Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,264
- 137,958
Nyani,
Mashabiki wa Obama tupo. Tumekaa kimya kwa sababu unachekelea sana!
BTW hata JFK hakuwa na major accomplishment in the senate wakati alipogombea urais mwaka 1960. Na Hillary asitumie mgongo wa mume wake kudai kuwa ana experience.
Hillary anaweza kutumia chochote...waamuzi ni wapiga kura