i411
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 906
- 296
Najiuliza kwanini USA
Huomba Washiriki kwenye vita yake
kwanini haendi yeye kama yeye pekee
Ulishaiona size ya N Korea alafu ulinganishe na USA.... ndo utajua kwanini haitaji msaada wowote kuingia na kumtandika. Tatizo tuu ni wananchi wakawaida ndo watakao taabika ndo maana busara inatakiwa itumike sana. Manake akimtandika itabidi awape msaada maradufu tena watu wa N Korea baada ya kichapo kwa dogo.