingira, jicondition kwamba utaenda chooni ukiwa nyumbani kwako tu, unless uwe unaumwa tumbo tena kwa emergency hapo sawa.
Binafsi choo cha ugenini kinanipa ugumu sana kukitumia labda kiwe na mazingira mazuri zaidi ya kwangu ila vinginevyo siendi

Nakumbuka nilienda kijijini kusalimia sikujisaidia mpka nilipofika mjini ndani ya siku mbili najikaza tu
 
Muhimu ni kunawa kwa sabuni tu.
Ni sawa ila ishu inakuja unawaji wenyewe wa wadau

Tumaji ananyunyuzia hasafishi vizuri sehemu yote iliyoshika mavi wakati wa kuchamba

Mkono wa kuklia ameshika ule mkopo wa chooni halafu kapakaza tusabuni mkono wa kushoto ananyunyuzia tumaji

Usitegemee mavi yote yatakuwa yametoka kwenye mkono anakuwa kama amepangusa tu

Inataka mtu anawe vizuri sana wengi wanapakazapakaza tu kama ushahidi
 
nilifikaga Bole Addis Ababa International Airport kwenda chooni si nikashindwa kutumia zile Toilet Paper ilinibidi nitumie maji tu kama kawaida aisee
 
Hili ni janga la taifa. Na chimbuko lake ni uarabuni wenyewe wakiita kutawaza. Likaletwa kwetu, watu wa pwani wakalidaka, na sasa limeenea karibu nchi nzima. Kila choo unakuta ina ndoo moja, yenye maji na kopo kwa pembeni. Inatumika masaa 24, huku maji yakiongezwa bila kuoshwa wala kuosha kopo kwa kisingizo eti, hivi ni vifaa vya chooni, lazima viwe vichafu. Na mbaya zaidi hakuna sabuni na sinki la kunawa. Kinyesi hakiondoki kwa kunawa na maji tu, mtu anatoka na uchafu, anashika vitasa na kupeana mikono au kupika. Wanaume tuna nyongeza: unachupuka popote kujisaidia haja ndogo, unashika ''tango'' kwa vidole, (pengine umetoka kutifua), ukisogea mbele unampa mtu mkono kumsalimia, au unanunua mhindi unakata, kumpa mwenzako...
Mkuu umezungumza kitaalamu sana na huu ndio ukweli.

Ndio maana wageni kutoka nje ya nchi wengine hutembea na sanitizer kila baada ya muda fulani anasafisha mikono
 
Ni sawa ila ishu inakuja unawaji wenyewe wa wadau

Tumaji ananyunyuzia hasafishi vizuri sehemu yote iliyoshika mavi wakati wa kuchamba

Mkono wa kuklia ameshika ule mkopo wa chooni halafu kapakaza tusabuni mkono wa kushoto ananyunyuzia tumaji

Usitegemee mavi yote yatakuwa yametoka kwenye mkono anakuwa kama amepangusa tu

Inataka mtu anawe vizuri sana wengi wanapakazapakaza tu kama ushahidi
Sahihi, ila elimu ya sayansi kimu iliyokuwa inafundisha watoto wa shule mambo ya msingi kama haya ya usafi ya namna sahihi ya kunawa/kusafisha mikono vizuri iliondolewa shuleni muda mrefu sana kwa hiyo watu wengi ni vilaza kabisa katika kusafisha mikono, wanafikiri ukinawa kwa kupaka maji tu mikono tayari umeisafisha.
 
Mungu tu ndo anasaidia, wengine hawanawi hata kwa kutumia sabuni wanajisuuza tu na maji then kama ni mtu wa mapishi anaendelea na kazi zake
Yaani hao ni bora wasiwe wanatawaza kabisa abaki tu na chembechembe za mavi matakoni mwake kama wanyama

Kwa sababu ile kuyashika shika back and forth halafu anakuja kunawa bila sabuni ndio anazidi kutibua mambo
 
Usafi muhimu kipindupindu, typhoid, kuharisha havina urafiki na usafi
Mimi kama nilipanda usafiri wa umma nikifika nyumbani nanawa kwa sabuni kwa kuwa sijui aliyeshika niliposhika alikuwa ameshika nini. Lakini hakuna kula hovyo mtaani vitu kama karanga na matunda. Hotel kubwa kuna sabuni nzuri za kunawia shida ni kwenye chakula kitamu kwa mama lishe.
 
Back
Top Bottom