US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

hawa wenzetu walisha jikomboa siku nyingi, hawana mambo ya zidumu fikra... duuu, Obama aweza pita kwa mwendo huu! Mungu saidia.
 
Mimi nina imani Obama anapita. Yule jamaa anaweza ku energize watu so mchezo.
 
......Lakini kwa USA ni hao ma ultra-conservative, Bible thumping, Rush Limbaugh listening crowd ambao "akitajwa HILLARY tu bas utaona mapovu ya hasira yanaanza kuwatoka".....

Siyo Ultra conservatives, bible thumping so and so tu watokwao na mapovu ya hasira tu, tetesi ni kuwa hata kule bungeni dodoma na mafisadi wote wakisikia jina la "JAMBO FORUMS" nao hutokwa mapovu ya hasira na jasho huku wakiwa wanatetema!!

Sorry guys i just couldnt resist not to bring it up again! thanks GT!!!
 
Siyo Ultra conservatives, bible thumping so and so tu watokwao na mapovu ya hasira tu, tetesi ni kuwa hata kule bungeni dodoma na mafisadi wote wakisikia jina la "JAMBO FORUMS" nao hutokwa mapovu ya hasira na jasho huku wakiwa wanatetema!!

Sorry guys i just couldnt resist not to bring it up again! thanks GT!!!

co.jpg
 
Well tuzidi kumuunga Obama mkono- naona kama mambo yanabadilika taratibu to his favour! Mwanzoni he was viewed as an underdog- but now he seems to have more confidence!

We wait and see!


Hivi inabidi wote tumuunge mkono kumbe au? Why?
 
Mkuu tumuunge mkono mwenzetu Jaluo huyu ili awe rais wa Amerika yaani USA, what part of it you do not understand?
 
Huyu ni msomi wa makosa yetu watu weusi especially wale walioko marekani tangu zama za Martin Luther Jr,Malcom X,Rev Jesse Jackson,Collin Powel na sasa mama
Rice.

Amefanya duedelligency ya politics za wa-America kwa kujipambanua juu ya hawa niliowataja.
Ni Jaluo makini asiye na Papara,mwingi wa hoja zilizojaa umakini na mwenye njozi za kusadikika ndani na nje ya America. Nadhani ana nafasi ya kuibeba nchii ile through democratic na anaweza kumpatia yule mama VP au yeye kuupata u VP kwa kumsaidia mama Bilal Clinton.

Ni nafasi ingine ya Kenyan kutambua kuwa it was Luo's time. Raila ameonyesha kuwa hakujivunia sana Uruo wake kwani mpaka sasa karisma power yake iko juu ya Kibaki; tumuombee mungu Obama ingawaje bado siioni uaminifu wa wayahudi kuruhusu demokrati kumuachia Obama USA,na hali hiyo pia itamsumbua mama Bilal kwani issue ya Monica ilibebewa bango sana na Wayahudi ndani ya chama chake na Republican.

To me Edwards anayo chance ya kuwa mgombea salama kwa Democratic kuliko wawili hawa.

Mungu ibariki Africa
 
...Ngabu kama ilivyo kwa Republican hawangaiki California & New York,wanajua kule ni kipigo tuu hata wafanye nini,nafikiri is the same recipe unayoongelea,ndio politics za hapa hizo

Lakini Republicans wao wanashinda grand prize...tena wanashinda bila New York na California. Sasa Dems lini wameshinda grand prize bila kushinda kusini?
 
Mama Billal na kambi yake wanapaswa wajiangalie sana na wayahudi; huyo mama anayemkandia Mama Bilal ninaamini ni mwanaharakati na zaidi ni Maraine kwani kama dunia itakumbuka comment nzito ya Malkia Elizabeth juu Princess Diana kuhusiana na NDOA. Kumtema mumeo kwa kosa la uzinzi linaruhusiwa kibiblia lakini ni biblia inayomtaka mwanadamu bila kujali ndoa na jinsia kusamheheana ktk kiwango cha kimungu maana 7x 70x kadhaa si mchezo,na ukipigwa kushoto mpe na kulia kazi inakuwa kubwa.

Wanaharakati hasa wanawake wana sheria ni chanzo cha utetezi wa haki sawa ktk kila jambo pasipo kupima na kuangalia uhalisia wa mambo.

To me huyo shabiki wa Obama ni silaha ya maangamizi kwake kwani atakapokutana na hao wenye maelekezo yao kutambua huyu mume na huyu mama wallah atasukumwa kama pusi.

Bahati ni kwamba Obama mwenyewe yuko smart ktk hayo maeneo na ndio maana ya comment zake za leo,safari ni ndefu sana hata hao wanahabari wanaomsakama Mama Billal wajue ugumu wa safari yao ya vita dhidi ya huyu mama.

Mungu ibariki Africa
 
Mkuu tumuunge mkono mwenzetu Jaluo huyu ili awe rais wa Amerika yaani USA, what part of it you do not understand?

Ahaa haa, mkuu mimi kama kumuunga mkono Obama haitakuwa kwa sababu ya ujaluo wake, naona ana mambo kibao mazuri na ya maana kuliko huo uafrika na ukenya wake. Wala yeye mwenyewe hajafanya uweusi wake kuwa mtaji wala haoni pia kama ni kikwazo. He seems far smarter and bigger headed than many of his supporters here in JF who have so far only banked on his colour and origin as the main reason for their love of him!
 
he is agent for change, watu wote wanakaribishwa kuanzia blue, pink, nyeusi, nyeupe au whatever........hata kama asipopata urais, message sent!!!.
 
..tusubiri hiyo Jumanne. lakini nasikia Obama tayari anaongoza New Hampshire.

..Tsunami ya ushindi wa Obama inatufanya tusiangalie mambo mengi ya msingi.

..nadhani Wamarekani hawana tofauti na wapiga kura wa Tanzania.

..mimi napenda POLICY WONKS na Obama doesnt come across as one.

..napenda achukue URAISI but I also wish he was more than just a feeling-good candidate.
 
Polls zilizotoka jana huko New Hampshire zinaonyesha kuwa hata hiyo Jumanne Ushindi utakuwa kwa Obama,Lakini Nation wide Obama yupo nyuma kwa 21%,Mama Clinton akiwa ndio kinara,kwa habari zaidi ingia www.americanresearchgroup.com


January 5, 2008 - New Hampshire Presidential Preferences

New Hampshire
Democrats Dec 16-19 Dec 27-29 Jan 1-3 Jan 4-5

Biden 4% 3% 2% ni
Clinton 38% 31% 35% 26%
Dodd 2% 1% 1% ni
Edwards 15% 21% 15% 20%
Gravel 1% 1% 1% 3%
Kucinich 2% 3% 2% 1%
Obama 24% 27% 31% 38%
Richardson 5% 5% 5% 3%
Undecided 9% 8% 8% 8%

Barack Obama leads John Edwards among men 42% to 21%, with 19% for Hillary Clinton. Among women, Obama leads Clinton 35% to 31%, with 20% for Edwards. Clinton leads Obama among Democrats 34% to 32%, while Obama leads Edwards among undeclared voters (independents) 49% to 21%.
 
Biden, Dodd na Gravel kampeni zao zimeishiwa "gas" na wameshatema............weather forecast ya NE ni kwamba J4 kutakuwa na baridi la wastani in NH, tlanslation yake ni kwamba turnout itakuwa kubwa na kwa maana hiyo Obama anaweza kushinda!!.
Sasa hivi Edwards ana-stump in Manchester, Clinton na Romney in Nashua, McCain yupo Salem na Obama Portmouth........NH kumewaka moto kiasi snow yote imeyeyuka.
Mkuu anaesema kwamba Obama ni feel good candidate yupo wrong, ukweli ni kwamba kuna mvt ya vijana wa race zote na kona zote za US kuleta mabadiliko in Washington...haya yatakuwa mapinduzi kwenye ballot box!! let's watch and see turn of events............
 
Hayo unayosema ni kweli kabisa! Kitu kingine watu wanachoshindwa kuelewa ni kwamba Caucus siyo general election ya majimbo yote 50. Ni wapi kuanzia Virginia mpaka Idaho ambapo Obama atashinda? Caucus za jana nadhani mtu yoyote ulikuwa unaruhusiwa kwenda kushiriki bila kujalisha chama. Sasa sitashangaa Republicans kushiriki kwenye Caucus ya Democrats kum-boost Obama. Nawaambieni hakuna uchaguzi utakaoukuwa slam-dunk kwa Republicans kama Democrats wakimteua Obama kugombea.Wanasema siasa mchezo mchafu....

Nyani Ngabu,

Hivi unatambua kuwa hizi Caucases ndio zinazotoa wapiga kura ya kuteua mgombea na hata ile kitu kinaitwa electoral college? Hizo kura milioni mia hazifu dafu kwa zile kura 500 ambazo ndizo zinzomchagua Raisi!
 
Obama wins this one too huko New Hampshire, dalili zote zinaonyesha kuwa atashinda, cha muhimu sasa hivi ameweza tayari kuwafanya wagombea wote waanze kuimba wimbo wake wa "Change",

Tanzania, siku moja tunahitaji kiongozi wa kuimba wimbo huu!
 
Kuna reports za scuffle jana kati ya wa/mpambe wa Obama na Bill O'reilly wa Fox News, jamaa(o'reilly) alikuwa anaziba njia ya kutokea ili ku-force obama awe kwenye show yake....ridiculous uuunh. Seems like Obama ndio "elepahant in the room" @least for the moment na Bill O anataka kutengeneza scandal kwa nguvu.....good news ni kwamba, he FAILED miserably!!.
 
Bill Bradley to endorse Obama for president
Democrat hopes for boost from support of ex-presidential hopeful, senator

updated 8:01 a.m. ET, Sun., Jan. 6, 2008

MANCHESTER, N.H. - Bill Bradley, a former presidential hopeful and senator, planned to endorse Barack Obama for president on Sunday, aides said. Bradley, a hall of fame professional basketball player, will campaign on Monday for Obama, Obama aides told The Associated Press.

The aides, speaking on condition of anonymity in advance of the formal announcement, said they hope the endorsement will help Obama end the national front-runner status for Clinton, who placed a disappointing third in Iowa's caucuses last week and is deadlocked with Obama in New Hampshire according to a poll released Saturday.
 
he is agent for change, watu wote wanakaribishwa kuanzia blue, pink, nyeusi, nyeupe au whatever........hata kama asipopata urais, message sent!!!.
"I embody change" Bush-Clinton-Bush-Clinton? kweli ataeleweka hapo kuwa ni agent of change?
 
Mama Clinton anategemea mambo ya Comeback Kid:Two

January 06, 2008
A Last Hurdle for Obama?
By David Broder

MANCHESTER, N.H. -- It may seem paradoxical, but New Hampshire is poised to close down the race for the Democratic presidential nomination and launch a wide-open Republican contest.

The difference is that Barack Obama, the winner of the Iowa Democratic caucuses, can well repeat his victory here over Hillary Clinton and John Edwards. But Mike Huckabee faces much steeper odds in duplicating his Iowa win on the Republican side.

While Huckabee shattered Mitt Romney's strategy by winning Iowa, where Romney had invested massively in advertising and organization, he is likely simply to empower John McCain to repeat his 2000 victory in New Hampshire.

A second Romney loss would effectively end the former Massachusetts governor's candidacy -- a victim of a campaign that lost its credibility along with its ideological definition.

But McCain and Huckabee have yet to build broad constituencies among mainstream Republicans. Huckabee's following is centered among evangelical Christians, who dominated the low-turnout Iowa caucuses. McCain's greatest appeal is to Republican-leaning independents who powered his 2000 victory and who remain loyal to him.

McCain has been endorsed by more than two dozen New Hampshire newspaper editorial pages, a major boost to his standing among independent voters.

The uncertainty facing Huckabee and McCain is heightened by their relatively meager campaign treasuries and by the shortage of time for further fundraising before the expensive Feb. 5 primaries in California, New York and other major states.

That opens at least something of an opportunity for Rudy Giuliani and Fred Thompson to demonstrate their ability in Florida, South Carolina and other states that were part of George W. Bush's political base. The mainstream Republicans in those states are still looking for a candidate.

That search becomes more urgent as the major party politicians come to understand that Obama could be the most electable candidate the Democrats have fielded in many years.

If that seems a hasty judgment, consider what Obama already has demonstrated. Running in two of the "whitest" states in the country, Obama has shown crossover appeal that defies conventional wisdom about the limits an African-American candidate will face.

It is a pattern of his brief political life. When he ran for the Senate in Illinois in 2004, Obama scored well both in small towns and rural areas far from Chicago, and in the Republican-oriented suburbs.

The Obama campaign exploited that crossover appeal by having him camped in the small towns of Iowa and in suburban Boston areas of southern New Hampshire for weeks on end.

Over the summer months, Obama honed the elements of a stump speech with a polish that enabled him to deliver it without notes a half-dozen times a day -- with perfect pitch. Backing his personal appeal with an organizational effort that was underestimated by both the Clinton and the Edwards campaigns, which had a year's head start, Obama showed Democrats a combination of campaigning and organizational skill they had not seen from any candidate in their party since Bill Clinton first ran for president.

If he can demonstrate that combination again Tuesday in New Hampshire, this race would be a lot closer to being finished than anyone might have guessed even a week ago.

Hillary Clinton has one more chance to stop Obama's momentum here. New Hampshire has been good to the Clintons in the past. They need the state to come to their rescue one more time.

She cannot count on help from anyone else. Joe Biden and Chris Dodd, two veteran senators, have left the race with their personal reputations intact but with little political reward for their efforts.

Bill Richardson is hanging on, but with only a modest hope of securing second place on the ticket.

Edwards claimed a degree of satisfaction by edging Clinton for second place in Iowa. But since his populist appeal failed to win in that state, with its rich tradition of rewarding that kind of campaign, it is hard to imagine him doing better in New Hampshire.

Any way you view it, the race is now Obama's to lose.
davidbroder@washpost.com

Copyright 2008, Washington Post Writers Group
Page Printed from: http://www.realclearpolitics.com/articles/2008/01/race_is_obamas_to_lose.html at January 06, 2008 - 11:43:04 AM PST
 
Back
Top Bottom