US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Mie na-enjoy "status quo" inavyopata kipigo kwenye ballot box......
Kuna mvt mpya in USA, vijana, wasomi na wapo colorblind, ol' fratboyz in the northeast tayari kwisha jump bandwagon............yeyote anaye underestimate hii campaign ni kipofu. Kunataka kutengenezwa america isiyojua rangi!!!!.

Watu walisema hivi hivi wakati wa kampeni za ugavana hapa Taxachussetts(Massachussetts) mwaka juzi. Kwamba Duval Patrick(black man from southside Chicago, moved to Milton, MA wakati yupo highschool kwa scholarship.....then Harvard law) hatotoka kwenye primaries, mara oooh bingwa akaibuka.......same night Kerry Healy(white girl, originally from Florida...Lt Governor wa Mitt Romney) pale backbay, akatoka ana-swing kusema Tyson na ku-rally watu wake as if wameshashinda ugavana, kwa imani hizo hizo "ati mswahili" hawezi kushinda!!! Akapigwa na "landslide" come January '07 "Caddilacduvall" akachukua corner office pale Beacon Hill... kwa mshangao wa wengi wasiojua nini kinachoendelea.

Obama sio Jesse au Sharpton, ni seasoned politician with a different way of solving problems. Americans are tired of same ol' same bs toka familia za "kifalme" za hapa unyamwezini. Clinton ana-lose NH, then anaenda kupata kibano kingine South Carolina....halafu kampeni yake(Clinton) inakuwa irrelevant, watu wanasubiri ku-make history come November. "You gotta believe." Sen. Barack Obama, D-Ill.
 
By Joseph Curl

January 7, 2008

[Excerpts]

MANCHESTER, N.H. — Secret Service presence has increased for Sen. Barack Obama since his dramatic win in Iowa, amid fears over the safety of the man seeking to become America's first black president.

The Illinois senator's security now rivals that of President Bush, with a dozen Secret Service agents wearing dark suits and earpieces leading bomb-sniffing dogs through event venues, sweeping all equipment brought by journalists and flanking the candidate as he plunges into crowds of supporters.

Mr. Obama, who reportedly resisted asking for Secret Service protection but personally requested a detail of agents after friends insisted, has been under federal watch since early last year. No one will say whether he has received an explicit death threat — his campaign said yesterday only that "we don't comment on security" — but officials have tracked racist chatter on white-supremacist Web sites.

The Internet is rife with theories that someone may try to assassinate the senator — typing into Google "assassinate Obama" brings up more than 2,000 hits. Anyone from Islamist terrorists to racist Americans to operatives of Halliburton and Blackwater are speculated about, but other, more nefarious Web sites are for real, according to reports from the Associated Press.

At his first morning event yesterday, at least a dozen plainclothes Secret Service agents, most with yellow pins on their lapels, stood guard in and around the Palace Theater, and, unlike other candidates touring the state, uniformed police were also on hand. The theater was emptied early so bomb-detecting dogs could sweep through, and journalists covering the event were corralled for inspection.

Obama Protection

Based on a review of AP photos from December 2007 to January 6, 2008, no other presidential candidate is being protected as carefully as Obama. The Secret Service is clearly worried, and may have information on threats.

Secret Service agents never smile, never look at Obama, only the crowd. Up to five are now closely surrounding Obama, with more in the crowd and in the background, some likely under cover. The USSS Counter Sniper Squad may be on nearby roofs. Obama transport vehicles are armored. Protection against possible sabotage of aircraft is unknown -- recall Senator Wellstone.
 
Baadhi ya picha zenye kuonyesha zaidi ya ss agents(watano)

297146452.jpg

297146453.jpg

A brief tussle ensued between Bill O’Reilly, the Fox News host, and Marvin Nicholson, a campaign aide for Mr. Obama. Photographs of the incident show that Secret Service agents intervened after Mr. O’Reilly pushed Mr. Nicholson

297146451.jpg

Sen. Barack Obama D-Ill., right, speaks with his chief strategist, David Axelrod, as they leave a rally Sunday, Jan. 6, 2008 in Exeter, N.H. (AP Photo/M. Spencer Green)

297146450.jpg

297146449.jpg

297146446.jpg

297146445.jpg

297146444.jpg

297146443.jpg

297146442.jpg

297146440.jpg
 
Kishoka said:
Mzalendo,

What you mean he is not Black enough? because he is a mulato? is it because his father is from Kenya and not the Jim Crow south? is it because his tone is differet from the likes of Al Sharpton? so what are you telling us, are you saying that he is sell out, a house negro or an uncle Tom?

What criteria are you using to define black enough? Help me out becasue if Mzungu will bash me of my color I will understand that he is a racist and I will ignore him. When a fellow black/african calls me or another black/african "not black/african enough" I will need some explanation!

Kishoka,

..hili suala mbona ni dogo sana. hii tsunami inatufanya watu weusi tushindwe kuelewa mambo madogo-madogo kama haya.

..mfano: leo hii Mnyaturu Mkristo akizaa na mwanamke wa Kipemba Muislamu. Halafu mtoto huyo akikuzwa na mama yake, katika mazingira ya Kipemba, na dini ya mama yake, basi hatokuwa na tofauti na mtoto aliyezaliwa na wazazi Wapemba watupu.

mfano: kulikuwa na mada kuhusu kufifia kwa lugha za asili miongoni mwa watoto waliokulia DSM. sasa hawa ni watoto ambao unaweza kuita "watanzania" halisi kwasababu hawana tribal trends au affiliations.

..nadhani maelekezo yangu hapo juu are close to what Mzalendo has been trying to say.

..unajua kuna mahali nilisoma kwamba ilifanyika debate kuhusu masuala ya weusi na Obama was among the candidates that did not impress!! pia kuna articles zinazosema kwamba Obama hayaangalii matatizo ya weusi ktk mtizamo wa typical black american person. does that mean he is color blind?

..binafsi namuunga mkono Obama kwasababu naamini his victory will open a lot of doors for PEOPLE OF COLOUR.

..polls zote zinaonyesha kwamba Hillary hatoshinda caucas yoyote kabla ya Feb 4.

..Obama is an opponent the Clinton's have never faced before.

..he has run a more disciplined and efficient campaign. Obama deserves to win.
 
Electoral College votes zinatokana na mgombea kushinda popular vote ya jimbo.
 
Wazee I can't wait to be here on Tuesday night matokeo ya NH yakitangazwa ili niwasikie hao Nay Sayers..Umesikia McCain ameanza kujilinganisha na Obama as an agent of change? Republicans wanaona jinsi moto wa Obama ulivyo mkali na jinsi watu wanavyokubaliana na siasa yake ya ku-reach across the aisle...May be I am wrong but I doubt it. Americans (although there are no stats, many undecided voters are tired of Clintonians and the Bushes)..as I write ninasilikiza NPR na agents wa candidates wanaenda door to door to persuade voters especially undecided. Guess what: kulikuwa na watu kama 5 waliohojiwa ambao wanasema baada ya kumsikiliza Obama they are going to vote for him.
 
Hii video imenifanya nimuonee huruma huyu Mama,

Jan. 7 - An emotional Hillary Clinton pushed for support on Monday as polls showed her poised for a huge New Hampshire loss to Democratic rival Barack Obama.

At a campaign event in Portsmouth, Clinton choked up and grew uncharacteristically emotional as she talked about her reasons for seeking the presidency in the November election.
Video
 
Huyu mama mbona machozi yanamlengelenga?

Maskini- she has lost confidence already in early stages!

Huyu anaweza kuhandle national security phenomenon as 9/11?

What has gone wrong?
 
Kishoka,"....kulikuwa na mada kuhusu kufifia kwa lugha za asili miongoni mwa watoto waliokulia DSM. sasa hawa ni watoto ambao unaweza kuita "watanzania" halisi kwasababu hawana tribal trends au affiliations........he has run a more disciplined and efficient campaign. Obama deserves to win.
Joka kuu toa shule mkuu, mpaka kieleweke hapa.....Nice!!
 
Hii video imenifanya nimuonee huruma huyu Mama,

Jan. 7 - An emotional Hillary Clinton pushed for support on Monday as polls showed her poised for a huge New Hampshire loss to Democratic rival Barack Obama.

At a campaign event in Portsmouth, Clinton choked up and grew uncharacteristically emotional as she talked about her reasons for seeking the presidency in the November election.
Video



bi Hillary was just executing yet another strategy from her playbook. But rather than appear more human and compassionate, the performance appeared studied, deliberate and un-authentic.

na video ni hii hapa:
 
Contrary tp security detail ya JK ambao kwa kweli ni wanene and i still doubt them..lakini hiyo itahitaji separate thread..i am trying to imagine The Secret Service people have to feel more comfortable protecting Obama, than Bush. They have someone worth protecting in Obama. Must be monotonous having to pick Georgie up off the floor when he gets drunk, eating pretzels, etc. At least they will hear INTELLIGENT conversations from the Obamas. Imagine having to spend time with the Bush family! UGH!!! Plus, they are so cross-eyed, you would never know if they were looking at you or not...Can you imagine if security detail of "Muungwana"? I bet all they talk about is JF POSTERS!

Obama Security Detail Rivals President Bush

Secret Service presence has increased for Sen. Barack Obama since his dramatic win in Iowa, amid fears over the safety of the man seeking to become America's first black president.

The Illinois senator's security now rivals that of President Bush, with a dozen Secret Service agents wearing dark suits and earpieces leading bomb-sniffing dogs through event venues, sweeping all equipment brought by journalists and flanking the candidate as he plunges into crowds of supporters.

"For many black supporters, there is a lot of anxiety that he will be killed, and it is on people's minds," said Melissa Harris-Lacewell, a Princeton University professor of political science and contemporary black culture.

http://washingtontimes.com/apps/pbcs.dll/article?AID=/20080107/NATION/415598644/1001
 
wajomba kina pundits wanasema hayo machozi ya mama leo ni strategy tuu,naona mama wanamlipua kutoka angle zote,kwa kweli akitoboa hii primary na kuwa nominee nitaamini Clintons are geniuses!
 
Duh! Jaluo, kama Mzungu wa reli ukimsikiliza tuuu umempa kura, noma kweli jamaa, anaongea kama amekula kaseti mwanangu na akitoa ni mchicha mtupu wazungu wanapagawa,

Mama Clinton atashinda baadaye sana, lakini for now mambo yote ni Jaluo and I am down too! Sasa tuone wazungu wakitimiza dhamira yao ya kuhamia Mars, maana this Obama's thing I do not know man, anaweza kwenda all the way to the end!

Mungu Ambariki Obama, na sisi weusi tutembee vifua mbele kidogo!
 
Marshal hapo tupo wote jaluo akifungua mdomo unapata goose bump na ile victory speech ndio hit sasa kwenye youtube..mpaka Billy O'reilly kakubali maana katia akili na jaluo kabidi akubali tuu...this guy is smart,charismatic,he's a cyclone!(maneno ya O'reilly hayo) na kawaambia Republican inabidi waje na mtu wa nguvu la sivyo they will be toast to this guy,wajomba sitaki kuwa excited sana ngoja niwaachie wazungu maana ndio wanatufanyia kazi chafu ya kumlipua mama ila sisi tukiingia watashtukia race card!
 
Ni Jaluo makini asiye na Papara,mwingi wa hoja zilizojaa umakini na mwenye njozi za kusadikika ndani na nje ya America. Nadhani ana nafasi ya kuibeba nchii ile through democratic na anaweza kumpatia yule mama VP au yeye kuupata u VP kwa kumsaidia mama Bilal Clinton.

Ni nafasi ingine ya Kenyan kutambua kuwa it was Luo's time. Raila ameonyesha kuwa hakujivunia sana Uruo wake kwani mpaka sasa karisma power yake iko juu ya Kibaki;

Nawasalamia yoote Asalamaleikum!

Kwa kusindikisa point senu yoote positive na safi. Tena hii amendika hiyo mimi nanukuu hapo yeye napiga juu ya kichwa ya musumal directly - right on the head. Kwa kususa hiyo point furahia hii nyimbo dedicated kwa Raila na Obama - "Wangni Wabiro - Wangni Wayorayora" literally translated "This time there is no stopping US" au kama napindua kwa swahili inasema "Safari hii sisi tunakuja"

Alamsiki
[media]http://www.youtube.com/watch?v=Ko8W9teo9q8[/media]

OBAMA + ODINGA = Luo Ltd!
 
Duh! Jaluo, kama Mzungu wa reli ukimsikiliza tuuu umempa kura, noma kweli jamaa, anaongea kama amekula kaseti mwanangu na akitoa ni mchicha mtupu wazungu wanapagawa,

Mama Clinton atashinda baadaye sana, lakini for now mambo yote ni Jaluo and I am down too! Sasa tuone wazungu wakitimiza dhamira yao ya kuhamia Mars, maana this Obama's thing I do not know man, anaweza kwenda all the way to the end!

Mungu Ambariki Obama, na sisi weusi tutembee vifua mbele kidogo!

Huyu jamaa nilienda kwenye rally yake moja, alivyomaliza kuzungumza baadhi ya watu walikuwa wanatokwa na machozi, wengine wanamfananisha na RFK.

A number of Black entertainers have put their money where their mouth is and donated to Barack Obama's presidential campaign. Will Smith and Oprah Winfrey maxed out on donations to the presidential front-runner. So did Tyra Banks, Halle Berry, Jamie Foxx, Eddie Murphy, Chris Rock and Forest Whitaker.

But also, a number of prominent African celebrities have NOT donated a penny towards the campaign. The following is a list of entertainers who, so far, have refused to contribute to the Obama campaign:

Shawn "Jay Z" Carter
Beyonce Knowles
Spike Lee
Bill Cosby
Denzel Washington (although his wife Pauletta donated the maximum amount)
Sean "Diddy" Combs
Curtis "50 Cent" Jackson
Quincy Jones (Donated the maximum amount to Hillary Clinton)

Ain't it funny how every time the above artists have a project coming out, they ask you to go out and support them with your money.

Now I know whose album to bootleg....
 
Nawasalamia yoote Asalamaleikum!

Kwa kusindikisa point senu yoote positive na safi. Tena hii amendika hiyo mimi nanukuu hapo yeye napiga juu ya kichwa ya musumal directly - right on the head. Kwa kususa hiyo point furahia hii nyimbo dedicated kwa Raila na Obama - "Wangni Wabiro - Wangni Wayorayora" literally translated "This time there is no stopping US" au kama napindua kwa swahili inasema "Safari hii sisi tunakuja"

Alamsiki
[media]http://www.youtube.com/watch?v=Ko8W9teo9q8[/media]

OBAMA + ODINGA = Luo Ltd!

...tuondolee ukabila wako humu maana hata signature yako is a big joke,Obama is an American mpuuzi wewe,na muache kuchapa watu kwa machete,usituharibie message yetu ya inclusiveness,watu kama nyie ndio mnafanya Odinga aonekane mbaya!
 
Haya tena turukie kwenye behewa la Obama hakuna wa kumsimamisha. Mtoto wa immigrant kutoka Afrika anaitikisa US. There is no stopping us now...🙂
[media]http://www.youtube.com/watch?v=SA58ZRhAxv0&feature=related[/media]
 
Obama 45%, Clinton 29% Edwards 23% wengine 3%...🙂

Obama in overdrive as Clinton falls behind

Suzanne Goldenberg and Ewen MacAskill in Manchester, New Hampshire
Tuesday January 8, 2008
The Guardian

Hillary Clinton yesterday braced herself for a second humiliating defeat in today's New Hampshire primary election, vowing to continue the fight for the Democratic nomination until the conclusive Super Tuesday contest a month from now.
With several new polls charting a deepening collapse in support since her defeat in the Iowa caucuses, Clinton insisted she would not drop out of the race even if she loses New Hampshire.

"Whatever happens tomorrow, we're going on," she told CBS TV yesterday. "We're going to keep going until the end of the process on February 5. I've always felt that this is going to be a very tough, hard-fought election, and I'm ready for that."

Barack Obama's lead over Clinton now ranges into double digits. A USA Today Gallup poll put his advantage at 13%. According to the poll, his support is 41%, up from 32% in the middle of last month, Clinton is down to 28% from 32%.
A CNN/WMUR poll, also taken over the weekend, puts Obama on 39%, Clinton on 30% and John Edwards on 16%.

Clinton's campaign has already laid out a contingency plan for defeat. A source in her camp said she has privately accepted she is going to lose in New Hampshire. She is also resigned to the fact that she may not take South Carolina, which holds its primary on January 26, the source said.

Visibly exhausted, Clinton choked back tears during a session at a diner yesterday when a voter asked her how she kept going. "It's not easy. It's not easy. I just don't want to see us fall backward. This is very personal for me. It's not just personal. It's not just public. I see what's happening. We have to reverse it."

The Clinton campaign team yesterday dismissed as ridiculous a report on the Drudge Report that she is contemplating quitting the race early in the face of the support for Obama. But the momentum belonged to him yesterday, as it has since Friday, with the new frontrunner attracting overflow crowds. "You're the wave, and I'm riding it," he told supporters.

Obama also has an unexpected ally in Edwards, who lags well behind Clinton in the New Hampshire polls, and his strategists admit they would like a direct contest between the former vice-presidential candidate and Obama.

Edwards embarked on a 36-hour, nonstop campaign tour yesterday, hoping to attract younger voters.

The double-pronged attack has been ruinous for Clinton's standing among undeclared voters, among whom Obama established a 20-point lead in a poll conducted over the weekend for the University of New Hampshire. But it is also eroding support for Clinton among the Democratic voters, shaking the core premise of her candidacy - that she is electable.

The bleak forecast for Clinton has its parallel on the Republican side, where Mitt Romney is also facing the prospect of a second defeat after Iowa. Romney has been squaring off against a resurgent campaign by the Arizona senator John McCain.

For McCain, the polls were vindication of his decision to shake up his staff and relaunch his campaign after falling in the polls last summer. McCain won the 2000 primary in New Hampshire against George Bush, and has been nostalgic about that earlier triumph. "I'm certainly pleased," McCain told MSNBC. "This is what we wanted to do all along."

The surge for McCain has prevented the former Baptist preacher Mike Huckabee from capitalising on his strong showing in the Iowa caucus. Unlike in Iowa, where evangelical Christians make up a significant portion of Republican caucus-goers, social conservatives are not an important force in New Hampshire.

"If we come in anywhere in the third and fourth slot, we're going to do great," Huckabee told CNN. He did manage to get overflow crowds to a pancake breakfast yesterday with the martial arts actor Chuck Norris.

Clinton spent yesterday trying to drive home the message first aired in the weekend debates that Americans need to look beyond Obama's evident talent as a speaker, and examine his record.

"All of a sudden you start to ask yourself, 'Wait a minute. I mean, what is the substance here?'" she told ABC television. "What, as famously was said years ago, 'where's the beef?' You know, where is the reality?"

Clinton is now banking on a strategy similar to the Republican candidate Rudy Giuliani, hoping to win five of the six primaries in the big states: Florida, California, New York, Ohio and Texas. Her team accepts that Obama will carry Illinois, where he is senator.
 
tuondolee ukabila wako humu maana hata signature yako is a big joke,Obama is an American mpuuzi wewe,na muache kuchapa watu kwa machete,usituharibie message yetu ya inclusiveness,watu kama nyie ndio mnafanya Odinga aonekane mbaya!

Koba

Usipandishe presha bure ndugu yangu. Kila mtu ana kabila lake na kuzungumzia ukabila hata kuweka huo muziki wa kijaluo siyo ukabila. Mbona tunawasilikiza akina Awilo? Na hiyo signature isikupe homa ndugu yangu. Sisi nafurahia tu omera!

Unless una matatizo mengine pole saana maanake Obama upende usipende ni mjaluo kwa kuzaliwa na kwao ni Alego Siaya South Nyanza Kenya. Kuwa mmarekani siyo hoja tena kuna wamerakani wadigo, wazaramo, wasukuma, wamakonde!

Wana JF wengi tu wanaolitumia neno Jaluo, mjaluo repeatedly sasa mimi nikizungumzia kuwa mjaluo kosa baba yangu? Au did my message touch a soft spot? Pole sana!

OBAMA + ODINGA = Luo Ltd
 
Back
Top Bottom