US Election Coverage 2008

Mkuu Joka,

Heshima mbele, US ni Capitalist State, kwanza biashara halafu the rest of the story, katika huu uchaguzi mzima kuna one factor kuweza kuuza biashara za media, nayo ni kuwapiganisha Hillary na Obama,

Mwanzoni, ilikuwa ni bisahara nzuri kuwapiganisha Hillary na Giuliani, baadaye ikawa a Mormon Romney Vs Huckabee, sasa imekuwa Hillary Vs Obama, kumbuka ni hao hao CNN walio onyesha kipindi cha Obama for at least 2 Hours, wakimuita Osama, walipoambiwa baadaye what they did wakasema walikuwa wakikosea kwenye typing, kweli una amini hiyo?

CNN hawachagui rais wa US, na wala hawawakilishi mwananchi yoyote maana wangekuwa basi Kerry na Gore wangekuwa marais, polls za New Hampshire zinaonyesha ikiwa imebakia siku mbili tu, Hillary 37%, na Obama 25%, lakini CNN wanasema Obama is closing the gap! Huoni kuwa hii ni hadithi ya biashara?

When Iowa, talks, sio kweli kwamba the US listens, mara ya mwisho Democrat aliyeshinda Iowa, alikuwa Kerry 2004 lakini hakuweza kuwa rais, kabla yake alikuwa Jimmy Carter peke yake ndiye aliyeshinda urais mwaka 1976, my point ni kwamba tuwe objective katika hope kwamba huenda Obama atashinda, tungependa ashinde lakini sio on a false hope kutoka CNN ambao hawana any influence katika kuchagua rais wa US!

Hizi polls nishaacha sana kuziamini, maana ukiangalia Polls za Rasmussen zinaonyesha Obama yuko mbele ya Mama Clinton
Reuters/C-SPAN/Zogby poll Mama Clinton 32%, Obama 28%
Alafu kama umesoma ile post ya Now Comes the Spin, utaona kama vyombo vya habari vimemkamia Mama Clinton(sijui amewafanya nini).
Kwa Dems hali ni ngumu. Mweusi au Mwanamke...swali linakuja US hiko tayari for that?
 
Ningependa kuuliza swali kwa wachambuzi wetu hapa. Obama ana damu ya kijaluo. Kama angekulia Kenya angekuwa na nafasi ya kugombea urais wa Kenya, je nafasi yake ya kuwa rais wa Kenya ingekuwa vipi asa tukilinganisha na uchaguzi uliopita?
 
And look how bad Bush's presidency was. Do you want Americans to elect another under qualified affirmative action candidate such as Obama? God help us all!

...seems humjui Obama, thats why ur calling him underqualified,i think you know before hajaingia kwenye politics Obama alikuwa Law Prof. university of Chicago mbali na kusoma Columbia & Havard bado unamwita kilaza...umeishiwa wewe huna hoja jiuzuru tuu!
 
Ningependa kuuliza swali kwa wachambuzi wetu hapa. Obama ana damu ya kijaluo. Kama angekulia Kenya angekuwa na nafasi ya kugombea urais wa Kenya, je nafasi yake ya kuwa rais wa Kenya ingekuwa vipi asa tukilinganisha na uchaguzi uliopita?

Kwa siasa za kenya sidhani kama angeruhusiwa.

kwa wale wa nje ya us fatilia debate hapa
 
Hiyo ni recipe ya kushindwa kila chaguzi.

...Ngabu kama ilivyo kwa Republican hawangaiki California & New York,wanajua kule ni kipigo tuu hata wafanye nini,nafikiri is the same recipe unayoongelea,ndio politics za hapa hizo
 
..

..nimesikiliza CNN na nikashangaa jinsi wanavyomsagia Hillary. Inaelekea hawamtaki kabisa.

Eeebwana usisikie..huyo contact yangu kule NH ni demu wa Kizungu na naweza kukuambia kuwa sijawahi kuona mtu anayemchukia Hillary kama huyu sister. Kila nikimuuliza jibu lake huwa ni "she grates on my nerves" na cha ajabu hayuko pekeyake.Utashangaa jinsi gani wazungu wanavyomchukia huyu Hillary na haswa wanawake lakini kwa haraka haraka sababu ni kuwa:

WANAWAKE WA KIZUNGU wanaona BILL CLINTON alicheat on her lakini HILLARY aliendelea kukaa naye...kama unajua psychology ya wanawake then you will understand that most women wanted her to get ghetto and drop his ass in other words wanam consider Hillary as WEAK!

WANAUME WA KIZUNGU jibu ni simple usitishike na propaganda za equality za wanawake...inshort most white men have a very very very big issue with women of power....sidhani kama hiii issue ni kwa white men only...(naamini ni sisi wanaume general) tuko intimidated by the thought of a woman with power. Lakini kwa USA ni hao ma ultra-conservative, Bible thumping, Rush Limbaugh listening crowd ambao akitajwa HILLARY tu bas utaona mapovu ya hasira yanaanza kuwatoka

I cant wait to catch up na CSPAN kesho japo leo nilitazama baadhi ya segments online lakini kesho itakuwa more interesting
 
...nasmell hate hapo..hata Bush was not smart he got into Yale because he was a legacy( His father and grandfather were Yale men)....you can call rich affirmative action.

nini Bush na YALE, hata Sumaye alikuwa HARVARD...
 
Are you planning on explaining how someone with mediocre grades as Obama has admitted to had can get into Harvard Law School?

Can you at least provide us with the evidence of OBAMA's mediocre grades that allowed him to gain an entry in HARVARD?
 
wewe umesoma wapi...hater.

Kwani uwongo?
Huyu naye anayo degree ya prestigious South west coast university(?)...lakini haya

j6.jpg
 
Eeebwana usisikie..huyo contact yangu kule NH ni demu wa Kizungu na naweza kukuambia kuwa sijawahi kuona mtu anayemchukia Hillary kama huyu sister. Kila nikimuuliza jibu lake huwa ni "she grates on my nerves" na cha ajabu hayuko pekeyake.Utashangaa jinsi gani wazungu wanavyomchukia huyu Hillary na haswa wanawake lakini kwa haraka haraka sababu ni kuwa:

WANAWAKE WA KIZUNGU wanaona BILL CLINTON alicheat on her lakini HILLARY aliendelea kukaa naye...kama unajua psychology ya wanawake then you will understand that most women wanted her to get ghetto and drop his ass in other words wanam consider Hillary as WEAK!

WANAUME WA KIZUNGU jibu ni simple usitishike na propaganda za equality za wanawake...inshort most white men have a very very very big issue with women of power....sidhani kama hiii issue ni kwa white men only...(naamini ni sisi wanaume general) tuko intimidated by the thought of a woman with power. Lakini kwa USA ni hao ma ultra-conservative, Bible thumping, Rush Limbaugh listening crowd ambao akitajwa HILLARY tu bas utaona mapovu ya hasira yanaanza kuwatoka

I cant wait to catch up na CSPAN kesho japo leo nilitazama baadhi ya segments online lakini kesho itakuwa more interesting

Alafu kwenye 60 minutes wamefocus kwa Edwards na Obama kwa upande wa Dem 60 Minutes
 
The candidate one supports says a lot about that person.

Hillary supporters like a woman who is constantly attacking her opponents, is a mean, frustrated, angry, old politician bent on achieving her personal ambitions. A person who supports Hillary Clinton supports a woman who attacks her opponents even to the point of kindergarten essays.

Obama supporters are optimistic change-agents who want to gently form coalitions to tackle America's problems. That includes building bridges to Republicans.

Hillary would rather scream and kick and punch until she gets her way. She's mean; so are her supporters.

Anyway JF folks here is the news..probably some of you are still sleeping but...i aint!

Inside Clinton Camp: Donors Panicking,Advisers Blame Each Other
The scope of Barack Obama's victory in Iowa has shaken the Clinton machine down to its bolts. Donors are panicking. The campaign has been making a round of calls to reassure notoriously fickle "superdelegates" -- elected officials and party regulars who are awarded convention spots by virtue of their titles and positions -- who might be reconsidering their decisions to back the candidate who formerly looked like a sure winner. And internally, a round of recriminations is being aimed at her chief strategist, Mark Penn, as the representative of everything about her pseudo-incumbent campaign that has been too cautious, too arrogant, too conventional and too clueless as to how much the political landscape has shifted since the last Clinton reign. One adviser summed up the biggest challenge that faces the campaign in two words: "Fresh thinking."

Specifically, those inside the campaign and outside advisers fault Penn for failing to see the Iowa defeat coming. They say he was assuring Clinton and her allies right up until the caucuses that they would win it. Says one: "He did not predict in any way, shape or form the tidal wave we saw." In particular, he had assured them that Clinton's support among women would carry her through. Yet she managed to win only 30% of the women's vote, while 35% of them went for Obama.
http://www.time.com/time/politics/article/0,8599,1700705,00.html
 
Mpaka Tulipofikia inaonekana Barack amekwenda vyema kwenye Maswali yote ya Debate,Na Mama ametereza kidogo kwa kigongo alichopigwa na Edwards na swali lililoulizwa na Director ambalo lilionyesha udhaifu wake kama Mwanamke!!namnukuu "You hurts my feelings"Kauli mbaya hiyo kutoka kwa Army Chief.Swali gumu la Mwanamke anaweza kuongoza America litazuka hapo!!!
 
"Well, that hurts my feelings. ... But I'll try to go on."
"I don't think I'm that bad."

That drew a wry response from Obama, who said, "You're likable enough, Hillary."

Hii kitu itamuumiza huyu mama in a long run.
 
Dont fool urself, Americans arent ready for Rais M-matumbi mwenye arabic middle name Hussein na Baba Mkenya. Hata huyo mvaa sketi nae msindikizaji tu....

Dont get me wrong I would love Obama to win not because he is african/american rather bcoz he is smartest and capable candidate. But its very unfortunate the afore-mentioned things will prove to b difficult to overcome.

Masatu...we ni mapanga maneno...hakuna lolote...1.Kwanza tumpende kwasababu ana Ukenya....Fulani...Japo sijui Kama yeye an feel hilo...2. Pili ndio tuelewe hatuna sababu Kupenda Mtu Kutokana na Rangi yake... au vyo vyote vile...
 
Well tuzidi kumuunga Obama mkono- naona kama mambo yanabadilika taratibu to his favour! Mwanzoni he was viewed as an underdog- but now he seems to have more confidence!

We wait and see!
 
Wazungu kiboko! hebu tazama hapa:
[media]http://www.youtube.com/watch?v=Apv5KWHgXTE[/media]
 
Back
Top Bottom