USA vs N.Korea Military Power

Advantage aliyonayo USA(kama vita otapiganwa) ni kwamba vita itapiganwa Korea na sio america so either way Korea watapata hasara sana
nahakika Kim hato acha marekani wale bata wakati kwake kunashambuliwa hope hata marekani watapopolewa
 
Hii sio vita ya kuiduscus kiivyo cz nchi zote zina zidiana uwezo ili tujue nani zaid basi wazichape, maana humu watu wanatokwa povu na usifikir vita ni silaha hata pia mtu anaweza kukupiga kiuchumi. Vita zisukien tu msiombe itokee waache wambiane wee af vita ikiisha utajua nan zaidi
 
Nimefuatillia sana comment zenu wadau, ila
naomba kujua hii vita kati ya America na North Korea inasababishwa na kitu gani? pili kati ya America na North Korea na mchokozi ? mwenye majibu Please.

Chanzo: Wakati wa Vita ya Pili ya Dunia Urusi (USSR) iliikomboa sehemu ya Korea ya Kaskazini na Marekani sehemu ya Kusini kutoka katika utawala wa Japan. Kutokana na tofauti za kiitikadi nchi mbili zikaundwa North Korea ikafuata itikadi za Kikomunisti kama Urusi na South Korea Ubepari kama US. Mwaka 1950 North wakavamia South ili kuiunganisha iwe Korea moja lakini ya Kikomunisti. US ikaingia vitani kuisaidia South Korea na kuzuia kusambaa kwa itikadi ya Kikomunisti. North Korea ilipata support ya China na Urusi (USSR). Mwaka 1953 wakasitisha mapigano, zikabaki North na South Korea zenye itikadi tofauti. US ikaendelea kufanya mambo kuudhoofisha utawala wa Kikomunisti Korea.

Pia,mwaka 1970 Mataifa mbalimbali (yakiwemo US,UK na Urusi) yalifanya Kongamano kuhusu Nyuklia (Non Proliferation Treaty) na kusaini mkataba wa kuzuia majaribio na utengenezaji wa silaha za nyuklia. Mataifa mengi yalisaini mkataba ikiwemo North Korea. Nchi ambazo hazijasaini ni India, Pakistani, Israel na Sudan ya Kusini. Baadae North Korea wakaanza kutengeneza silaha za Nyuklia ndipo shida ilipoanza. Mwaka 2003 wakajitoa kwenye huo mkataba wa NPT. lengo la NPT ni kuzuia nchi nyingine kutengeza silaha za nyuklia.

Nani mchokozi inategemea na mtazamo wako pia, NK amechallenge status quo na pia kutokuwa na uwazi, iitikadi zake kisiasa hazifurahishi nchi za Magharibi kwa hiyo anakemewa na vikwazo vingi. Kumbuka India, Pakistani na Israel wana silaha za Nyuklia lakini hawajawekewa pingamizi kama NK na Irani.
 
Siyo mkono bro. Kwa upande wa majini N. Korea wapo njiema sana. Na upande wa ground wapo na multiple rocket launcher 2400 wakati USA wapo na 1200.
Watu wanavituko ngoja vita ianze mtabaki mdomo wazi mmesahau Saddam na bit za kuangamiza dunia inaelekea watoto wa juzi nyinyi .Hawa NK mapemaaaa na wana nchi wake watapata fursa ya kukimbilia SK coz wanapatamania sana
 
Mh tuombe Mungu aepushie hayo mambo mbali,Us prsdnt aone wanachojaribu kufanya kinaeza kua WW3!
Hawa jamaaa wadunchu sana kuanzisha vita ya tatu China mwenyewe ameshaanza mkataaaa
 
Hii vita haitachukua three days wataanza kujificha milimani ULA target ya USA kama kawaida yao ni Kim basi
 
Bado unaamini Gaddafi na Saddam = na NK kweli? Mruhusuni USA avurumishe makombora ndio ujue "Style wanayoijua wao" maana yake ni nini. Kumbuka ni nusu karne sasa wanazoza tu.
Hivi nyie nchi inakufa na njaaaa yenyewe hahahaha aiseee yani marekani atamchapa ataharimu sehemu zote wanazozani niza matengenezo au kurutubisha nyuklia anawaacha hapo China waawasaidia kuijenga subirini muone
 
Bado unaamini Gaddafi na Saddam = na NK kweli? Mruhusuni USA avurumishe makombora ndio ujue "Style wanayoijua wao" maana yake ni nini. Kumbuka ni nusu karne sasa wanazoza tu.
Hakuna MTU alikuwa na bit kama Saddam Husain watu walijuia Ww3 iko wapi tatizo Wa to to wa juzi nyinyi. Russia na China ndo nchi pekeee zinazoweza leta vita ya tatu ma sio NK
 
Hakuna MTU alikuwa na bit kama Saddam Husain watu walijuia Ww3 iko wapi tatizo Wa to to wa juzi nyinyi. Russia na China ndo nchi pekeee zinazoweza leta vita ya tatu ma sio NK
Mtoto wa juzi ni utakuwa wewe maana hujui chochote kuhusu NK. Bahati mbaya zaidi hata ulichoandika hukijui kutokana na kuvurugwa na shule za kata. Nimekusamehe
 
Analyst of the toilet !
Wamarekani wenyewe hawajui wanacho miliki jeshini wewe umejlia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…