Usafi wa mikono baada ya kutoka haja

Usafi wa mikono baada ya kutoka haja

Kwa nini anaruhusu jasho lake kuingia kwenye chakula?? Lakini bora jasho kuliko mavi.
Kwasababu ni involuntary action ,nimetolea mfano WA jasho Tu ,Watu humu sehemu mbalimbali wanakula vyakula vinapikiwa maji ya hovyo,mavyakula baadhi tunayokula Yana Sumu Hilo hamlioni n.k.... Yaani tuseme tunaishi kwa neema Tu nikianza kuongea sita maliza
 
Hivi wakuu hili suala la kwenda haja kubwa, halafu wakati wa kuchamba mtu anashika shika mavi ili kujiosha mnalionaje?

Ukweli ni kwamba wengi wamelishwa mavi. Huwezi kusema wote hujisafisha mikono vizuri na maji ya kutosha na sabuni au ikiwa wote hunawa na sabuni.

Na wengine hujisafisha na maji ya ndoo ya chooni au kopo la chooni linalotumiwa na wengi. Tena utakuta ni maji kidogo sekunde 2 tu mtu kashamaliza kunawa anarudi jikoni au kwenye mgahawa anaendelea kuaanda chakula au kupakulia chakula wateja wake. Hivi kweli kuna usafi unazingatiwa hapo?

Unakuta mmama au dada wa nyumbani ambaye ndiye mpishi wa familia akienda chooni anajisafisha kwa njia hiyo hivi kweli mna uhakika huwa hawawalishi kinyesi walaji?

Ifikie wakati huu utamaduni wa kuchamba kwa kushika shika kinyesi Watanzania waachane nao. Unatia kinyaa sana.
Ukitaka kujua huwa tunakula sana kinyesi kuwe na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu. Maana hupati kipindupindu kama hujala kinyesi.
 
Hivi wakuu hili suala la kwenda haja kubwa, halafu wakati wa kuchamba mtu anashika shika mavi ili kujiosha mnalionaje?

Ukweli ni kwamba wengi wamelishwa mavi. Huwezi kusema wote hujisafisha mikono vizuri na maji ya kutosha na sabuni au ikiwa wote hunawa na sabuni.

Na wengine hujisafisha na maji ya ndoo ya chooni au kopo la chooni linalotumiwa na wengi. Tena utakuta ni maji kidogo sekunde 2 tu mtu kashamaliza kunawa anarudi jikoni au kwenye mgahawa anaendelea kuaanda chakula au kupakulia chakula wateja wake. Hivi kweli kuna usafi unazingatiwa hapo?

Unakuta mmama au dada wa nyumbani ambaye ndiye mpishi wa familia akienda chooni anajisafisha kwa njia hiyo hivi kweli mna uhakika huwa hawawalishi kinyesi walaji?

Ifikie wakati huu utamaduni wa kuchamba kwa kushika shika kinyesi Watanzania waachane nao. Unatia kinyaa sana.
Una maanisha wale wenye kucha nchi 9?
 
Kwani wakati wa kuoga wewe unavaa gloves 🙄? Maana hata wakati wa kuoga watu wote tunakuwa tunajumuika kwenye kujisafisha kwa maji hayo maeneo kama wale wanao kwenda chooni au unasema tukioga tuvae gloves mikononi kama wewe unavyo fanya ?au na wewe unaoga bila ya kutumia gloves sasa tofauti ni gani ?
 
Juzi kati niliona mama lishe katoka chooni nikajisikia kichefuchefu na kuacha kula hapo. Hili andiko ni kama lilinijia kabla ya kulisoma hapa. Kuhusu yale makopo ya chooni kila mtu anachambia hayako salama kuna uwezokano mkubwa ukaambukizwa fangasi ukaishia kuja kuwashwa sehemu za siri
Bora ulivyoondoka mkuu ulifanya uamuzi sahihi kuliko kuforce kula kinyesi

Makopo na ndoo za chooni daima sifa yake ni chafu na kila mtu anashika akiwa ametoka kunya au kushika mavi anatawaza imagine kuna vimelea vingapi vya magonjwa vimeachwa humo
 
Kwani wakati wa kuoga wewe unavaa grops 🙄? Maana hata wakati wa kuoga watu wote tunakuwa tunajumuika kwenye kujisafisha kwa maji hayo maeneo kama wale wanao kwenda chooni au unashamed tukioga tuvae grops mikononi kama wewe unavyo fanya ?au na wewe unaoga bila ya kutumia grops sasa tofauti ni gani ?
grops ndio nini??
 
Sina uhakika Kama kuna watu wana akili vizuri;

Yaaani munaamini tissue zaidi kuliko maji?

Tissue inaacha traces za kinyesi huko nyuma halafu ndio inakuwa nini. Hili halina ubishi hata utumie tissue Zima. Cha msingi tumia tissue Kama uko safari au sehemu ya emergency saaaana.

Unakutana na mtu au umekaa na mtu sehemu ananuka kabisa kinyesi.

Weka ndoo ya maji chooni kwako na sabuni, tawaza vizuri na sabuni na maji ya kutosha:

Pia kinachonishangazaga, inakuwaje mtu unakuwa huna ratiba ya kwenda chooni? Yaaani wewe popote tu na muda wowote unaenda chooni? Huko ni kukosa discipline yako mwenyewe.

Mwili wa binadamu unauwezo wa kuadapt mazingira, jicondition kwamba utaenda chooni ukiwa nyumbani kwako tu, unless uwe unaumwa tumbo tena kwa emergency hapo sawa.
Tissue za fine😀😀😀vinaacha pumba kabisa...
Kuna jirani zetu wanaotumia tissue hunuka kimavi.

Mwendo mmoja tu maji yanayotililika ya kutosha,fanya choo chako kiwe pahala safi,uchafu ni jadi yetu sio chooni tu.
Maofisini unakuta watu ni PhD holders na watu warembo haswa vyooni kama jalala vile😀😀

Hata majumbani kwetu vyoo vya watu ni vichafu kupita maelezo.

Mkuu naungana na wewe kuwa na ratiba na adabu kuhusu kunya sio kunya hovyo hovyo kama bata.
 
Wanaokunya vyoo vya umma wana moyo sana
 
Back
Top Bottom